Soma post ya The Boss hapo juu..Kakosea wapi?
Siku ikija kuwa hatari kama madawa ya kulevya kwa sasa, msihoji kwanini haikupigwa vita mapema... kama jambo linaweza kuwa hatari acha tu walishughulikie mapema...Kosa ni hilo la kuanza vita ya shisha wakati zaidi ya miaka 50
hakuna mkuu wa mkoa wa Dar alieanzisha vita ya shisha
Unafiki aliuanzisha yeye Makonda mwenyewe. Huyu Bw.Mdogo anapenda ufitini sana.Kosa lake liko wapi; alichoamua kusema pale hadharani ni kuondoa ule unafiki uliokuwa umeanza kujitokeza
Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..
Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!
Kwa kifupi makonda;
Makonda anauthubutu Wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!
WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo LA shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.
2. Makonda tayali siku nyingi Kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.
3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe matanzania.
4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe mda mkuu Wa mkoa wetu afanye kazi;
Kuna watu wanafikili kazi ya ukuu Wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"
Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.
Umaskini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!
Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!
Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!
IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!.....
Nina wasiwasi na mleta Uzi, ni kama anajitetea vile! Au.....? Sina m7 mi mtoto wa mkulima!Moderator naomba huu Uzi usiunganishwe!

Kumpiga mz wetu WariobaKakosea wapi?
Bangi huchanganywa kwenye sigara pia,apige marufuku na sigara kama ana ubavu.Sheria inayopinga madawa ya kulevya na bangi inatumika pia Kwa shisha.
Sheria inayopinga madawa ya kulevya na bangi inatumika pia Kwa shisha.
Kama huvioni bac we team makondaKakosea wapi?