Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,346
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa wanajisumbua tu na kamwe hawatafanikisha Dhamira yao ovu..

Watashindwa kwa sababu Rais Samia yupo hapo Alipo kwa mipango na kibali cha Mwenyezi Mungu. Katika Ulimwengu wa kiroho Mama Samia ni Rais Wa Taifa hili hata kabla hajazaliwa. Mama Samia ni Chaguo la Mungu hata kabla ya Ya 2021.

Hamjawahi kujiuliza ni kwanini wengine walitumia mapesa na mapesa kwa miaka mingi sana tokea kurejea kwa mfumo wa vyama vingi lakini hawajawahi kufanikiwa kuupata wala kukikaribia kiti cha Urais? Hamjawahi kujiuliza imekuwaje wengine pamoja na kutaka kuunua Urais ama kujijengea kambi na kuunda wafuasi wenye nguvu kuwaunga mkono lakini hawajawahi kuupata Uraisi?

Je ninyi siyo Mashuhuda wa namna baadhi ya watanzania wenzetu walijihakikishia Urais lakini wakaishia kuusikia Redioni?

Lakini angalieni Safari ya Mama yetu namna ilivyo ya Miujiza na yenye Thamani iliyochorwa na Mungu Mwenyewe. Angalieni njia alizopitia mpaka kuibukia kwenye Umakamu wa Rais 2015. Angalieni Safari yake tokea wakati wa Ubunge mpaka kubwa mwenyekiti Makamu mwenyekiti wa Bunge maalumu la Katiba. Angalieni namna alivyoibukia katika siasa na kuanza kukwea ngazi za uongozi kama Komandoo aliyetoka mafunzoni.

Hivi hamuoni Kuwa kuna mkono wa Mungu juu yake? Hivi hamuoni ni safari iliyopangwa na Mungu mwenyewe? Hivi hamuoni ya kuwa ni Chaguo la Mungu mwenyewe kuliongoza Taifa letu?

Sasa unafikiri unaweza mhujumu Mama huyu aliyepewa kibali na kuinuliwa Na Mungu? Mnafikiria kuna lolote linaloweza kupangwa sirini na likafanikiwa? Mnafikiria kuna mwanadamu anaweza kupindua mipango ya Mwenyezi Mungu? Mnafikiria kuna Siku Mungu atazidiwa uwezo na k wanadamu aliyowaumba yeye mwenyewe kwa mikono yake na kuwapa Pumzi yake?

Narudia kusema tena ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kainuliwa kwa mkono wa Mungu. Yupo hapo kwa kibali cha Mwenyezi Mungu. Ataongoza Taifa letu mpaka Mwisho kwa uwezo wa Mungu Mwenyewe. Hakuna wa kumshusha wala Kumkwamisha. Hakuna baya litakalopangwa na mwanadamu sirini na likaweza kufanikiwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3535700
Walishafeli kitambo 🤣 🤣

Si unakumbuka walishakuwa na ramli Kila siku ,Kiko wapi 😆😆
 
Jiandaeni tu kuwa mnampelekea uji akiwa jela za ICC.

Huyo muuaji mwaka huu lazima akione cha mtema kuni
Hizi ngonjera Hazina tofauti na zile ramli za kabla ya Uchaguzi.

Mara hatoboi,sijui ikoje haya Kiko wapi 😆😆😆😆

Na mtaota hizo ndoto Hadi 2030
 
downloadfile-3.png
downloadfile-5.jpg
downloadfile-2.png
downloadfile-4.jpg
VamP.jpg
 
Pamoja na kwamba tabia zake za ulevi na uasherati hazituhusu, lakini hii kuwa na vikundi vya kigaidi(wasiojulikana) vinavyofanya operations za kuteka,kutesa,kufira na kuua Watanganyika hatosamehewa kamwe. Lishangingi serial killer kwa upumbavu,kuendekeza njaa na kutokujitambua kwenu chawa be assured hata mje na ngonjera za aina gani hizo damu za Watanganyika alizozimwaga, udhalilishaji waliofanyiwa mpaka watoto wadogo na akina mama wajawazito kamwe hatutosahau wala kusamehe.
Aendelee kuishi hivyohivyo kama panya akiibuka upenuni once in a blue moon ila ajue one of the unknown days she will definitely step on a landmine.
 
Familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya vijana wao waliouwawa na kupotezwa ili kuficha ushahidi, wakati na baada ya zoezi la uchaguzi haramu uliopelekea uwepo wa serikali batili iliyopo madarakani.
 
View attachment 3535841
View attachment 3535842
View attachment 3535843
View attachment 3535844
View attachment 3535845
View attachment 3535847
View attachment 3535848
View attachment 3535849
View attachment 3535850
Pamoja na kwamba tabia zake za ulevi na uasherati hazituhusu, lakini hii kuwa na vikundi vya kigaidi(wasiojulikana) vinavyofanya operations za kuteka,kutesa,kufira na kuua Watanganyika hatosamehewa kamwe. Lishangingi serial killer kwa upumbavu,kuendekeza njaa na kutokujitambua kwenu chawa be assured hata mje na ngonjera za aina gani hizo damu za Watanganyika alizozimwaga, udhalilishaji waliofanyiwa mpaka watoto wadogo na akina mama wajawazito kamwe hatutosahau wala kusamehe.
Aendelee kuishi hivyohivyo kama panya akiibuka upenuni once in a blue moon ila ajue one of the unknown days she might step on the landmine.
Criminals!!!!
 
Shetani Mkubwa wewe uliye laaniwa na kukosa malezi mazuri ya wazazi wako
 
Jamaa yangu mwashamba kila unapojaribu kumsafisha mama ndio ama unazidi kumchafua au unaamsha hasira za watu. Huyo mdau aleyeattach mapicha na mavideo katutonesha vidonda vilivyoanza kupona.
Samia sio rais halali. Hakuchaguliwa.
Serekali yake, bunge, vyote si halali.
Samia kama amiri jeshi mkuu, ndio muhusika namba 1 kwenye mauwaji ya ndugu, jamaa ba marafiki zetu.

Hili litamtesa, na linamtesa haswa.
 
Back
Top Bottom