Wanaomkosoa Nyerere wana hoja?

Wanaomkosoa Nyerere wana hoja?

Naomba utufill details za hili; maana so far Nyerere kalaumiwa sana kwa kuanzisha BAKWATA na kuwagawa Waislamu. Ilikuwaje katika hili la kuivunja Assemblies of God?

Viongozi waliokuwa karibu na Nyerere ndio inasadikiwa walikuwa wanampa hizi tactics, kuwa ujamaa ili ufanikiwa lazima dini ziendane na tune ya ujamaa, Kuvunja jumuiya ya waislamu afrika mashariki ilikuwa so obvious kwani Kenya na uganda walikuwa close na marekani. Hivyo kuanzisha Bakwata ni kukwepesha hawa ndugu wasiwe influenced na USA

Ulokole uliingia kwa nguvu sana kutokea Zambia na baadhi ya mipaka mingine kama kongo n.k . Spirit ya walokole ilikuja kwa nguvu na umoja wao wa ulitisha sana serikalini.

Assemblies of God Tanzania ilikuwa chini ya Askofu Lazaro na masaidizi wake Kulola. Kulola alionekana very influential, kwa sababu ya karama zake za kuhubiri.Mpango ukasukwa wa kulivunja hili kanisa, usalama wa taifa wakaingia kazini. Wako waliomfuata Askofu mkuu wa AGT Lazaro na kumhadaa kuwa Kulola anajitayarisha kuunda kanisa lake kwani hataki kuwa chini ya Lazaro.

Wako waliomfuata na kumwambia Kulola kuwa ajiondoe kuwa chini ya Lazaro kwani Lazaro anatumiwa na wamarekani (CIA) kuleta siasa za kibepari ambazo zinakinzana na siasa za ujamaa. Kulola hakukubali Hilo wazo. Kipindi ambacho Kulola hakuwa anakubaliana na serikali (UWT) Walimwingia tena kwa gia nyingine kuwa AGT chini ya Lazaro wataacha mafundisho ya kwanza ya kanisa na ataleta mafundisho ambao hayana utakatifu ndani yake. Kwa hapa walimvuta Kulola! UWT walimuahidi ulinzi, support ya serikali na chochote atakacho.

Kwa hiyo haya makundi mawili ya UWT moja kwa Lazaro na moja kwa Kulola yalifanikiwa kuvunja il kanisa kubwa sana, ambalo lingekuwa na nguvu sana kama lisingeyumbishwa.Baada ya kuvunjika, Kulola akaona kuna jambo si la kawaida, akakasirika na kujaribu kukaa vikao vya usuluhishi. Vikao vya usluhishi vilikuwa vinaandaliwa nausalama wa taifa…(acha nicheke), usalam awa taifa hawa walikuwa wanajifanya ni wachungaji wa makanisa na taasizi zingine!Swali katika utawala wa Nyerere ni je, hata kama wamekuwa separataed lakini kuna uwezekano mkubwa kwa nguvu ya Kulola kanisa likawa kubwa tena!!!

How is he goind to deal with that?

Mpango ukaandaliwa wa kumbana Kulola awe sehemu ya CCM. Mpaka leo mpaka kesho Kulola ni CCM no matter who is a leader, na hatoki kwenye uongozi mpaka kifo!! Na mwaka jana alikuwa kinyume na Slaa live!!

Mara mbili Kulola aliishatofautiana na serikali wakamtupa ndani kwa siku moja kwa lengo la ku-mshape!The bootm ya hawa yote na hata kwenye jamii ya kilokole ni common talk, ni ujamaa..walokole wanasema Ujamaa ulishindwa kwa sababu Nyerere halipata laana ya kulivunja kanisa la kwanza na kupanda mbegu ya chuki.

Ugomvi wa TAG (chini ya Lazaro) na EAGT (Kulola) ndio ugomvi mkubwa zaidi wa kihistoria kuwa hi kutokea, kuna nyakati walikuwa wakikitana wanapigana kavukavu,ngumi vichwa, mawe……n.k contrary to the doctrine.

Wazee leo ukiwauliza wanasema waliopigana sio waumini tu, bali usalama wa taifa walikuwemo wengi tu kila kona
Ukija kwenye jamii ya walokole hawampendi sana Nyerere kutokana na hili, na kuwa alikuwa inclined upande wa waislamu mpaka kukubali matambiko ya kiislamu. Ukija upande wa wasilamu nao wanasema lao Nyerere alipendelea wakristo!!

Mkuu I can not embellish more than this....I willl have to have some fund to get detailed data. Ila kwa capacity yako ya uandishi you can face the retired askofu Lazaro ( he is so open)...you will never face Kulola fo this ..never!!!! anaweza kuanza kukuchulia kifo! the , but I believe what I have written is true, because it is now a tale you can tape it from old people. Nimekuwa EAGT tangu mwaka 1999.
 
