Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

Hafanyi kazi peke yake! Wakati mwingine watendaji wenzake hawaendani na kasi yake lakini makonda ni kiongozi mzuri sana.
Yeye ndo tatizo uongozi umemshinda maana kaanzisha mambo mengi lakini hayamalizii
 
Nahisi Kuna kundi kubwa humu wanaunga mkono shishi matumiz. Mkuu wa mkoa piga kazi ni kweli Kuna watu wameongwa maana mtandao ni mkubwa.
 
Huwezi kufanya kazi kwa mazoea! Miaka 50 kama walinyamaza haihalalishi kutumia madawa ya kulevya! Shisha ina madhara kiafya.
Hata la kuita wahitimu wa vyuo na kusema waandike proposal ili atoe mikopo kumbe kiki
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Sheria inayopinga madawa ya kulevya na bangi inatumika pia Kwa shisha.
Nahisi mleta uzi hata haujui shisha ni nini, tatizo kila anayepinga anaingiza hiki kitu kwa ujumla wake wakati kuna watu wanaweka vitu ambavyo huwezi kuviita dawa za kulevya.
Na wengine wana hizi shisha majumbani kwao.
Mti wenye matunda mazuri.
Jumba bovu ndiyo hukojolewa.

Kuna ahadi na matamko mengi kutoka kwake ila ufanikishaji hauonekani ukilinganisha na nguvu inayotumika kuanzisha jambi husika.

Pia angalia jinsi unavyochanganya 'L' na 'R'
 
Asafishe jiji kwanza jiji chafu km nini....jiji sio posta tu..atembee aone
 
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
Mbona kama mwenyewe huyu.
Maana uzungumzaji wake na haya maandishi, mmmh kama ...
Okay nawaza tu kwa sauti kavu.
 
Ujambazi upo unaongezeka kwa kasi sana dar hasa kwa vibaka kutumia siraha za moto wao hata chenji wanaua tuu hilo mhe.unalizungumziaje..
 
Ukiwa narrow minded and inexperienced unahitaji kujifunza kwa umakini sana sio kua mkurupukaji
 
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....

Sipingani na Makonda kupiga vita Shisha, napingana na hoja zako hapo.
HIVI Ni watanzania wangapi wa hali chini wasiokuwa na uwezo wa kwenda kwenye night clubs na Casino wanaofahamu kusu Shisha? Ukilinganisha na wanaoijua na kutumia Bangi, Mirungu na madawa mengine ya kulevya? Mbona ni kama viroba vina madhara makubwa kuliko hiyo Shisha.

Kwa nini makonda apeleke majina mahali fulani kwa ajili ya kuanzisha uchunguzi ambao kimsingi ushahidi ni mgumu ukilinganishana na kama angedeal nao muda ule ule wakiwa na ushahidi? Makonda ni Rais wa Mkoa kama hawa watu wamepaswa ujasiri wa kumfuata moja kwa moja Makonda, inawezekanaje wamwogope Mkuu wa Wilaya?

Shisha ilizuiliwa na yeye mwenyewe kwa mara ya kwanza na baadae likawa agizo la serikali kwa ujumla iweje leo afanyie kazi tetesi kuwa anasikia waziri mkuu karuhusu? inawezekanaje waziri mkuu ambaye ni bosi wa Makonda abatilishe maamuzi ya Makonda pasipo kumjurisha rasmi na badala yake iwe tetesi?

Mimi sidhani kama kuna watendaji wanamkwamisha, mimi kama bosi ninapoona kuna chini yangu anakwamisha kwa makusudi jitihada zangu nina wajibu wa kumwajibisha.
 
Kusema kweli kwa polisi wetu hawa.sina imani nao.hata kama sirro hakachukua rushwa wa chini take na watendaji wa polisi nna mashaka nao.
 
Uongozi ni team work hatoweza kufanyakazi pekee yake, au hawezi fanyakazi kwa amri. Utekelezaji na amri vitu viwili tofauti. Kusema hadharani ni kufitinisha team yake. Alishindwa nini kumtembelea kamanda ofisini kwake au kumwita ofisini kwake. Mkuu wetu wa mkoa ni mkristo safi hapashwi kuwa namna alivyo mshusha hadhi kamanda, na kumchongea kwa waziri mkuu. Vyeo vya kisiasa na kitaaluma ni tofauti wanategemeana. Kama aliona kuna uzembe basi alitakiwa afuatilie zaidi. Pia jambo lingine mkuu wake wa kazi alikuwepo hakutakiwa kumuomba mkuu wake aendelee kusimamia zaidi na huku kazi niyake. Anajionyesha kuw ameshindwa au ana mwamrisha bosi afanye kazi zaidi.
 
Back
Top Bottom