Ndugu yangu,binafsi lakini. Si kwamba najua,hapana. Nahisi inafaa sana kwa mtu mwenye basics za Accountancy. Na hizi nchi zetu zinazoajiri makaratasi, sidhani kama mtu akionekana ana CPA,pamoja na kutambulika kimfumo,background yake pia inaangaliwa. Naona ni sawa na jeshini urushwe cheo kutoka Sergent upewe Major. Linawezekana,utaheshimika kwa cheo,lakini mbinu,maarifa na uzoefu,sifuri. Sasa, muajiri wa kusubiri mfanyakazi wake aundiwe ripoti na watu wengine, sioni kwa kweli. Kwanza huyu asiyejua Accountancy,kuna terms za kihasibu atakuwa haelewi. Hata kufundishwa,ni ngumu si kama shule ya msingiKwani mkuu CPA inataka mtu awe na elimu gani? I mean kwa mujibu wa NBAA.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app