Ahsante kwa maoni au taarifa yako. Nimefurahi kwasababu kuna jambo linajitokeza hapa. Tulipokuwa na mjadala na Mohamed Said kuhusu kitabu chake ambacho kilizungumzia kwa undani kifo cha EAMWS na kuundwa BAKWATA, Mzee Said aliyehoji wahusika wa matukio haya na aliandika; Nyerere aliua EAMWS kwa kuogopa uislam na chuki dhidi ya uislam. Alifanya hivyo kwa maagizo kutoka Vatican. Anasema Nyerere aliogopa influence na power ya EAMWS.Tunaelewa Vatcan ina mahusiano na Marekani bila kupiga kope( Western world), na kuna theory ya wazanzibar kuwa mapinduzi ni sehemu ya kazi za CIA na Nyerere alikuwa mfanikishaji malengo.
Sasa wewe una theory kuwa Nyerere aliogopa EAMWS kwasababu ya ukaribu wa Kenya na Uganda ambazo zilikuwa ni washirika wa CIA Marekani.
Hapa kuna contradiction kubwa sana!! Natamani Mohamed Said angerudi ili wewe na yeye mtuelimishe mbivu na mbichi.
Hapa ni patamu.
 
Niliwahi kusoma sehemu mmoja ikielezea theory kuwa watu wenye upeo mkubwa sana wa kufikiria mara nyingi huwa ni kama vile wamesoma somo la kutoeleweka kisha wakafaulu kwa daraja A, kwa maana huwa hawaeleweki sasa kwa mbali naanza kuona iwapo ni miaka 11 tangu Nyerere afe na watu wangali wana mdahalo mkali kuhusu fikra zake basi hakuna tofauti na ile nukuu maarufu ya Yesu Kristo alipowaambia wayahudi...amini nakwambia ingawaje Solomon alijenga hakalu hili kwa miaka arobaini mimi nitalivunja na kulijenga ndani ya siku tatu no stone shall remain on the other!..

Mafumbo mafumbo mafumbo tu hawakuelewa vivyo hivyo hata Nyerere hakueleweka kutokana na watu kuwaza nafsi zao wakati yeye anawaza kuweka misingi imara ya taifa mwishowe wakamwona mnoko!
 
Viongozi waliokuwa karibu na Nyerere ndio inasadikiwa walikuwa wanampa hizi tactics, kuwa ujamaa ili ufanikiwa lazima dini ziendane na tune ya ujamaa, Kuvunja jumuiya ya waislamu afrika mashariki ilikuwa so obvious kwani Kenya na uganda walikuwa close na marekani. Hivyo kuanzisha Bakwata ni kukwepesha hawa ndugu wasiwe influenced na USA

Ulokole uliingia kwa nguvu sana kutokea Zambia na baadhi ya mipaka mingine kama kongo n.k . Spirit ya walokole ilikuja kwa nguvu na umoja wao wa ulitisha sana serikalini.

Assemblies of God Tanzania ilikuwa chini ya Askofu Lazaro na masaidizi wake Kulola. Kulola alionekana very influential, kwa sababu ya karama zake za kuhubiri.Mpango ukasukwa wa kulivunja hili kanisa, usalama wa taifa wakaingia kazini. Wako waliomfuata Askofu mkuu wa AGT Lazaro na kumhadaa kuwa Kulola anajitayarisha kuunda kanisa lake kwani hataki kuwa chini ya Lazaro.

Wako waliomfuata na kumwambia Kulola kuwa ajiondoe kuwa chini ya Lazaro kwani Lazaro anatumiwa na wamarekani (CIA) kuleta siasa za kibepari ambazo zinakinzana na siasa za ujamaa. Kulola hakukubali Hilo wazo. Kipindi ambacho Kulola hakuwa anakubaliana na serikali (UWT) Walimwingia tena kwa gia nyingine kuwa AGT chini ya Lazaro wataacha mafundisho ya kwanza ya kanisa na ataleta mafundisho ambao hayana utakatifu ndani yake. Kwa hapa walimvuta Kulola! UWT walimuahidi ulinzi, support ya serikali na chochote atakacho.

Kwa hiyo haya makundi mawili ya UWT moja kwa Lazaro na moja kwa Kulola yalifanikiwa kuvunja il kanisa kubwa sana, ambalo lingekuwa na nguvu sana kama lisingeyumbishwa.Baada ya kuvunjika, Kulola akaona kuna jambo si la kawaida, akakasirika na kujaribu kukaa vikao vya usuluhishi. Vikao vya usluhishi vilikuwa vinaandaliwa nausalama wa taifa…(acha nicheke), usalam awa taifa hawa walikuwa wanajifanya ni wachungaji wa makanisa na taasizi zingine!Swali katika utawala wa Nyerere ni je, hata kama wamekuwa separataed lakini kuna uwezekano mkubwa kwa nguvu ya Kulola kanisa likawa kubwa tena!!!

