baghozed JF-Expert Member May 26, 2011 532 97 Oct 10, 2011 #1 Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani?
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Oct 10, 2011 #3 maswali mengine jamani inakua kama homework! hebu fungua website,chukua doc yenye list ya prospective students uanze ku-tally hao wa equivalent. ukishajumlisha utuletee jibu.
maswali mengine jamani inakua kama homework! hebu fungua website,chukua doc yenye list ya prospective students uanze ku-tally hao wa equivalent. ukishajumlisha utuletee jibu.
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Oct 10, 2011 #4 baghozed said: Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani? Click to expand... Jamani, Hili Swali si lakumuuliza Academic Master wa UDSM, maana sidhani kama mtu wakawaida anaweza kuwa na takwimu sahihi.
baghozed said: Ningependa kujua wanaopata nafasi katika Bsc hapo CoET au CoICT huwa wanakuwa idadi gani? Click to expand... Jamani, Hili Swali si lakumuuliza Academic Master wa UDSM, maana sidhani kama mtu wakawaida anaweza kuwa na takwimu sahihi.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 10, 2011 #5 Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji. Post kama hii ni ujinga mtupu.
Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji. Post kama hii ni ujinga mtupu.
G GHANI JF-Expert Member Feb 18, 2011 716 292 Oct 10, 2011 #6 Mzee said: Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji. Post kama hii ni ujinga mtupu. Click to expand... we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d.
Mzee said: Hivi ni lazma kila mmoja aanzishe topiki yake. Wengine tubaki wachangiaji. Post kama hii ni ujinga mtupu. Click to expand... we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 10, 2011 #7 GHANI said: we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d. Click to expand... poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom. Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu.
GHANI said: we inzi unajua hata maana ya CoICT and CoeT, we tunakujua umedisko udom huna mawazo yoyote, endelea kuuza hilo ua.stup*d. Click to expand... poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom. Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu.
G GHANI JF-Expert Member Feb 18, 2011 716 292 Oct 10, 2011 #8 Mzee said: poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom. Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu. Click to expand... siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya.
Mzee said: poa. Ila kwa upuuzi huu bora mimi niliyedisko udom. Hauwezi kujibu hoja unaishia kutukana tu. Click to expand... siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya.
harakat JF-Expert Member Jul 4, 2011 2,888 1,347 Oct 10, 2011 #9 GHANI said: siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya. Click to expand... Umeshamalizia kurisit au unaulizia tu kaka?
GHANI said: siwezi kubishana hoja na mwendawazimu kama wewe,nitaonekana chizi kama wewe.pole sana kwa kudisko udom jipange upya. Click to expand... Umeshamalizia kurisit au unaulizia tu kaka?