Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
dmkali nakuunga mkono 100x100, ninaamini tangu Mkuu wa Mkoa atamke alichokihisi ni jukumu la polisi kusema ni kwa nini shisha inavutwa hadharani pamoja na kuwapo tamko la waziri Mkuu? Makonda anasoma dariri za nyakati nadhani kamishina kanda maalumu alitakiwa kutafsiri kwenye vitendo hiyo kauli ya Makonda hata kabla Makonda hajajiosha . MAKONDA CHAPA KAZI. Ukuu wa Mkoa sio nafasi ya siasa
 
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
Mbona mwandiko huu kama wa Makonda mwenyewe?
 
1. Halafuuu, ile ishu ya walimu kupanda bure mabasi aliishia wapi?
2. Kamata kamata ya vijana wasiokuwa na kazi aliitoa wapi?
3. Kukamata wageni kwenye hotels/lodges/guesthouses aliota usiku ndipo akasema asubuhi?
4. Hiyo habari ya shisha alishirikiana na nani kuamua? Aliweka mikakati gani kutekeleza?
5. Kwanini wafanyabiashara aliokuwa anabagain nao rushwa hakuwaripoti TAKUKURU yeye akaacha waende?
6. Watendaji unaodai wanamwangusha amewachukulia hatua gani?
7..............?
8...............?
 
Dmkali ..., Sijui kwa nini sisi wana ccm ni vilaza hivi .... ?! Hivi mlishawahi kujiuliza SHISHA ni nini hasa ...?! Hivi kweli MTU mzima na akili zake anaweza kupiga marufuku uvutaji wa shisha (kwa sheria gani ?) halafu akaacha kupiga marufuku sigara ...? Shisha ni Moshi wa TUMBAKU unaovutwa kupitia chombo maalum kinachowekwa maji ili kuchuja moshi huo wa tumbaku .. Shisha ni tumbaku inayowekwa harufu mbali mbali nzuri za matunda kuvutia wavutaji tumbaku wavute zaidi .. Uvutaji huu wa aina hii wa Moshi wa tumbaku ni ustaarabu mpya toka nchi za Persia na bara la Arabia ... Kwa kifupi shisha ni tumbaku tuu kama tumbaku nyingine ..., na tumbaku inaweza kuvutwa kwa kutumia vifaa mbali mbali kwa staili mbali mbali wanazopendelea wavutaji tumbaku .... Tumbaku inaweza kuvutwa kwa, 1. Kiko. 2. Kuvutwa kama sigara yenye filter ..
3. Kuvutwa kama sigara isiyo na filter. ...
4. Ugoro...
5. Sonyo ...

Na mwendelezo wa matumizi ya tumbaku na namna ya kuivuta ni nyingi kutegemea tamaduni za watu na mazingira yao ...

Kama Makonda anafanya kazi ya kweli ..., eti kuwatetea watu wasiathirike na shisha (tumbaku flavored) .., basi anatakiwa apige marufuku kwa ujumla uvutaji wa TUMBAKU ....

Shisha sio PROHIBITED wala RESTRICTED product kwa sheria za customs za Tz na duniani ... Inaingizwa nchini kihalali na inalipiwa kodi kama bidhaa nyingine zote za tumbaku ... In fact it is heavily taxed ...!

Nchi haiongozwi kwa matamko jamaniii nyie vilaza wa ccm ....
Kama kuna makosa yoyote wanayofanya waagizaji shisha, kama ni makosa kuvuta shisha .., basi sheria za nchi ni LAZIMA ziseme hivyoo.... Na watu waijue hiyo sheria inayokataza kuvuta TUMBAKU ..., SONYO, SIGARA ..., KIKO .., au PIPE ..., CIGAR ..., na SHISHA ...
Nchi inaongozwa na KATIBA ...., sio matamko ya ccm ...
 
Ma comrade na wale tuliopitia chipukizi turudi kujenga viongoz ndani ya chama ni jambo lakusikitisha kiongoz tunaye mpa hadhi ya RC hawezi zingatia Itifaki
 
Makonda aseme tuu analipwa nini kufanya kazi ya kulinda biashara za watengenezaji sigara wetu ...

NB: Nimeandika haya kuweka uelewa wetu sawa, SIVUTI TUMBAKU ya aina yoyote ... [emoji120]
 
Makonda hajui siasa bado
suala la shisha ni yeye kaligeuza big issue
halikuwa big before..

ni tatizo ambalo yeye kalitengeneza mwenyewe

Kwenye siasa hutakiwi kutengeneza matatizo mapya ...
una deal na yaliyopo....

watanzania wengi hata shisha hawajui ni nini
kweli kbs asa sie wa mikoani mpk leo sijajua shisha ni nin
 
Kosa lake liko wapi; alichoamua kusema pale hadharani ni kuondoa ule unafiki uliokuwa umeanza kujitokeza
Kuwatuhumu viongozi wenzake kuwa wamekula rushwa aliyoikataa??
That was cheap...
Na alikosa adabu.
 