How is he goind to deal with that?

Mpango ukaandaliwa wa kumbana Kulola awe sehemu ya CCM. Mpaka leo mpaka kesho Kulola ni CCM no matter who is a leader, na hatoki kwenye uongozi mpaka kifo!! Na mwaka jana alikuwa kinyume na Slaa live!!

Mara mbili Kulola aliishatofautiana na serikali wakamtupa ndani kwa siku moja kwa lengo la ku-mshape!The bootm ya hawa yote na hata kwenye jamii ya kilokole ni common talk, ni ujamaa..walokole wanasema Ujamaa ulishindwa kwa sababu Nyerere halipata laana ya kulivunja kanisa la kwanza na kupanda mbegu ya chuki.

Ugomvi wa TAG (chini ya Lazaro) na EAGT (Kulola) ndio ugomvi mkubwa zaidi wa kihistoria kuwa hi kutokea, kuna nyakati walikuwa wakikitana wanapigana kavukavu,ngumi vichwa, mawe……n.k contrary to the doctrine.

Wazee leo ukiwauliza wanasema waliopigana sio waumini tu, bali usalama wa taifa walikuwemo wengi tu kila kona
Ukija kwenye jamii ya walokole hawampendi sana Nyerere kutokana na hili, na kuwa alikuwa inclined upande wa waislamu mpaka kukubali matambiko ya kiislamu. Ukija upande wa wasilamu nao wanasema lao Nyerere alipendelea wakristo!!

Mkuu I can not embellish more than this....I willl have to have some fund to get detailed data. Ila kwa capacity yako ya uandishi you can face the retired askofu Lazaro ( he is so open)...you will never face Kulola fo this ..never!!!! anaweza kuanza kukuchulia kifo! the , but I believe what I have written is true, because it is now a tale you can tape it from old people. Nimekuwa EAGT tangu mwaka 1999.

Asante mhandisi kwa kutumegea hii nondo.
 
Nadhani kukosolewa ni jambo la kawaida kwa kila mtu. Ata wale wale manabii na makuani walikuwa na makosa yao kama wanadamu.
Kijoka!
Kuna jambo hujalinyaka vizuri.... Katika watu woooooooooooooooooooooooooooooooooote wanaomtetea Mwalimu Nyerere hakuna anayesema asikosolewe au hakuna mabaya aliyofanya. Hoja hapa ni kusingiziwa ubaya ambao hakuwa nao.
 
Nyerere mwenyewe kakubali kukosea, na aka shift goals kwenye hilo kwa ku skirt around the issue na kusema watu wasiangalie aliyokosea na kuacha aliyofanya vizuri (kwa nini? Kiongozi anatarajiwa kufanya vizuri kwa hiyo kwangu mimi the opposite -kuangalia zaidi aliyokosea kuliko yale tuliyotegemea, aliyopatia- ndiko kuna make sense).

Kwa hiyo, kwamba Nyerere alikosea hakuna mjadala. Mwenyewe kakubali. Mjadala unakuja kwenye mizani. Kakosea wapi? Alichokosea kinazidi alichofanya vizuri? Siwezi kusema hivyo.

There is a very thin line between loving and hating Nyerere. Nyerere alikosea mengi, hasa kwenye uchumi na human rights. Na mara nyingi makosa haya yanaweza kuhusishwa na kukosa a futuristic benevolence, something which is highlighted even more now that we are looking at this in retrospect. Given the geopolitics of the time, the challenges of nation building ( I have never been in a head of state's shoes, and faced the temptation of using "indefinite detention" laws for the noble cause of "national security") and the fact that we are using high standards ( en zeitgeist) we are using to judge in retrospect, like Barzun, I tend to be more lenient when in retrospect judgement. Why, If five hundred years from now the entire world will be vegetarian and retrospect judges will look at us meat eaters as barbaric as we much as we look at slave masters of some 200 years ago I wouldn't think that would be fair. I would give Nyerere a pass.

I am repulsed that Nyerere did not invalidate some pre-independence indefinite detention oppressive laws which led to much human rights abuses. But I am proud to note that while Nyerere had all the dictatorial powers to be a Mobutu, his fidelity towards service prevented that and set a living precedent.

Overall, I can say Nyerere made many mistakes - he said himself nationalizing the sisal plantations was a mistake for example - but I also feel most of these were the so called "honest mistakes", mistakes made by a man searching for solutions in the thick of things. Some were made by a headstrong political leader who many feared to challenge openly. Some were genuinely ill natured more on the bent of an ego trip. But he could have been much much worse.

Like my man AZ said.

"It's a - thin line between love and hate
You got those that touch a little, then there's those that rape"

AZ - Royal Salute.

Nyerere touched a little while he had all the opportunities to rape. In retrospect, you may want to take him to task even for that, rightfully so for the more ill natured human rights abuses.

