Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Sasa kwamaana hiyo wanawake tuishie form 4 kama tunataka ndoa sio? Acheni mawazo hayo wanaume,tabia yamtu haitegemei elimu kabila wala dini
 
Hao wenye degree ndoa wataisikia tu,watabadilisha wanaume mpaka waote sugu na degree zao!

kila jambo lina advantage na disadvantage waloolewa wanakoma na ladha moja iwe bamia, tangi, karungu yeye huitaki unaitaka inakuhusu
ila wabadikisha wanaume wanakula kitu rohi inapenda mchicha ukikuchosha nyama ipo, mlenda, mara piza, kuku wakienyeji. ladha unayoipenda ndo unaipa ratiba sana hongera zao
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Kuna haja gani ya kudamka kila siku mwanamke unaacha watoto wangu nyumbani wanateseka na mahousegirl?! kama vipi kaa nyumbani ulee watoto kama mama anavyotakiwa kufanya na mimi niwatunze mke na watoto wangu kama nilivyoagizwa.lakini tunaondoka wote asubuhi na kurudi wote usiku halafu ikifika mwisho wa mwezi unataka baba ndio asijue hata mshahara wako unaenda wapi huu ni uendawazimu. kwani baba yangu mimi kunisomesha hastahili kupewa hiduma na mimi kama wewe?!! sioni sababu ya wewe kufanya kazi.....mwanamke ukidai haki sawa basi haki iwe kwa kila kitu isipokuwa vile vitu vya asili kama kubeba mimba na kuzaa kwa mwanamke na kutoa mbegu za uzazi kwa mwanaume......otherwise watu tukubaliane kwamba mwanaume abakie kuwa mwanaume na mwanamke kama mwanamke.HAKUNA HAKI SAWA HAPA hata Vitabu vya dili vinasema hayo
 
mijinaume inayolalamika hovyo imepoteza sifa ya uanaume...shame on them

Mijianamke inayojikweza kwa kujidai inajua kila kitu na kutaka kujiona yana uwezo sawa na wanaume inapoteza sifa za mwanamke.mwanamke shurti uwe soft na mwenye nidhamu kwa mumeo kama unajidai kichwa ngumu......TUPA KULE akawe mchepuko wa waume za wanawake wanaojitambua
 
Mimi nadhani mwanamke anakuwa na tabia fulani kwa jinsi unavyoishi nae

Mwanaume una mamlaka makubwa sana ya kumtengeneza mke awe vipi

Ukiona hayuko kwenye mstari tatizo ni wewe
 
Mimi nadhani mwanamke anakuwa na tabia fulani kwa jinsi unavyoishi nae

Mwanaume una mamlaka makubwa sana ya kumtengeneza mke awe vipi

Ukiona hayuko kwenye mstari tatizo ni wewe

Wengine huwezi kuwabadili,wanawake wanataka haki sawa,sasa kwenye ndoa ukishaanzisha haki sawa hamwezi kudumu
 
Wengine huwezi kuwabadili,wanawake wanataka haki sawa,sasa kwenye ndoa ukishaanzisha haki sawa hamwezi kudumu

Mkuu...matatizo kama haya yanawakuta watu walio less confident

Kutokujiamini kwa mwanaume ni tatizo

Au kuwa na Inferiority Complex ni tatizo

Binafsi mimi nikioa siangalii degree au diploma au darasa la saba

Naangalia tabia ya mtu.....

Kuna wanawake wengi tu ni wasomi na ni wake wazuri tu

Kuna wengine darasa la saba lakini unajuta........

Hii mentality ya kwenye mada hii ni ile ya kumweka mwanamke kama mtumwa na asiye na sauti kwenye familia...Kitu kilichopitwa na wakati
 
Ukweli ni kwamba mwanamke wa la saba au form 4 ni rahisi kusikiliza ushauri hata asipoutekeleza.

Mi kama mimi siwezi kufanya mwanamke awe mtumwa nitamsikiliza sana,ishu ni kwamba wanawake waliosoma mtazinguana sana na yeye anataka awe kichwa cha nyumba,sasa kwa mwanaume anayejielewa hiyo kitu ni ngumu,nature ya mwanaume ni mwenye msimamo,sasa wote mkikutana mna misimamo yetu tofauti lazima pavurugike
 
hawa wenye mi digrii wanasumbua sana.ni wajuaji wabishi na ni much know sana.staki. hata kuwaskia
 
Ukweli ni kwamba mwanamke wa la saba au form 4 ni rahisi kusikiliza ushauri hata asipoutekeleza.

Mi kama mimi siwezi kufanya mwanamke awe mtumwa nitamsikiliza sana,ishu ni kwamba wanawake waliosoma mtazinguana sana na yeye anataka awe kichwa cha nyumba,sasa kwa mwanaume anayejielewa hiyo kitu ni ngumu,nature ya mwanaume ni mwenye msimamo,sasa wote mkikutana mna misimamo yetu tofauti lazima pavurugike

Uwezekano mkubwa mwanamke wa Darasa la saba atakuwa NDIYO MZEE

Ukiona mnazinguana ujue hujamsikiliza....Ukimsikiliza ...ukampa nafasi...Mtaelewana...Tatizo Ubabe

Mwanamke mbaya anatengenezwa na Mwanaume
 
Wenye degree hamfai na degree zenu.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu.

Mtazalishwa, mtalea watoto, mtadanganywa na hamtaolewa.

Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?

Wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Mfano ninao aisee ni kweli nimetulizana na shemeji yenu nafaidi ndoa hii ni tamu....asante Mungu kwakuniletea huyu niliyenaye
 
watasoma mpaka watakapokoma wao kuolewa n majaliwa.ila nyie wa digrii ni TATZO.
 
Mbona unantisha ninae wa chuo kwa hiyo unataka kuniambia nitataabika mimi siamini upendo upendo tu
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Ni shiiieeda
 
Back
Top Bottom