Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...
Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....
Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....
elimu zenyew sijui znawasaidia nn! Wanaringia elimu zao halafu ndio wanakuwa wa kwanza kuinamishwa maofisin na mabosi et watapewa vitengo vizr bila hata haya.
Kiukweli hawa wanawake graduate sio wa kuoa hao ni kwaajili ya michepuko tu.
Bora kuoa ka 4m4 kako unakafungulia biashara au kanasimamia miradi yako maisha yanaenda lakn sio unabeba jitu linajifanya lina elimu huku ndio linaongoza kwa ufuska maofisin, kubambikia watu mimba
acha hizo ww .... Ulitaka tusuport uozo wenu? Kilichoongelewa kwenye hii thread ni ukweli mtupu,,
wanawake wenye digree wamejaa dharau na majivuno na ukicheche hawafai kuwa wake.....
Kama huamin fanya uchunguz utone masingle mom wengi ni magraduate
hajapitia huku
sipati picha akisoma hizi comments zako mkuu, manake wewe na Mgirik mmeongea vitu vya maana sana kwa wadada wasomi, ni kweli wengi wao siyo, ingawa ukimulika na tochi unaweza bahatisha ambaye hajaathiriwa na elimu yake
kweli kabisa huwezi kulioa janamke lina masters yake halafu ukampangia sheria nyumbani akakubali atataka kila kitu haki sawa
unajiolea zako wa 4m4 tabu hana yeye ndio mzee we ndio baba ake baby wako na kila kitu nyie wenye degree subirieni 30's huko mdandie waume za watu a.k.a michepuko
mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.
VIOL: wenzio wanaokuja hapa na kuweka sifa za mtu anayetaka kumuoa na elimu ikizingatiwa huwa huon? hebu wa PM waulize kwa nini kigezo cha elimu anakizingatia, tabia ya mtu ni tabia yake tu, kuna wanawake wasomi wanajishusha kwa wenza wao ha raha, kama ulimtafuta msomi kabumbuluka kwasababu umegeuka tegemezi kwake unategemea atakuheshimu kweli..? maisha ni kusaidiana.
Mwanamke nisaidiz tu kwako tena pale utakapokwama na sio lazma akusaidie, maandiko yanasema ADAMU UTAKULA KWA JASHO na HAWA (EVA) UTAZAA LWA UCHUNGU, kazi yake ni kuzaa nawewe ni kuhakikisha amepata mahitaji yote
kusoma kwa mwanamke ni kulingana na maisha ya sasa kwamba ikitokea mwenzangu akatangulia itakuwaje ndo maana wanawake sasa wanapenda kujishughulisha, sasa wanaume umegeuka mchezo kwamba akuzalie na akulishe..! tobaaaaaaa
Hivi unajua mpaka sasa nimetukanwa mpaka nimekoma kwa mada hii
mkuu naona umeamua kuwatolea uvivu kabisaaa! Nina imani wanaoangalia mambo kwa jicho la pili watajifunza kitu kupita hizi comments zako, uchunguzi wako una asilimia nyingi mno za ukweli
Hivi unajua mpaka sasa nimetukanwa mpaka nimekoma kwa mada hii
mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.
Mkuu unabahati sana, endelea kumuomba Mungu asibadilike., ktk kizaz cha sasa haki kwa hawa viumbe na elimu wanayoyoipata wanataka kuwa sawa! Unapangiwa mpaka(-) ukimlazimisha anasema umembaka,kesho yake anakimbilia kwenye media kutangaza,..mke wangu anamasters lakini tunaishi vema sana haijawahi kutokea.
Mkuu Ls man gsu ana bahati,ila wengi hawana hilo bahati,ila asilimia kubwa ya wanawake wasomi hawajielewiMkuu unabahati sana, endelea kumuomba Mungu asibadilike., ktk kizaz cha sasa haki kwa hawa viumbe na elimu wanayoyoipata wanataka kuwa sawa! Unapangiwa mpaka(-) ukimlazimisha anasema umembaka,kesho yake anakimbilia kwenye media kutangaza,..
huo mzigo nani alikuchosha huko kazini mpaka ukilala na mmewe hutaki kuutoaKweli tupu, mwanamke unafanya kazi unarudi umechoka , bado majukumu ya nyumbani yanakusubiri ,dume unakuta limekaa tu kwenye tivii linasubiri kila kitu lifanyiwe na ukipanda tu kitandani linataka mzigo, ukifanya tofauti unaambiwa eti hujui majukumu yako, nichoke na kazi, nirudi nihudumie familia, na bado nikuhudumie wewe chakula cha usiku , nisipotoa chakula cha usiku vizuri kutokana na kuchoka utaniambia sijui mapenz, moyo huo utatoka wapi ikiwa wewe umekaa tu yaani hujitambui wala kujigeuza kwa lolote na bado unilaumu ,kwani ukinisaidia kazi utakufa, khaa nyie kwani wanawake maroboti? Mkiambiwa ukweli eti mwanamke msomi au mwenye kazi ni jeuri , kiukweli hamjitambui achaneni na mfumo dume wa kijinga!