But some would say "Show me a man who does no mistake, and I will show you one who does nothing."
 
Mistakes zote duniani ni honest mistakes, na mistakes za Nyerere ndizo zinazoiangusha Taifa sasa hivi. Umaskini tuliokuwa nao sasa hivi ni kwa sababu ya "honest mistakes" zake ambazo alizifanya. Kuanzia sera zake za Ujamaa, vita vya Uganda, vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo.
 
Viongozi waliokuwa karibu na Nyerere ndio inasadikiwa walikuwa wanampa hizi tactics, kuwa ujamaa ili ufanikiwa lazima dini ziendane na tune ya ujamaa, Kuvunja jumuiya ya waislamu afrika mashariki ilikuwa so obvious kwani Kenya na uganda walikuwa close na marekani. Hivyo kuanzisha Bakwata ni kukwepesha hawa ndugu wasiwe influenced na USA

Ulokole uliingia kwa nguvu sana kutokea Zambia na baadhi ya mipaka mingine kama kongo n.k . Spirit ya walokole ilikuja kwa nguvu na umoja wao wa ulitisha sana serikalini.

Assemblies of God Tanzania ilikuwa chini ya Askofu Lazaro na masaidizi wake Kulola. Kulola alionekana very influential, kwa sababu ya karama zake za kuhubiri.Mpango ukasukwa wa kulivunja hili kanisa, usalama wa taifa wakaingia kazini. Wako waliomfuata Askofu mkuu wa AGT Lazaro na kumhadaa kuwa Kulola anajitayarisha kuunda kanisa lake kwani hataki kuwa chini ya Lazaro.

Wako waliomfuata na kumwambia Kulola kuwa ajiondoe kuwa chini ya Lazaro kwani Lazaro anatumiwa na wamarekani (CIA) kuleta siasa za kibepari ambazo zinakinzana na siasa za ujamaa. Kulola hakukubali Hilo wazo. Kipindi ambacho Kulola hakuwa anakubaliana na serikali (UWT) Walimwingia tena kwa gia nyingine kuwa AGT chini ya Lazaro wataacha mafundisho ya kwanza ya kanisa na ataleta mafundisho ambao hayana utakatifu ndani yake. Kwa hapa walimvuta Kulola! UWT walimuahidi ulinzi, support ya serikali na chochote atakacho.

Kwa hiyo haya makundi mawili ya UWT moja kwa Lazaro na moja kwa Kulola yalifanikiwa kuvunja il kanisa kubwa sana, ambalo lingekuwa na nguvu sana kama lisingeyumbishwa.Baada ya kuvunjika, Kulola akaona kuna jambo si la kawaida, akakasirika na kujaribu kukaa vikao vya usuluhishi. Vikao vya usluhishi vilikuwa vinaandaliwa nausalama wa taifa…(acha nicheke), usalam awa taifa hawa walikuwa wanajifanya ni wachungaji wa makanisa na taasizi zingine!Swali katika utawala wa Nyerere ni je, hata kama wamekuwa separataed lakini kuna uwezekano mkubwa kwa nguvu ya Kulola kanisa likawa kubwa tena!!!

How is he goind to deal with that?

Mpango ukaandaliwa wa kumbana Kulola awe sehemu ya CCM. Mpaka leo mpaka kesho Kulola ni CCM no matter who is a leader, na hatoki kwenye uongozi mpaka kifo!! Na mwaka jana alikuwa kinyume na Slaa live!!

Mara mbili Kulola aliishatofautiana na serikali wakamtupa ndani kwa siku moja kwa lengo la ku-mshape!The bootm ya hawa yote na hata kwenye jamii ya kilokole ni common talk, ni ujamaa..walokole wanasema Ujamaa ulishindwa kwa sababu Nyerere halipata laana ya kulivunja kanisa la kwanza na kupanda mbegu ya chuki.

Ugomvi wa TAG (chini ya Lazaro) na EAGT (Kulola) ndio ugomvi mkubwa zaidi wa kihistoria kuwa hi kutokea, kuna nyakati walikuwa wakikitana wanapigana kavukavu,ngumi vichwa, mawe……n.k contrary to the doctrine.

Wazee leo ukiwauliza wanasema waliopigana sio waumini tu, bali usalama wa taifa walikuwemo wengi tu kila kona
Ukija kwenye jamii ya walokole hawampendi sana Nyerere kutokana na hili, na kuwa alikuwa inclined upande wa waislamu mpaka kukubali matambiko ya kiislamu. Ukija upande wa wasilamu nao wanasema lao Nyerere alipendelea wakristo!!

Mkuu I can not embellish more than this....I willl have to have some fund to get detailed data. Ila kwa capacity yako ya uandishi you can face the retired askofu Lazaro ( he is so open)...you will never face Kulola fo this ..never!!!! anaweza kuanza kukuchulia kifo! the , but I believe what I have written is true, because it is now a tale you can tape it from old people. Nimekuwa EAGT tangu mwaka 1999.

