Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Jamani alieleta hii mada ana akili mpaka basi. Yani wanawake wasomi si lolote si chochote. Nikupiga heat and run kisha unaoa mtoto mzuriiii wa drs la 7 au form 4.
 
ww bint sio kwamba hatujasoma tunaelim zetu na kaz zetu nzur tu. Ila wanawake waliosoma ndio hawafai......
Hata wakienda kuomba kaz sehem hupenda sana kuvuliwa chupi ili wapate kaz kirahisi

Eeeeeeh kumbe wanaotoa ajira vigezo ni kuvua watu chupi...... lols basi wanaume zetu huko ni mashoga!
 
Watoto wako wa kike usipeleke shule kabisa ili wasibaki manungayembe .... sawa eee? sisi wacha tupige kitabu na unungaembe!
 
Siyo kuwaogopa hamna msaada wa maan ndani ya ndoa zaid matatizo na kujifanya na degree zenu

msamehe ni stress za kufika miaka 27 kila mwanaume aliyenae haeleweki wengine wanaume za watu
 
Watoto wako wa kike usipeleke shule kabisa ili wasibaki manungayembe .... sawa eee? sisi wacha tupige kitabu na unungaembe!

We hujaelewa kwani mwanangu atasoma ila akiolewa au asipoolewa ni juu yake sio yangu we soma ukimaliza uwe mchepuko tu
 
Eeeeeeh kumbe wanaotoa ajira vigezo ni kuvua watu chupi...... lols basi wanaume zetu huko ni mashoga!

sio kwamba wanaume ndio huvuliwa la hasha! Ni wanawake hao wanaojiita wasomi ndio wanaongoza kuinamishwa maofisin.....
Wao ndio wanaongoza kubambikia wanaume mimba,, nyodo haziishi kumbe mikurumbembe tu. Mtazalishwa mpaka mkome
 
ndo size ya kuwaoa wanawake wa degree na kueendelea,mwanaume kilaza ndo mme wa wa mwanmke mwenye degree na kuendelea,pwaah

Hii ni kwa wale wanaopenda kutumia inferiority ya mtu kama tool ya kuwa na mahusiano na hasa huwapata wadada above 30 yrs ambao hawajaolewa na wapo smart...
Ila pia ina negativity zake nazo ni mume kufanya vitu ambavyo ni unexpected maana anamchukulia mumewe kama ----- flan na mume nae anafika mahali anachoshwa na hiyo hali....
 
elimu zenyew sijui znawasaidia nn! Wanaringia elimu zao halafu ndio wanakuwa wa kwanza kuinamishwa maofisin na mabosi et watapewa vitengo vizr bila hata haya.
Kiukweli hawa wanawake graduate sio wa kuoa hao ni kwaajili ya michepuko tu.
Bora kuoa ka 4m4 kako unakafungulia biashara au kanasimamia miradi yako maisha yanaenda lakn sio unabeba jitu linajifanya lina elimu huku ndio linaongoza kwa ufuska maofisin, kubambikia watu mimba

teh teh mkuu umeongea ukweli mtupu.
 
sio kwamba wanaume ndio huvuliwa la hasha! Ni wanawake hao wanaojiita wasomi ndio wanaongoza kuinamishwa maofisin.....
Wao ndio wanaongoza kubambikia wanaume mimba,, nyodo haziishi kumbe mikurumbembe tu. Mtazalishwa mpaka mkome

Hivi na wale wanaoinamishwa na wauza magenge, wapaka kucha rangi, mahse boys na gate keepers Wauza samaki mtaani wakati waume zao wako maofisini mchana wana madegree mangapi vile?
 
Watazalishwa dada zako kwanza shoga.hadi sasa hivi washazalishwa dada zako wangapi nyumbani unasaidia kulea watoto wa vidume wenzio.
 
Hivi na wale wanaoinamishwa na wauza magenge, wapaka kucha rangi, mahse boys na gate keepers Wauza samaki mtaani wakati waume zao wako maofisini mchana wana madegree mangapi vile?

Napata mashaka na kichwa chako
 
Hujasoma wewe kabisaaa pompoliso tuu ndo maana unaandika upompoliso huku

Haya wewe ndio umesoma peke yako ndio maana hujaolewa umebaki kuwa mchepuko na chakula cha bosi na wafanyakazi wenzio na bado
 
wanawake wasomi kweli ni tatizo.. Wanathamin kaz kuliko ndoa
 
Watazalishwa dada zako kwanza shoga.hadi sasa hivi washazalishwa dada zako wangapi nyumbani unasaidia kulea watoto wa vidume wenzio.

Mchepuko behavior wana hasira za karibu wana stress za karibu wana watoto wengi kwa baba tofauti kila kitu wanaona wanaonewa wewe ni mchepuko material
ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Mchepuko behavior wana hasira za karibu wana stress za karibu wana watoto wengi kwa baba tofauti kila kitu wanaona wanaonewa wewe ni mchepuko material
ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Hahahaha yani wewe ni shoga bila chenga.tabia za kike kike.ushagawa tigo leo
 
Hahahaha yani wewe ni shoga bila chenga.tabia za kike kike.ushagawa tigo leo

Tatizo ndio hili wengi wenu mnatoa sana tigo ndio maana hujaolewa umebaki kuwa mchepuko aliyekwambia ukifumuliwa malinda utaolewa nani ? sasa hilo linda halishoneki hata kidogo subiria wakati wa kujifungua mtoto wa mume wa mtu utaona mimavi kitandani
 
Back
Top Bottom