celex
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 200
- 35
shukuru mungu kama umeolewa na kisomo chako na ndoa imetulia
msiwatishe wenye degree zao kwani nani kasema bila ndoa watu hawawezi kuishi?
shukuru mungu kama umeolewa na kisomo chako na ndoa imetulia
kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?
Nina uhakika wengi wenye elimu ya kawaida (Masters) mada hii imewashika pabaya maana ina ukweli ndani yake. Seriously wasio na elimu ya darasani iliyosogea juu kiasi (hapa mnawaita std 7 na f4) ndio wansotulia na kujenga miji yao. Huweza hata kuwasaidia waume zao tena wenye elimu kwa mambo kadhaa hasa anayoyamudu mwanamke zaidi mfano malezi ya watoto na kutunza nyumba. Shida moja wengi wetu tunadhani kuwa na shahada ndio kuelimika, not necessarily.
ila isije mmeo ndo hajielewi,maana kuishi na mke wa degree mwanaume lazima uwe na mapungufu
sio kweli kabisa.Kushindwa kulea familia ni tabia tu ya mtu mimi ushahidi ninao nimelelewa na wazazi wasomi tena wamenilea vizuri mpaka na mimi nikasoma na kupata hiyo degree na sasa nina maisha yangu.
ila isije mmeo ndo hajielewi,maana kuishi na mke wa degree mwanaume lazima uwe na mapungufu
hebu acha ubishi wewe wengi wenu mkifanya kazi mnajisahau mambo mengine kulea hamlei mnawaachia wafanyakazi mnataka haki sawa ila kodi ya meza ni mwanaume ada mwanaume nyie msikilizeni ni nguo na viatu na anasa anasa tu mara mume anarudi kazini chakula anaandaliwa na housegirl au vikaratasi mezani eti umelala umechoka na kazi hizo ndio nisizozipenda mke wangu hatofanya kazi ofisini
sitaki kubishana na wewe nakushauri utafute mke type yako inaonekana hata elimu yenyewe huna na kama unayo ya kubabaisha tu.Ni wanaume wangapi siku hizi hawajishughulishi wanalishwa na kuvishwa na wake zao halafu bado wanajiita kichwa cha familia upuuzi mtupu.Yaani bora kuishi single kuliko kuishi na mume anayekataza mke kufanya kazi wakati hata pesa ya matumizi ndani ni shida.
Yan apa we ndio unaejipa matumain ya kuoa goal keeper ..endelea kujipa matumaini wee utashaa mjini shule kijijini jembe jidanganye uje na jembe lako mjin cjui utalima lami hahaaaa kaoge weee mburula
pole sana kama hata neno unalipinga we utakua mpagani.
labda nikutajie sababu kwa nini nitaoa golikipa
1: Nitakapomuhitaji nitampata kwa wakati wowote kwa vyovyote unavyofikiria wewe
2: Kuchelewa nyumbani kwake lazima kuwe na sababu hata kutoka tu nyumbani mpaka niwe na taarifa
3: Malezi ya watoto kwa asilimia kubwa nitakuwa nina uhakika wa usalama wa wanangu kwanzia malezi hadi chakula tofauti na beki 3
4: Chakula nitapikiwa na mke wangu tu ndio sababu ya kuukacha ubachela
5: Visingizio vya simu vya mara kwa mara hakuna oo mara bosi kapiga oo nimeitwa kazini sitaki mke wangu mali yangu
6: Heshima ipo baadhi ya wanawake wakipata kadegree ni kuanza kutukana wanaume hata wasio wajua kama huyo shosti wako
7: Majukumu ya kifedha yote yatakuwa juu yangu hivyo nitakuwa sipigii mahesabu hela kutoka kwa mke wangu. Maana baadhi yenu hela zenu mnawekeza kwenu badala ya kwako
cc DEMBA na tumboo
inaonekana wewe ni mbinafsi kwanini asiwekeze kwao unataka wazazi wake wafe njaa kisa umemuoa? Sheria ya Ndoa yenyewe imeshasema jukumu la kuitunza familia ni la baba,mama atawajibika baba pale atakapokua incapable sasa kwanini utamani mali za mke huo ni wivu wa kijinga.
labda nikutajie sababu kwa nini nitaoa golikipa
1: Nitakapomuhitaji nitampata kwa wakati wowote kwa vyovyote unavyofikiria wewe
2: Kuchelewa nyumbani kwake lazima kuwe na sababu hata kutoka tu nyumbani mpaka niwe na taarifa
3: Malezi ya watoto kwa asilimia kubwa nitakuwa nina uhakika wa usalama wa wanangu kwanzia malezi hadi chakula tofauti na beki 3
4: Chakula nitapikiwa na mke wangu tu ndio sababu ya kuukacha ubachela
5: Visingizio vya simu vya mara kwa mara hakuna oo mara bosi kapiga oo nimeitwa kazini sitaki mke wangu mali yangu
6: Heshima ipo baadhi ya wanawake wakipata kadegree ni kuanza kutukana wanaume hata wasio wajua kama huyo shosti wako
7: Majukumu ya kifedha yote yatakuwa juu yangu hivyo nitakuwa sipigii mahesabu hela kutoka kwa mke wangu. Maana baadhi yenu hela zenu mnawekeza kwenu badala ya kwako
cc DEMBA na tumboo
nilikuona una msimamo ila kwa hiyo sentensi nimegundua wewe wale wale,Mungu tuepushe na aina ya hawa wanawakeinaonekana wewe ni mbinafsi kwanini asiwekeze kwao unataka wazazi wake wafe njaa kisa umemuoa? Sheria ya Ndoa yenyewe imeshasema jukumu la kuitunza familia ni la baba,mama atawajibika baba pale atakapokua incapable sasa kwanini utamani mali za mke huo ni wivu wa kijinga.