Nyerere alikuwa ana type ya Ucommunist idea ktk Ujamaa wake. Alikuwa hana tofauti yoyote na Vladimir Lenin, na Ucommunist wake kupinga mambo ya kidini.
 
Mistakes zote duniani ni honest mistakes, na mistakes za Nyerere ndizo zinazoiangusha Taifa sasa hivi. Umaskini tuliokuwa nao sasa hivi ni kwa sababu ya "honest mistakes" zake ambazo alizifanya. Kuanzia sera zake za Ujamaa, vita vya Uganda, vimeifanya TZ kuwa maskini mpaka leo.
Mkuu wangu hapa umeandika vitu ambavyo vinatuonyesha wazi jinsi MIAFRIKA TULIVYO!..inasikitisha sana kuona Rwanda ambao wamekuwa ktk vita na matatizo mengi ya ukabila toka tuijue nchi hiyo toka kwa Wajarumani leo hii wanafanya mambo positive ktk miaka chini ya 10 na wasitazame nyuma ktk kuboresha uchumi wao. Tazama Vietman majuzi tu wameondoka ktk Ujamaa, Russia, China hata Ethiopia ambao walikuwa kilinge cha Ujamaa (Ukomunist) wametupita tumesimama tukibishana juu ya maamuzi ya Nyerere na Ujamaa.. Na ndio maana Watusi hawakubali kuwa wao ni Waafrika kwa aibu za kifikra kama hizi!

Mkuu mnataka mfanyiwe kipi haswa! Nyerere alifanya makosa ni mtazamo wako wewe na wale wanaotaka kushinikiza habari za KUSHINDWA kwa sababu tu Nyerere aliamua kuachia madaraka ili watu wengine wachukue nafasi yake.. Hilo nalo kosa maana kama asingefanya hivyo leo hii mngekuwa mkizungumzia udikteta na makosa ya Nyerere kuendelea kutawala.

Nyerere katawala toka 1961- 1984 jumla miaka 23 na alitaka kujenga Ujamaa wetu! - Je alishindwa?, laa hasha sidhani kwa sababu makosa yote mnayozungumzia ni ya Ujamaa wenyewe sema huyataki. Leo tupo ktk ubepari miaka 27 nipe mafanikio hata chembe ya Ubepari! - Tumeshindwa kupiga hatua kwa lolote nchi ina miundombinu ile ile aloacha kama unavyoiona Kariakoo mji unapanuka lakini nguvu ya maji na umeme ni ile ile alojenga Nyerere lakini bado yeye ndio wa kulaumiwa. Ni lini sisi Watanzania Miafrika tutachukua jukumu la kuendeleza maisha yetu sisi wenyewe?

Ni lini tutaacha hizi tabia za kutafuta mchawi kwa kubeba misalaba ya dini ya makabila ili mradi kuonyesha tofauti baina yetu. Huyo huyo Nyerere angeyafanya yotye aloyafanya akiitwa Ibrahim basi angesifiwa na kundi moja lakini asisifiwe na kundi jingine kwa sababu fikra zetu zimejengwa ktk tamaduni za Kichawi na vodoo, hivyo hata hizo imani za dini tunalazimisha tu kwa sababu ni HARAMU kusema Nyerere ndiye alikuwa mtoa riziki na mafanikio ya wananchi.
 
Asante mkuu nimependa hii hatuwezi kuendelea kulialia kutokana na past records! huu ni ufinyu wa kufikiri lazima tuupinge kabisa
 
nyerere kukosolewa ni haki yake kwani wema wake alioitendea nchi hii unapitwa na mabaya yeke ingawa mengine yy mwnyewe hakujua km analitia taifa matatani.yafuatayo ni mabaya ya nyerere.
1.kuigawa tanzania na watanzania kwa misingi ya dini zao,by kudumaza maendeleo y mikoa ya pwani ambayo ina waislam wngi na kuiendeleza mikoa ya bara ynye wakristo wengi,kuwanyima nafac za msingi waislam kwa kisingizio hawakusoma
2.kuingiza nchi ktk vita vya kagera ambavyo kimsingi sababu y vita ni agenda ya siri ya nyrere na watu wake
3.ku idictate nchi yetu na kuwa peleka in exile kila msomi aliekosoa uongozi wake
4.kuwachagulia watanzania rais wasiemtaka[mkapa] ambae uongozi wake umekuwa ni msiba wa kihistoria kwa tz.
5.kuasisi udini tz,hii imepelekea kuzuka kwa vyama vinavyotumia dini km sera yao ya kuingia madarakani example. chadema.ref;kukesha makanisani wiki1 kabla ya uchaguzi 2010 kuhamasishana kumchagua dr. wa bible knowledge mr. wilbroad slaa.
kuna mabaya mengi ya nyrr but naishia hapo.mazuri yake cyataji kwakuwa mabaya yake ni zaidi y asilimia85
 
Nilisema kujadili mambo kwa ujumla bila ya hisia au chuki iwe ya kisiasa, kiuchumi au kiutamaduni. Kauli yangu ni general na haikutaja mahali kuhusu Nyerere au ujamaa. Hayo umepandikiza wewe kwa kuongozwa na chuki na hisia, nadhani unaona hatari yake. Often unakuwa off point.

