Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,428
Hivi na wale wanaoinamishwa na wauza magenge, wapaka kucha rangi, mahse boys na gate keepers Wauza samaki mtaani wakati waume zao wako maofisini mchana wana madegree mangapi vile?
hapo kwa wapaka kucha hapo umewagusa graduate wengi sana. Hapo ndipo mnapo pekenyuliwa sana huku ukija kwa mahouse boy ndio usiseme