Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 726
- 1,044
Believe or not,no impossible under the sun!Utajiri wa masharti ni bora kufa masikini tu uishi kwa amani, siyo kumhofia jogoo kala nusu punje dah.
Ila bado siamini kama ni kweli kuna hayo mambo ya utajiri na jogoo, how? Utajiri unaletwa kwa kupiga kazi tuu.
Maisha ni kuchagua tu uwe masikini wa kutupwa,ujimudu wastani au tajiri wa kutupwa ni maamuzi yako,muda fulani hata damu yako (kifo chako) yaweza kuwa ndio jasho lako. Chagua moja kusuka au kunyoa mkuu