Ndiyo maana nilipokujibu Kiujumla nimekuonesha details za sera za Ujamaa zilivyofeli kwa Ujumla. Kuanzia Azimio la Arusha, mpaka ule utekelezaji wa Vijiji vya Ujamaa, bereaucracy za Serikalini ktk kuendeleza hizo sera za Ujamaa, Mfumo mzima wa demokrasia ambao haukuwepo kabisa, hizo zote zilichangia sana kuanguka na kufeli kwa Ujamaa.
 
Ni ngumu sana kuelewa unamaanisha nini. Kila unapoandika unakuja na madai mpya yanayokanusha hoja yako ya awali. Anyway!
Sasa kuna swali linalotokana na post yako hapo juu(red). Hebu tufafanulie ni kwa vipi mfumo wa demokrasia haukuwepo kabisa, na je sasa mfumo huo upo?

Pili hizo detail ulizosema kutoka katika articles zimeandikwa na watu kwa kutumia akili zao zinaweza kutoka katika thesis, semina au makongamano, sasa wewe kama Mtanzania ni wapi unatumia akili yako kutuonyesha au kutueleza kile unachokijua kuhusu madai yako?
Na je clip iliyotengnezwa na mtanzania kuhusu mazuri ya Nyerere unaweza kuitumia kama ushahidi. Wapi documentary imetumika katika academic sphere kama evidence katika dunia hii .
The bottom line is where si your intellectual input to supoport your argument?
 
Kwa hiyo hoja yako ya msingi ni kwamba kufeli kwa sera fulani (bila kujali ni kiasi gani hizo sera zilitungwa na kujaribu kutekelezwa kwa nia nzuri kabisa na manufaa ya jamii nzima), basi lawama zote ni kwa mleta sera au mtunga sera pekee yake?
 
Why, If five hundred years from now the entire world will be vegetarian and retrospect judges will look at us meat eaters as barbaric as we much as we look at slave masters of some 200 years ago I wouldn't think that would be fair. I would give Nyerere a pass.
Unamsamehe Mtakatifu Pope Benedict XVI kwa kujiunga na chipukizi wa Hitler kwa sababu wakati wa ujana wake u-Hitler ulikuwa ndio fashion?

But I am proud to note that while Nyerere had all the dictatorial powers to be a Mobutu, his fidelity towards service prevented that and set a living precedent....Nyerere touched a little while he had all the opportunities to rape.
Kwa nini alitunga sheria zinazomruhusu ku rape watu kama hakubaliana na watu ku repiwa?

Kwanza kabisa, kwanza kabisa, keep in mind Nyerere alikuwa anatunga sheria zake mwenyewe. Historia za Bunge la Tanzania zime chronicle kuwa Nyerere alikuwa ana arrest wabunge wanaosimama kupinga miswada ya Nyerere, mfano Eli Anangisye (Rungwe Kaskazini, CCM) wakati wa Bunge la Bajeti la 1968. Maana yake nini? Hizo sheria za kidikteta alijiandikia mwenyewe, mwenye ngebe ya kumpinga Nyerere alikiona cha mkata kuni.

Kijana wa Nyerere, Spika na Karani wa mabunge Nyerere na yaliyofuata, Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU ya Nyerere na Mwandishi wa Katiba ya Jamhuri ya 1977, Pius Msekwa, amesema kwenye kitabu chake
"Towards Party Supremacy in Tanzania" kwamba Bunge la Nyerere lilikuwa ni "aina fulani ya mpangilio wa Kikatiba usiofahamika katika dhana ya demokrasia na mifumo ya Serikali inayoongozwa na Bunge." Kitu cha ajabu ajabu fulani.

Nyerere alikuwa anagiza kuandikiwa sheria fulani, anapeleka Karimjee Hall across the street, vijana wake kina Msekwa wanai rum through the house, wanawapa ma messenger wa Ikulu wanairudisha kwenye meza yake Magogoni kusubiri sahihi ya Mukaruka (bwana mkubwa, kwa lugha yake).

Je ni kweli haku abuse power japo alikuwa na uwezo huo? Preventive detention haikutumika wakati wa Nyerere? Hakuna wanasiasa waliokufa kizuizini bila kushindwa kesi mahakamani?

Kwa nini uwe na utaratibu vitabuni unaokuruhusu ku rape watu halafu utuambie eti hupendi ku rape, eti ukitaka unaweza?
 
