The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
Kuna ubaya gani jambo la umma! Likajadiliwa hadharani? Kuna usiri gani hapo? Ikumbukwe tayali Alisha wafata kabla baadhi ya wahusika hawakumpa majibu ya kuridhisha na yalitia mashaka; kuzungumza pale ilikuwa ni sahihi kabisa;Mie nitamkumbuka Makonda ndio, lakini sio kwa kitu kingine chochote chenye tija kwa mkoa wa Dar bali kwa tabia yake ya kupenda kushitakiashitakia viongozi wenzie hadharani kwa mabosi wake utafikiri mtoto wa darasa la pili!? Management skills zake zinatia mashaka sana, Managers do not and NEVER wash their dirty linen in public!
Kuna ubaya gani jambo la umma! Likajadiliwa hadharani? Kuna usiri gani hapo? Ikumbukwe tayali Alisha wafata kabla baadhi ya wahusika hawakumpa majibu ya kuridhisha na yalitia mashaka; kuzungumza pale ilikuwa ni sahihi kabisa;
Kuna ubaya gani jambo la umma! Likajadiliwa hadharani? Kuna usiri gani hapo? Ikumbukwe tayali Alisha wafata kabla baadhi ya wahusika hawakumpa majibu ya kuridhisha na
yalitia mashaka; kuzungumza pale
ilikuwa ni sahihi kabisa;
KUNA WATU WENGI KAMA WEWE AMBAO KWA AKILI YA NAMNA HIYO HAWAELEWI HATA MAKONDA ALISEMAJE PALE!Ni sawa na makamu mkuu wa shule au mwalimu mwandamuzi akikosea m.mkuu akawatangazie wanafunzi, thn baadae wajagundua hakukosea, utaibadili hiyo kitu vp. Alivyojibu siro ni sahihi, yeye ni mwenyekiti inamaana hawajakaa vikao, kwann asimwambie huko?! Haya uchunguzi umeanza ukibaini hahusiki atajitokeza kukisoa?! Ifike hatua tuheshimu taratibu za kazi, sipatani na kiingozi anayekiuka taratibu za kazi na kuropoka ktk vyombo vya habari kama huyu umsifiaye. Ila muosha huoshwa au anadhani kumdhalilisha mzee Waryoba kukivompa kiki kutazidi mpaisha kwa haya... Tutachoka na viongozi wanaokurupuka .... Nddo yale yalotokea tukio la mtoto kupigwa mbeya, walikurupuka na mwishoye taratibu kufuatwa wakakimbia bila kuomba msamaha kwa makosa yao. Kumbuka ukiwa kiongozi neno lako laweza kugharimu mali, hali au hata maisha ya mtu..... Tujifunze kuongoza kwa kufuata taratibu za uongozi na kuacha kick za media kama celebrities. Samahani lakini kutokuungana na wewe 100% kwenye mema ntasifia....
Wewe ndiye?Huwezi kufanya kazi kwa mazoea! Miaka 50 kama walinyamaza haihalalishi kutumia madawa ya kulevya! Shisha ina madhara kiafya.
Wewe ndie?KUNA WATU WENGI KAMA WEWE AMBAO KWA AKILI YA NAMNA HIYO HAWAELEWI HATA MAKONDA ALISEMAJE PALE!
"Waziri mkuu, kuna watu walikuja of in I kwangu kutaka kunihonga ili zoezi la shisha lisifanikiwe nikawakatalia, sasa kutokana na zoezi linavyo sua sua Kwa upande Wa jeshi la polisi, labda hao watu wasije kuwa wamepita na huko Kwa cro"
MAELEZO YA NAMNA HII; YALIKUWA NA MLENGO CHANYA KAMA YAKIPOKELEWA VIZURI, Ni maelezo yenye kuamsha Ari na kasi Mpya"
Maneno kama hayo huenda yangeeonekana yanamaana kama yangesemwa na kiongozi Wa upinzani ...kama alivyotuhumu zile mil 10 za wabunge Wa ccm na; mkashangilia kauri yake, kwakuwa ni upinzani wala hamkuhoji kwanini asingepeleka TAKUKURU Uashaidi wake!...
Lakini ya Makonda mnakuja kumshikia Bango!
Kwanini tusimuunge mkono Makonda Kwa kuzuia ushoga, shisha na uchangudoa? Kuwa chama pinzani haimaanishi kupinga kila kitu!
MUNGU ANAWAONA!
Muulize mkuu wa mkoa Wa Tanga.Kwani shisha ndo nn? Huku kwetu Lushoto mbn hatuijui? Ni kilev km bangi au mirungi au gongo ?!
Makonda ni makonda huwezi kulinganisha na waliopita!Wewe nawe sasa Makonda atakumbukwa kwa kipi ,kuna Majembe yalipita hapa kina Makamba na Abbas Kandoro ,wamemaliza utumishi na mambo bado yanaenda
Huna jipya. watu wote wenye akili zao wamekosoa.Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
Oh kumbe bali anaweza kulinganishwa na wajao sio ?Makonda ni makonda huwezi kulinganisha na waliopita!
Kifutiana jasho utapata... lakini makonda wako bado siasa kwake ni ligiModerator naomba huu Uzi usiunganishwe!