Tumshukuru kwa lipi, shisha?, shisha huvutwa na wanaojitambua, kwanini asiachane nao akafanya vitu vya maana?, bangi, viroba, gongo, vyakula vichafu barabarani havioni?, huoni kama vinaangamiza kuzazi?Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi Makonda;
Makonda ana uthubutu wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. Makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo la shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayari siku nyingi kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe mtanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe muda mkuu wa mkoa wetu afanye kazi.
Kuna watu wanafikiri kazi ya ukuu wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umasikini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!
Kwa hiyo unakiri kuwa madawa ya kulevya ni janga kuliko shisha kwa sasa?!Siku ikija kuwa hatari kama madawa ya kulevya kwa sasa, msihoji kwanini haikupigwa vita mapema... kama jambo linaweza kuwa hatari acha tu walishughulikie mapema...
Kuna mtu kasema ana kosa?Kosa lake liko wapi; alichoamua kusema pale hadharani ni kuondoa ule unafiki uliokuwa umeanza kujitokeza
Yaani utakuwa ni mtu wa ajabu kutwa nzina mnakaa kujadili shishaa...wakati dar kuna changamoto nyingi sana ambzo mpka sasa hazijatatuliwaKakosea wapi?
Kelele zote hizi na kwa kuwa tulizoea tulizoea tulizoea mazoea.Makonda hajui siasa bado
suala la shisha ni yeye kaligeuza big issue
halikuwa big before..
ni tatizo ambalo yeye kalitengeneza mwenyewe
Kwenye siasa hutakiwi kutengeneza matatizo mapya ...
una deal na yaliyopo....
watanzania wengi hata shisha hawajui ni nini
Angepita tu Huku mitaani aone watu wanavyoteketea na ngadaAnang'ang'ania shisha ngada haioni??
KUNA WATU WENGI KAMA WEWE AMBAO KWA AKILI YA NAMNA HIYO HAWAELEWI HATA MAKONDA ALISEMAJE PALE!
"Waziri mkuu, kuna watu walikuja of in I kwangu kutaka kunihonga ili zoezi la shisha lisifanikiwe nikawakatalia, sasa kutokana na zoezi linavyo sua sua Kwa upande Wa jeshi la polisi, labda hao watu wasije kuwa wamepita na huko Kwa cro"
MAELEZO YA NAMNA HII; YALIKUWA NA MLENGO CHANYA KAMA YAKIPOKELEWA VIZURI, Ni maelezo yenye kuamsha Ari na kasi Mpya"
Maneno kama hayo huenda yangeeonekana yanamaana kama yangesemwa na kiongozi Wa upinzani ...kama alivyotuhumu zile mil 10 za wabunge Wa ccm na; mkashangilia kauri yake, kwakuwa ni upinzani wala hamkuhoji kwanini asingepeleka TAKUKURU Uashaidi wake!...
Lakini ya Makonda mnakuja kumshikia Bango!
Kwanini tusimuunge mkono Makonda Kwa kuzuia ushoga, shisha na uchangudoa? Kuwa chama pinzani haimaanishi kupinga kila kitu!
MUNGU ANAWAONA!
Unaongea na Kassim Majaliwa au unaongea na simu?Makonda hajamkosea mtu. Wanaompinga sijui wana kisasi naye au nini
Mi sijarudisha moyo kwake tangu kipindi cha walioba na bunge la katibaWakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..