Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Lakini waume wanakiona cha moto huezi msemea atasifu tu
mkuu hao wa masters waume zao huwa hajielewi,yaani mazezeta hivi,uone mwanamke kaolewa na mtu mwenye elimu ndogo kuna utata pande zote
 
kwa hicho kimshahara cha laki 2 unachokitegemea lazima ukimbilie wa form 4

dada siwezi kukuooa mimi dereva wa bodaboda
we subiri mume kama utapata bosi
 
dada siwezi kukuooa mimi dereva wa bodaboda
we subiri mume kama utapata bosi

kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?
 
hii mada ni muhimu sana kwa akina dada wa kileo hasa wale waliobahatika kufika madarasa ya juu. Wengi wao ni jeuri kupindukia kwa waume zao. haya mambo ya kutafuta haki kupindukia yanawaharibu dada zetu. Ni afadhali wangeishia tu kudai haki zao kama kupendwa, mume kumjali na kumsikiliza lakini siku hizi wamepitiliza wanataka uhuru kupindukia wasiulizwe waendapo au watokapo kazini au matembezi, vikaoni, kichen party, n.k. halafu wao wanataka full control kwa waume zao, ni wakali wasiotaka ushauri na majibu ya hovyo. Nadhani talaka zitazidi sana kwa hawa wasomi wetu kadri siku zinavyoenda.
Well said. Asante sana.
 
kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?

Wanaongea tu kwa vile wamekosa wakubali tu ukute hata degree hawaijui cha muhimu love tu
 
kama walioishia la 7 na form 4 wazuri mbona bado mnakimbili michepuko yenye degree si mbaki nao kinachowafanya mtoke nje ni nini?

Sio kweli. Kwani hiyo kitu huko chini nayo inakuwa na degree? Kwa hilo mwenye degree na ambaye hana zote kazi ni moja.
 
mwenye elimu siku zote ndio anajua umuhimu wa elimu wasiokuwa nayo hata umwambieje hawezi kukuelewa.
shukuru mungu kama umeolewa na kisomo chako na ndoa imetulia
 
Sio kweli. Kwani hiyo kitu huko chini nayo inakuwa na degree? Kwa hilo mwenye degree na ambaye hana zote kazi ni moja.[/QUOTE
hamtaki wenye elimu maana mnaogopa mnaona kama mtaaibika maana mke anaweza akakuzidi kipato utakosa sound bure.Poleni sana wanaume,tena mi natamani watoto wa kike tu niwasomeshe mpaka phd sio degree tu.
 
Back
Top Bottom