Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

Hapana, hapo kuna jogoo wawili (kutokana na mazungumzo ya wale watu) huyu wa mganga alikuwa punje 3 but yule wa mteja alikuwa akiendelea kula.

Hapo ndipo sikupaelewa why jogoo wawili?.
Labda siku hizi wanatafuta average wapate mtu amepangiwa miaka mngapi ya utajiri.
 
Hivi wale wanaosemaga kuwa Wazungu nao ni wachawi kuna vilinge vyenye mambo kama haya?

Kwa research wanazopendaga kufanya wazungu hakuna hata mmoja amekuja Africa kufanya juu ya haya mambo? Documentary
 
Mkuu hizo issues wanafahamiana huko gizani na kila uchawi una mamlaka yake kieneo so usidhani ni issue ndogo kama ya kula wali kwa maharagwe!.
 
Hata Mimi nawaza kujenga vyoo vya kisasa kwenye chimba dawa zote lengo kuu ni kupata mbolea kwa ajili ya mashamba ya kahawa kwa ajili ya kuexport.
Mbolea namba moja kwa ubora ni ile izalishwayo na binadamu
Kwanini usiende kwenye taasisi hususani shule zilizopo wilayani kwako ukaamua kufanya huo ufadhili/mradi?
 
Unatafuta pesa ya kishirikina unafanikiwa baada ya miaka 2 unakufa,mganga hajui mungu kapanga nini
 
Back
Top Bottom