Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

View attachment 3535841
View attachment 3535842
View attachment 3535843
View attachment 3535844
View attachment 3535845
View attachment 3535847
View attachment 3535848
View attachment 3535849
View attachment 3535850
Pamoja na kwamba tabia zake za ulevi na uasherati hazituhusu, lakini hii kuwa na vikundi vya kigaidi(wasiojulikana) vinavyofanya operations za kuteka,kutesa,kufira na kuua Watanganyika hatosamehewa kamwe. Lishangingi serial killer kwa upumbavu,kuendekeza njaa na kutokujitambua kwenu chawa be assured hata mje na ngonjera za aina gani hizo damu za Watanganyika alizozimwaga, udhalilishaji waliofanyiwa mpaka watoto wadogo na akina mama wajawazito kamwe hatutosahau wala kusamehe.
Aendelee kuishi hivyohivyo kama panya akiibuka upenuni once in a blue moon ila ajue one of the unknown days she might step on the landmine.

Kama kanisa lilituma vijana wake waje wapindue nchi na kuichoma na wakadhani wataachwa hivi hivi basi wajaribu tena waone
 
Jamaa yangu mwashamba kila unapojaribu kumsafisha mama ndio ama unazidi kumchafua au unaamsha hasira za watu. Huyo mdau aleyeattach mapicha na mavideo katutonesha vidonda vilivyoanza kupona.
Samia sio rais halali. Hakuchaguliwa.
Serekali yake, bunge, vyote si halali.
Samia kama amiri jeshi mkuu, ndio muhusika namba 1 kwenye mauwaji ya ndugu, jamaa ba marafiki zetu.

Hili litamtesa, na linamtesa haswa.

Kwetu sisi Samia ni Shujaaa Mkubwa sana

Samia hakushika bunduki kumpiga yyte katika hao.

Hao unaosema wamepigwa ni wazi walikuwa na ajenda ya kuichoma nchi na kutaka kuipindua serikali

Tengeneza picha uwezavyo weka video utakavyo sisi tunachoangalia kwa sasa nchi yetu iko salama

Yoyote ambae alitaka kuidondosha nchi yetu kilichomkuta ni stahiki yake.

Kama huamini jaribu na wewe kuingia barabarani
 
Hizi ngonjera Hazina tofauti na zile ramli za kabla ya Uchaguzi.

Mara hatoboi,sijui ikoje haya Kiko wapi 😆😆😆😆

Na mtaota hizo ndoto Hadi 2030

Walipelekewa moto hawa wasenge hadi hawakuamini macho yao

Wamebakia na nightmares ambazo hazifutiki kichwani mwao.

Wajaribu tena waone sasa
 
Jamaa yangu mwashamba kila unapojaribu kumsafisha mama ndio ama unazidi kumchafua au unaamsha hasira za watu. Huyo mdau aleyeattach mapicha na mavideo katutonesha vidonda vilivyoanza kupona.
Samia sio rais halali. Hakuchaguliwa.
Serekali yake, bunge, vyote si halali.
Samia kama amiri jeshi mkuu, ndio muhusika namba 1 kwenye mauwaji ya ndugu, jamaa ba marafiki zetu.

Hili litamtesa, na linamtesa haswa.
Ikiwa umeshika dini naamini unajua kuwa Shetani huwa ana wafuasi wake. So usishangae huyu jamaa kumshadadia Samia. Shetani kapata wafuasi wanaomtetea.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa wanajisumbua tu na kamwe hawatafanikisha Dhamira yao ovu..

Watashindwa kwa sababu Rais Samia yupo hapo Alipo kwa mipango na kibali cha Mwenyezi Mungu. Katika Ulimwengu wa kiroho Mama Samia ni Rais Wa Taifa hili hata kabla hajazaliwa. Mama Samia ni Chaguo la Mungu hata kabla ya Ya 2021.

Hamjawahi kujiuliza ni kwanini wengine walitumia mapesa na mapesa kwa miaka mingi sana tokea kurejea kwa mfumo wa vyama vingi lakini hawajawahi kufanikiwa kuupata wala kukikaribia kiti cha Urais? Hamjawahi kujiuliza imekuwaje wengine pamoja na kutaka kuunua Urais ama kujijengea kambi na kuunda wafuasi wenye nguvu kuwaunga mkono lakini hawajawahi kuupata Uraisi?

Je ninyi siyo Mashuhuda wa namna baadhi ya watanzania wenzetu walijihakikishia Urais lakini wakaishia kuusikia Redioni?

