Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

Makonda hajui siasa bado
suala la shisha ni yeye kaligeuza big issue
halikuwa big before..

ni tatizo ambalo yeye kalitengeneza mwenyewe

Kwenye siasa hutakiwi kutengeneza matatizo mapya ...
una deal na yaliyopo....

watanzania wengi hata shisha hawajui ni nini
usipoziba ufa utajenga ukuta
Matumizi ya shisha yanasambaa kwa kazi ya ajabu
Shisha inanyunyiziwa unga kwa mbaaali ili uione tamu kesho uje,ukienda mara mbili ni tayari umeshakua teja
 
Wakati kesho jumamosi Mkuu wetu Wa mkoa akitalajia kuwepo katika ziara ya mkoa Kigamboni kusikiliza kero za wananchi naomba kusema machache!..

Kusema ukweli kumlidhisha myahudi wa kizazi hiki yataka moyo!
Mh; PAUL MAKONDA; Ni miongoni mwa wakuu Wa mikoa vijana wachapakazi Wa kupigiwa mfano!

Kwa kifupi Makonda;
Makonda ana uthubutu wa hali ya juu kufanikisha jambo!
Ikumbukwe makonda anawasaidizi na watendaji katika halimashauri na sekta zingine wanaopaswa kumuunga mkono!

WANAO MNANGA KUHUSU CRO!
1. Makonda aliamua kusema hadharani ili kuondoa unafiki katika jambo la shisha; maana tayali kulikuwa na tetesi za watu kuwa shisha imeruhusiwa.

2. Makonda tayari siku nyingi kwa nafasi yake alishapeleka mahali husika majina ya waliotaka kumhonga.

3. Makonda hana ugomvi na mtu yeyote Bali anatetea maslahi yako wewe mtanzania.

4. Makonda anaangushwa na baadhi ya watendaji kutoendana na kasi yake.
***************
Nawashauri watu tumpe muda mkuu wa mkoa wetu afanye kazi.

Kuna watu wanafikiri kazi ya ukuu wa mkoa ni ndogo! Wamesahau " kuongoza ni kazi hata kwenye familia hutokea kupingwa"

Naunga sana jitihada zake huyu Makonda; wanaompinga wengi wamejaa chuki binafsi tu.

Umasikini ukitawala huuharibu Moyo!
Moyo ulioharibiwa na Umaskini huzaa chuki ya kwanini!

Maskini hawezi mtakia mema mwenzake kwasabu chuki ipo moyoni kwake!
Tujifunze kuwaunga mkono viongozi wachapakazi kama makonda.
MAKONDA ANATHUBUTU NA ATAWEZA!

Natangaza rasmi kumuunga makonda mkuu wetu Wa mkoa!

IPO SIKU MTAMKUMBUKA HUYU KAKA! JIFUNZENI KUSHUKURU
"MOYO USIOKUWA NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
MAKONDA go! go! go!
Kuna yule wa simiyu haongei sana but anatenda vitu vikubwa kimyakimya...to me that guy is the best rc
 
Kusema kweli Watanzania tusiwe wanafiki Tumpe Moyo na kumpa support paul Makonda anafanya vizuri sana tuache upinzani wa kijinga Paul Makonda anafanya vizuri
 
Kusema kweli Watanzania tusiwe wanafiki Tumpe Moyo na kumpa support paul Makonda anafanya vizuri sana tuache upinzani wa kijinga Paul Makonda anafanya vizuri
Wanaompinga waangalie wao mikoani mwao ma Rc wao wana kipi wanachowasaidia ama wanachoweza kuwapima na Makonda, huyu jamaa binafsi natamani tungekuwa na wa aina yake hata 10 tu basi tungekuwa mbali.

Wanaomsema kwa mabaya daily ni wale wale " watanzania" wazembe. Na ndo sifa yetu kuu watanzania tulio wengi, tu waongeaji, tunapenda sana umbea na ni wavivu wa kupindukia, sasa ukikubali mvivu akushauri ujiandae kugeuka maskini ghafla.

Makonda anafaa kuwa model kwa Rcs wengine waliolala huko mikoani
 
Kusema kweli Watanzania tusiwe wanafiki Tumpe Moyo na kumpa support paul Makonda anafanya vizuri sana tuache upinzani wa kijinga Paul Makonda anafanya vizuri
umetumwa nini?? nenda kampe wako na wenzio mliotumwa

alafu mwambie yeye si waziri ni mkuu wa mkoa na atabaki kuwa hivyo
 
Tukimpa mioyo yetu sisi tutabaki na nini?
Acha ubinafsi moyo wake anao bado tumuongezee ya kwetu halafu sisi tubaki empty.
Naona hututakii mema wewe
 
Back
Top Bottom