Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wataishia kuwa single families na watoto wanaodhalishwa hawana maadiri sababu ya kukosa malezi ya pande mbili. Mbaaafu kabisa
thanks,watapost picha za watoto wao huku wakisema,i love u my bby''
 
Nilikuwa napita ila DEMBA kanitekenya.....!! Anawaka kama chui aliyejeruhiwa na bis bis hahahahahaaaa , pole
 
We uko chini kwako kuna kitu kweli?!, na kama kuna chochote basi ni ki pinky cha kichanga, janaume zimaa linaogopa w'wake!
 
hizo stress zako za kutokuolewa usiniletee mimi
unanihesabia upuuzi hapa kwani wangapi wanaolewa na wanaume wa ajabu tunawaona na elimu zao
mkishafika 30's vichwa vinauma hapa unajifariji tu.

Yan apa we ndio unaejipa matumain ya kuoa goal keeper ..endelea kujipa matumaini wee utashaa mjini shule kijijini jembe jidanganye uje na jembe lako mjin cjui utalima lami hahaaaa kaoge weee mburula
 
usitake nichane mistari usiyotegemra
 
Hawana lolote hao mkuu wasikushushie heshma yako kama ME
hizo stress zako za kutokuolewa usiniletee mimi
unanihesabia upuuzi hapa kwani wangapi wanaolewa na wanaume wa ajabu tunawaona na elimu zao
mkishafika 30's vichwa vinauma hapa unajifariji tu.
 
Wataishia kuwa single families na watoto wanaodhalishwa hawana maadiri sababu ya kukosa malezi ya pande mbili. Mbaaafu kabisa
thanks mkuu nimependa comment yako
 
Yan apa we ndio unaejipa matumain ya kuoa goal keeper ..endelea kujipa matumaini wee utashaa mjini shule kijijini jembe jidanganye uje na jembe lako mjin cjui utalima lami hahaaaa kaoge weee mburula

labda nikutajie sababu kwa nini nitaoa golikipa

1: Nitakapomuhitaji nitampata kwa wakati wowote kwa vyovyote unavyofikiria wewe

2: Kuchelewa nyumbani kwake lazima kuwe na sababu hata kutoka tu nyumbani mpaka niwe na taarifa

3: Malezi ya watoto kwa asilimia kubwa nitakuwa nina uhakika wa usalama wa wanangu kwanzia malezi hadi chakula tofauti na beki 3

4: Chakula nitapikiwa na mke wangu tu ndio sababu ya kuukacha ubachela

5: Visingizio vya simu vya mara kwa mara hakuna oo mara bosi kapiga oo nimeitwa kazini sitaki mke wangu mali yangu

6: Heshima ipo baadhi ya wanawake wakipata kadegree ni kuanza kutukana wanaume hata wasio wajua kama huyo shosti wako

7: Majukumu ya kifedha yote yatakuwa juu yangu hivyo nitakuwa sipigii mahesabu hela kutoka kwa mke wangu. Maana baadhi yenu hela zenu mnawekeza kwenu badala ya kwako

cc DEMBA na tumboo
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa lazma uoe goalkeeper koz ndio hadhi yako poleee
 
Last edited by a moderator:
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Nimegundua wanaume wengi tunaogopa kuwa challenged ni kweli sisi ni vichwa lakini hiyo haifanyi wanawake wasitoe mawazo yao wengi wanaogopa kukosolewa utadhani wao ni miungu au malaika wenye elimu ndo wazuri
 
Jaribu kuitafuta hiyo challenge kama ni ice bucket, rubble or love challenge..................Usijinyonge ikikuzidia uwezo.

Ukiona wenzako wanalalama ujuwe kunasababu/kunajambo japo sio wote lakini probability ya ......hutowa majibu.
 
Nimegundua wanaume wengi tunaogopa kuwa challenged ni kweli sisi ni vichwa lakini hiyo haifanyi wanawake wasitoe mawazo yao wengi wanaogopa kukosolewa utadhani wao ni miungu au malaika wenye elimu ndo wazuri
ukiogopa kuwa wa kiume basi uwe wa kike
 
Back
Top Bottom