Lakini angalieni Safari ya Mama yetu namna ilivyo ya Miujiza na yenye Thamani iliyochorwa na Mungu Mwenyewe. Angalieni njia alizopitia mpaka kuibukia kwenye Umakamu wa Rais 2015. Angalieni Safari yake tokea wakati wa Ubunge mpaka kubwa mwenyekiti Makamu mwenyekiti wa Bunge maalumu la Katiba. Angalieni namna alivyoibukia katika siasa na kuanza kukwea ngazi za uongozi kama Komandoo aliyetoka mafunzoni.

Hivi hamuoni Kuwa kuna mkono wa Mungu juu yake? Hivi hamuoni ni safari iliyopangwa na Mungu mwenyewe? Hivi hamuoni ya kuwa ni Chaguo la Mungu mwenyewe kuliongoza Taifa letu?

Sasa unafikiri unaweza mhujumu Mama huyu aliyepewa kibali na kuinuliwa Na Mungu? Mnafikiria kuna lolote linaloweza kupangwa sirini na likafanikiwa? Mnafikiria kuna mwanadamu anaweza kupindua mipango ya Mwenyezi Mungu? Mnafikiria kuna Siku Mungu atazidiwa uwezo na k wanadamu aliyowaumba yeye mwenyewe kwa mikono yake na kuwapa Pumzi yake?

Narudia kusema tena ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kainuliwa kwa mkono wa Mungu. Yupo hapo kwa kibali cha Mwenyezi Mungu. Ataongoza Taifa letu mpaka Mwisho kwa uwezo wa Mungu Mwenyewe. Hakuna wa kumshusha wala Kumkwamisha. Hakuna baya litakalopangwa na mwanadamu sirini na likaweza kufanikiwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3535700
Mwezi wa tatu njoo tukutane kwenye hii thread yako
 
Jamaa yangu mwashamba kila unapojaribu kumsafisha mama ndio ama unazidi kumchafua au unaamsha hasira za watu. Huyo mdau aleyeattach mapicha na mavideo katutonesha vidonda vilivyoanza kupona.
Samia sio rais halali. Hakuchaguliwa.
Serekali yake, bunge, vyote si halali.
Samia kama amiri jeshi mkuu, ndio muhusika namba 1 kwenye mauwaji ya ndugu, jamaa ba marafiki zetu.

Hili litamtesa, na linamtesa haswa.
Kwenda zako huko na machuki yako Binafsi.
 
Kwetu sisi Samia ni Shujaaa Mkubwa sana

Samia hakushika bunduki kumpiga yyte katika hao.

Hao unaosema wamepigwa ni wazi walikuwa na ajenda ya kuichoma nchi na kutaka kuipindua serikali

Tengeneza picha uwezavyo weka video utakavyo sisi tunachoangalia kwa sasa nchi yetu iko salama

Yoyote ambae alitaka kuidondosha nchi yetu kilichomkuta ni stahiki yake.

Kama huamini jaribu na wewe kuingia barabarani
Umenena ukweli mchungu kabisa
 
UMeandika kiuchawa. Kiuhalisia, Tanzania haipo kwenye top 10. Utaipata kwenye top 20.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa wanajisumbua tu na kamwe hawatafanikisha Dhamira yao ovu..

Watashindwa kwa sababu Rais Samia yupo hapo Alipo kwa mipango na kibali cha Mwenyezi Mungu. Katika Ulimwengu wa kiroho Mama Samia ni Rais Wa Taifa hili hata kabla hajazaliwa. Mama Samia ni Chaguo la Mungu hata kabla ya Ya 2021.

Hamjawahi kujiuliza ni kwanini wengine walitumia mapesa na mapesa kwa miaka mingi sana tokea kurejea kwa mfumo wa vyama vingi lakini hawajawahi kufanikiwa kuupata wala kukikaribia kiti cha Urais? Hamjawahi kujiuliza imekuwaje wengine pamoja na kutaka kuunua Urais ama kujijengea kambi na kuunda wafuasi wenye nguvu kuwaunga mkono lakini hawajawahi kuupata Uraisi?

Je ninyi siyo Mashuhuda wa namna baadhi ya watanzania wenzetu walijihakikishia Urais lakini wakaishia kuusikia Redioni?

Lakini angalieni Safari ya Mama yetu namna ilivyo ya Miujiza na yenye Thamani iliyochorwa na Mungu Mwenyewe. Angalieni njia alizopitia mpaka kuibukia kwenye Umakamu wa Rais 2015. Angalieni Safari yake tokea wakati wa Ubunge mpaka kubwa mwenyekiti Makamu mwenyekiti wa Bunge maalumu la Katiba. Angalieni namna alivyoibukia katika siasa na kuanza kukwea ngazi za uongozi kama Komandoo aliyetoka mafunzoni.