Ni ngumu sana kuelewa unamaanisha nini. Kila unapoandika unakuja na madai mpya yanayokanusha hoja yako ya awali. Anyway!
Sasa kuna swali linalotokana na post yako hapo juu(red). Hebu tufafanulie ni kwa vipi mfumo wa demokrasia haukuwepo kabisa, na je sasa mfumo huo upo?

Pili hizo detail ulizosema kutoka katika articles zimeandikwa na watu kwa kutumia akili zao zinaweza kutoka katika thesis, semina au makongamano, sasa wewe kama Mtanzania ni wapi unatumia akili yako kutuonyesha au kutueleza kile unachokijua kuhusu madai yako?
Na je clip iliyotengnezwa na mtanzania kuhusu mazuri ya Nyerere unaweza kuitumia kama ushahidi. Wapi documentary imetumika katika academic sphere kama evidence katika dunia hii .
The bottom line is where si your intellectual input to supoport your argument?

Mfumo wa demokrasia haukuwepo wakati wa Nyerere kabisa. Demokrasia ni freedom ambayo kila mtu au MTZ ni haki yake ya msingi ambayo alitakiwa awe nayo kwa sababu hizo ni haki ambazo unazaliwa nazo. Wakati wa Nyerere kwa makusudi na Udictator wa Nyerere, aliweza kuzinyima hizo kwa kutumia power aliyokuwa nayo ya Udictator, ambayo yeye mwenyewe Nyerere anasema amepewa ndani ya Katiba awe Dictator.
Je tunao mfumo wa demokrasia sasa hivi? kwa kiasi fulani tunayo demokrasia ndiyo maana mimi ninaweza kuandika kupitia media, internet. Wakati wa Nyerere nisingeweza hata kushika kalamu kuandika yale yanayomuhusu Dictator Nyerere au WTZ.

Je naweza kutumia clip yenye mazuri ya Dictator Nyerere? Why not? Ok, niliishi ktk utawala wa Nyerere, ninaujua vizuri utawala wake kwa kuuona macho yangu, WTZ, mimi mwenyewe tulivyokuwa tunahangaika kutafuta chakula. Foleni ndefu ktk maduka ya Ushirika, kula sembe ya Yanga, NJANO kabisa. Naijua hiyo pain ilivyokuwa. Sasa hata niikitumia hiyo clip yenye "mazuri" yake, hayo "mazuri" yake KAMWE hayawezi kuyapita MABAYA yake. Ndiyo maana ilikuwa rahisi kwangu mimi na WTZ, kujua kabisa kwamba Nyerere ALIFELI na Ujamaa wake.
 
Shamu sasa mkuu wangu unaenda kusiko hata kidogo. Nani alosema demokrasia ni freedom ya msingi ambayo kila mtu anatakiwa kuwa nayo, umeipata wapi hii na inatumika wapi. hao Wafaransa wagwiji wa demokrasia wamekataza wanawake wa kiislaam kutovaa veil na sheria imewekwa wakati wakijua fika kwamba waislaam hawana idadi tosha ya kuweza kuwakilisha haki ya wanawake wao. Na ukienda Arabuni wazungu wanalazimishwa pia kutovaa nguo zao wote wakilalamika kwa jina la demokrasia.

Huko Marekani, waislaam hawaruhusiwi kuoa wake zaidi ya mmoja na vile vile dini za kiasili zinapigwa marufuku kufanya mambo yao ya misukule na kadhalika hii demokrasia inayozungumwa ni ipi mbona sheria zote ktk kila nchi zinafuata tamaduni za wenyeji na kusisitiza kwamba Ukiwa Rome fanya kama waroma wanavyoishi, ina maana mnalazimishwa kuishi kama Waroma na sheria zote zinalenga tamaduni zao..

Hakuna nchi hata moja labda niseme hakuna utawala wowote ulofanikiwa kusimamisha malengo yake pasipo sheria ambazo zinawafunga watu wengine kutofanya majambo fulani hata kama wanayatazama kinyume. na hii inatokana na malengo waliyoweka, hivyo kama unataka kusimamisha Ujamaa lazima utumie Udikteta fulani..Hakuna nchi hata moja ilopiga kura kuchagua Ujamaa au Ubepari bali viongozi wake ndio waliamua kuchukua mwelekeo huo. nakumbuka vizuri wakati wa vita baridi, ulikuwa huwezi kuingia Marekani na gazeti la Kichina wala kirusi acha mbali kuwa na visa inayoonyesha umepitia huko. Yaani unavyoona vita ya Magaidi inavyoendeshwa leo ndivyo ilikuwa kwa mtu yeyote mwenye mtazamo wa Kijamaa na hawa ndio waliokuwa wakitangaza demokrasia muda wote kama vile demokrasia inakwenda sambamba na Ubepari..

