Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Nani kakauambia ukioa msomi utakuwa na familia bora? ww mke unatoka nae asubuhi mnarudi ucku kila kukicha semina na vikao hao watoto watapata wapi malezi ya mama ambayo ni bora kabisa na ndio yanafanya wengi leo hii tupo smartesthaa haaa haaa huyo bintie ataishia kuzalishwa tu halafu mwanaume atatafuta msomi aoe ili awe ma familia bora