Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Nichek whatsup......, nina issue na wewe
50-vivica-4.jpg
timthumb.php
50%20Cent%20-%20Do%20You%20Think%20About%20Me.jpg
 
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa

Mbona wewe STD VII leavers i.e. madereva, messengers na shamba boys wanakuweza, kwanini mimi nikushindwe?
 
Yaani haya masomi ya kuvaa nusu uchi na degree zao vichwani ndo mnayoyazungumzia?????

Kama limtu linajidai limesoma ilhali linatembea uchi barabarani ndo litaweza kuitunza familia? ????

Acheni wa darasa la saba na form four waolewe tu. Hayo mengine yatabaki yanazalishwa tu.

NANI AKUOE WEWE. ..... AKUOE ILI UMZALIE MITOTO MIJINGA MIJINGA KAMA MAMA YAO??????????
 
mkuu unalazimisha watu watoe facts ambazo zipo wazi,haya we tupe kwanza fact kwamba wanawake wasomi si pasua kichwa kwenye ndoa

facts gan? unachukua facts zinazohusu watu wa nyumban kwenu halafu una speak in generalities. mkuu kama ni hvyo hata mimi dada zangu wana degree na wote wameolewa. hakuna aliyebaki nyumbani.
 
mtoa.mada binti ako wa kumzaa utapenda aishie darasa la 7 au form 4?????...
 
mtoa.mada binti ako wa kumzaa utapenda aishie darasa la 7 au form 4?????...

hata akisoma kuolewa hatoolewa yeye ila ukweli haubadiliki wanawake hasa wafanyakazi ni pasua vichwa
 
Watu wagumu kuelewa kama walivyo wepesi kuolewa. Mtu kasema kakosea sasa limtu linashikilia bango mpaka mkoani kwao
 
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!

Uko sahihi,Tatizo mtu anatafuta mke akifuata matamanio 'acha upendo uongoze' tofauti unazozihisi mtoa uzi hazipo ikiwa upendo wa kweli utakuwepo...
 
KISHINDO Kishindo ni mwingine na huyo viol ni mwingine. Nilikosea tu kucopy post ya huyo jamaa.

unaona unavyojichanganya sasa mkuu. hahahahahahaha Mungu hamfichi mnafiki. kwa mtu ambaye ana akili ataelewa naongelea nini kwa kutumia hii sentensi yako. asante sana mkuu unafiki wako umedhihirika sasa Invisible na Moderator please[/QUOTE]
mkuu apa hata kwa mizimu yako,ila umejichanganya,jipange tumia kipaji kutumia zaidi ya id mbili
 
Back
Top Bottom