Kwa nini tunamsifia mwalimu ma kumwona kiongozi bora! - bila shaka alikuwa na msimamo, aliweza kuongoza watu akitumia dira ya kitaifa hata kama kuna watu hawakuipenda lakini walifuata na leo hii wewe ni mmoja wa matunda ya mwalimu. Kwa hiyo kila unachoandika iwe kwa kutofurahia malezi ya mwalimu bado unashindwa kujenga hoja ya uongozi bora kwani hata ktk kupima mzazi bora hakuna Principal zaidi ya kufuata taratibu zinazopelekea kufikia malengo ulokusudia. Na hakika hii imani nma utulivu ni matunda ya mwalimu pamoja na kwamba sasa hivi mnataka kuyaharibu kwani kama ulivyosema watanzania hawakuwa wajinga..

Tanzania baada ya Uhuru ni sawa na mtoto alozaliwa, lazima atunzwe kwa malezi yenye sheria na uangalifu mkubwa kiasi kwamba hizo sheria zitaonekana ni Udikteta lakini ni muhimu zaidi kwa mtoto mdogo. Tanzania tumekua kiumri ingawa bado maisha yetu ni ya kimaskini na haiwezekani kuendelea kumlaumu mzazi wakati tumefika umri wa kujitegemea wenyewe, kufanya maamuzi kwa ajili ya maendeleo yetu na sii kuweka visingizo vya sheria zilizokuwepo wakati wa mwalimu. Na amini maneno yangu mkuu wangu kila nyumba (nchi utakayo kwenda utakuta sheria ambazo wewe hukubaliani nazo tena basi ukirudi ktk historia yao utakuta ni mbaya kuliko unavyofikiria! Kila nchi hata hiyo Marekani wamepitia kipindi cha kula sembe na kupanga foleni inategemea sababu zipi tena basi wenzetu kwa kufanya hivyo waliita ni uzalendo!
 
Shamu;2182519]Mfumo wa demokrasia haukuwepo wakati wa Nyerere kabisa. Demokrasia ni freedom ambayo kila mtu au MTZ ni haki yake ya msingi ambayo alitakiwa awe nayo kwa sababu hizo ni haki ambazo unazaliwa nazo. Wakati wa Nyerere kwa makusudi na Udictator wa Nyerere, aliweza kuzinyima hizo kwa kutumia power aliyokuwa nayo ya Udictator, ambayo yeye mwenyewe Nyerere anasema amepewa ndani ya Katiba awe Dictator.Je tunao mfumo wa demokrasia sasa hivi? kwa kiasi fulani tunayo demokrasia ndiyo maana mimi ninaweza kuandika kupitia media, internet. Wakati wa Nyerere nisingeweza hata kushika kalamu kuandika yale yanayomuhusu Dictator Nyerere au WTZ.
Just to echo your statement democracy entails freedom of speech regardless of the contents. Internet is democracy as whole according to your knowledge. You have read (if you understand) the constitution of Tanzania and the only thing which strikes you is the internet. Unfortunate the internet wasn't there to prove you wrong big time. Anyway Internet= democracy!
Je naweza kutumia clip yenye mazuri ya Dictator Nyerere? Why not? Ok, niliishi ktk utawala wa Nyerere, ninaujua vizuri utawala wake kwa kuuona macho yangu, WTZ, mimi mwenyewe tulivyokuwa tunahangaika kutafuta chakula. Foleni ndefu ktk maduka ya Ushirika, kula sembe ya Yanga, NJANO kabisa. Naijua hiyo pain ilivyokuwa. Sasa hata niikitumia hiyo clip yenye "mazuri" yake, hayo "mazuri" yake KAMWE hayawezi kuyapita MABAYA yake. Ndiyo maana ilikuwa rahisi kwangu mimi na WTZ, kujua kabisa kwamba Nyerere ALIFELI na Ujamaa wake.
Everybody has his or her own experience on mwalimu's tenure, I remember those old good days students from villages and remote areas engulfed by abject poverty used warrant as traveling documents.
So answer the question, no one is interested to read blah blah and the likes.
The question is simple and clear. Can documentary be used in academics as reference. period!
Secondly, could you mention at least one Nyerere's achievement!
 
NYERERE

GREAT AFRICAN STATESMAN AND VISIONARY.

Alianzisha vijiji vya ujamaa vikafeli, watakaliwa na wanyamapori. Watu walioga kwa harita, sukari ya mgao, walikula sembe ya dona. Mtu akionekana kwake ameoga, na povu la sabuni (Lax) linatoka, atafuatwa kwa kushiriki magendo. Watu walipata wanawake kwa kuhonga mifuko ya bata (kampuni ya viatu ya kenya). There was no freedom of press, of speech. Hata mtu ukiwa na gari binafsi, jumapili marufuku kutembelea.

AMEFANIKIWA kuimarisha umoja kwa kiswahili na pia kung'atuka ilipokua hapana budi.
 
Back
Top Bottom