Hivi hamuoni Kuwa kuna mkono wa Mungu juu yake? Hivi hamuoni ni safari iliyopangwa na Mungu mwenyewe? Hivi hamuoni ya kuwa ni Chaguo la Mungu mwenyewe kuliongoza Taifa letu?

Sasa unafikiri unaweza mhujumu Mama huyu aliyepewa kibali na kuinuliwa Na Mungu? Mnafikiria kuna lolote linaloweza kupangwa sirini na likafanikiwa? Mnafikiria kuna mwanadamu anaweza kupindua mipango ya Mwenyezi Mungu? Mnafikiria kuna Siku Mungu atazidiwa uwezo na k wanadamu aliyowaumba yeye mwenyewe kwa mikono yake na kuwapa Pumzi yake?

Narudia kusema tena ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kainuliwa kwa mkono wa Mungu. Yupo hapo kwa kibali cha Mwenyezi Mungu. Ataongoza Taifa letu mpaka Mwisho kwa uwezo wa Mungu Mwenyewe. Hakuna wa kumshusha wala Kumkwamisha. Hakuna baya litakalopangwa na mwanadamu sirini na likaweza kufanikiwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3535700
ana hujumiwa na DAMU ZA WATU zilizomwagika kwa mikono yake
huyu samia ataweweseka mpaka anaingia kaburini
damu za watu siyo mchezo
 
Wakijaribu kuingia barabarani watakachokutana nacho utakuwa ni halali yao.
Hawataingia barabarani. Watamalizana ccm wenyewe. Unajidai chawa wakati hujui yanayoendelea jikoni?
Kule kwa papa mlimpelekea nakala ya walaka wa Rucy?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa wanajisumbua tu na kamwe hawatafanikisha Dhamira yao ovu..

Watashindwa kwa sababu Rais Samia yupo hapo Alipo kwa mipango na kibali cha Mwenyezi Mungu. Katika Ulimwengu wa kiroho Mama Samia ni Rais Wa Taifa hili hata kabla hajazaliwa. Mama Samia ni Chaguo la Mungu hata kabla ya Ya 2021.

Hamjawahi kujiuliza ni kwanini wengine walitumia mapesa na mapesa kwa miaka mingi sana tokea kurejea kwa mfumo wa vyama vingi lakini hawajawahi kufanikiwa kuupata wala kukikaribia kiti cha Urais? Hamjawahi kujiuliza imekuwaje wengine pamoja na kutaka kuunua Urais ama kujijengea kambi na kuunda wafuasi wenye nguvu kuwaunga mkono lakini hawajawahi kuupata Uraisi?

Je ninyi siyo Mashuhuda wa namna baadhi ya watanzania wenzetu walijihakikishia Urais lakini wakaishia kuusikia Redioni?

Lakini angalieni Safari ya Mama yetu namna ilivyo ya Miujiza na yenye Thamani iliyochorwa na Mungu Mwenyewe. Angalieni njia alizopitia mpaka kuibukia kwenye Umakamu wa Rais 2015. Angalieni Safari yake tokea wakati wa Ubunge mpaka kubwa mwenyekiti Makamu mwenyekiti wa Bunge maalumu la Katiba. Angalieni namna alivyoibukia katika siasa na kuanza kukwea ngazi za uongozi kama Komandoo aliyetoka mafunzoni.

Hivi hamuoni Kuwa kuna mkono wa Mungu juu yake? Hivi hamuoni ni safari iliyopangwa na Mungu mwenyewe? Hivi hamuoni ya kuwa ni Chaguo la Mungu mwenyewe kuliongoza Taifa letu?

Sasa unafikiri unaweza mhujumu Mama huyu aliyepewa kibali na kuinuliwa Na Mungu? Mnafikiria kuna lolote linaloweza kupangwa sirini na likafanikiwa? Mnafikiria kuna mwanadamu anaweza kupindua mipango ya Mwenyezi Mungu? Mnafikiria kuna Siku Mungu atazidiwa uwezo na k wanadamu aliyowaumba yeye mwenyewe kwa mikono yake na kuwapa Pumzi yake?

Narudia kusema tena ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kainuliwa kwa mkono wa Mungu. Yupo hapo kwa kibali cha Mwenyezi Mungu. Ataongoza Taifa letu mpaka Mwisho kwa uwezo wa Mungu Mwenyewe. Hakuna wa kumshusha wala Kumkwamisha. Hakuna baya litakalopangwa na mwanadamu sirini na likaweza kufanikiwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3535700
Mnauza dhahabu zetu lini? Maana mpo hoi bin vuu, Je hao waarabu wa Bandari vipi? Wamewakopa tena?
 
Back
Top Bottom