Ukifatwa fatwa sana unahamia huku
Rechargeable_Shisha_Diagram_1024x1024.png
"shisha pen"
 
Wakuu salaam,
1. Mnakumbuka zile kelele za watu wengi dhidi ya waziri wa afya kutaka atumbuliwe kwa kudanganya umma kwamba dawa zipo wakati hazipo? Hapa wananchi walitaka hatua ileile ya kumtumbua Anna kilango kwa 'uongo' wake ichukuliwe pia kwa huyu waziri lakini matokeo yake wote tunayajua.

2. Mnakumbuka ishu ya Gambo vs Lema? Tulipiga kelele sana lakini mwisho wa siku tuliona alichokifanya malaika mkuu.

3. Mnakumbuka yale maigizo ya picha ya yule dc wa iringa? Watu walipiga kelele kuhusu yale maigizo lakini malaika mkuu akabariki yale maigizo.

Inshort, Mikelele yenu inamsumbua malaika mkuu na yeye huwa hapendi kelele na kwa vile yeye ni mtu wa visasi kwenye haya makelele dhidi ya Makonda atawakomesha kwa kumpandisha cheo ili mkome kiherehere chenu.
 
Huwezi kufanya kazi kwa mazoea! Miaka 50 kama walinyamaza haihalalishi kutumia madawa ya kulevya! Shisha ina madhara kiafya.
Kisichokuwa na madhara kwa afya ni kitu gani mkuu???
 
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
'Ipo siku mtamkumbuka huyu 'kaka'..

Nmejikuta tu nacheka
 
Wakati Makonda anateuliwa Mkulu alisema moja ya sababu ya kumteuwa ni baada ya kusikia Makonda akipigwa pigwa vita..!!

Kwaiyo Makonda kuadhibiwa na mamlaka ya uteuzi ni kama ndoto.

Kwa sehemu nyingine yoyote, ile statement aliyosema juzi Makonda kwamba " nilipowauliza mbona Shisha inauzwa wakanijibu Waziri Mkuu ameruhusu..", Zile zilikuwa ni serious allegations kwa PM na kwa namna yoyote lazima Makonda angewajibishwa kwa kumtuhumu PM hadharani kwa namna ile.
 
makonda kasema ukweli na kama ni uongo basi waziri haje akanushe au police ccm waje wakanushe.

swissme
 
Wakuu salaam,
1. Mnakumbuka zile kelele za watu wengi dhidi ya waziri wa afya kutaka atumbuliwe kwa kudanganya umma kwamba dawa zipo wakati hazipo? Hapa wananchi walitaka hatua ileile ya kumtumbua Anna kilango kwa 'uongo' wake ichukuliwe pia kwa huyu waziri lakini matokeo yake wote tunayajua.

2. Mnakumbuka ishu ya Gambo vs Lema? Tulipiga kelele sana lakini mwisho wa siku tuliona alichokifanya malaika mkuu.

3. Mnakumbuka yale maigizo ya picha ya yule dc wa iringa? Watu walipiga kelele kuhusu yale maigizo lakini malaika mkuu akabariki yale maigizo.

Inshort, Mikelele yenu inamsumbua malaika mkuu na yeye huwa hapendi kelele na kwa vile yeye ni mtu wa visasi kwenye haya makelele dhidi ya Makonda atawakomesha kwa kumpandisha cheo ili mkome kiherehere chenu.
Wanaotaka atumbuliwe na waliotaka watajwa hapo juu watumbuliwe sio wananchi bali ni kagenge fulani ka ufipa.
 
Wakuu salaam,
1. Mnakumbuka zile kelele za watu wengi dhidi ya waziri wa afya kutaka atumbuliwe kwa kudanganya umma kwamba dawa zipo wakati hazipo? Hapa wananchi walitaka hatua ileile ya kumtumbua Anna kilango kwa 'uongo' wake ichukuliwe pia kwa huyu waziri lakini matokeo yake wote tunayajua.

2. Mnakumbuka ishu ya Gambo vs Lema? Tulipiga kelele sana lakini mwisho wa siku tuliona alichokifanya malaika mkuu.

3. Mnakumbuka yale maigizo ya picha ya yule dc wa iringa? Watu walipiga kelele kuhusu yale maigizo lakini malaika mkuu akabariki yale maigizo.

Inshort, Mikelele yenu inamsumbua malaika mkuu na yeye huwa hapendi kelele na kwa vile yeye ni mtu wa visasi kwenye haya makelele dhidi ya Makonda atawakomesha kwa kumpandisha cheo ili mkome kiherehere chenu.

Una maana atampa nafasi ya yule aliyemtuhumu kuwa anatoa vibali vya shisha?
 
Back
Top Bottom