Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?


Shikamoo
 
Sio lazima atoke kwenye majeshi hata mtu ambae ni mhalifu aliebobea anaweza kuwa recruited na ukikamatwa au eneo la tukio ukiacha ushaidi wa kukutia hatiani wakubwa waliokutuma wanakukataa tena wanaweza wakapenyeza mpambe mwingine aje kukumalizia kabisa ili kuficha siri ni mara chache sana wanaweza wakakubali ni mtu wao ikiwa una umuhimu mkubwa sana. Hizi mishe noma sana
 

Watu wengi hawafaham hili kabisaa. They will be amaized ni urefu gani serikal inaweza kwenda just tu kulinda usalama wa nchi.
 
Tatizo nani atalekebisha sasa suala la kufanya checks and balance hata bunge tu limeshindwa kwa serikali
 
Hiyo ni principle ya Dunia, imempasa mmoja kufa kwa ajili ya Taifa zima. Dunia hu operate hivyo kwa kuwaondoa wanao kwamisha mambo. Kwani ushawahi jiuliza wanajeshi wanagombania nini? Chukulia mfano rais x kachukizana na rais y, then wanao kwenda kugombana/ kuuana ni wengine kabisa.
 
Hao ni wale ambao walifeli shule na maisha,sasa kwa kuwa wazazi wao wanaukalibu na Viongozi basi wakapewa ajila kama hizo,hebu fikiri chuki yao itakuwaje dhidi ya watu wema
 
Wanaokwamisha mambo kwenye taifa ni mafisadi na wala rushwa sio wapiga kelele.
 
Vile vile jiulize wale wanaonyonga watu waliohukumiwa kunyongwa wanapatikana vipi?

Jibu ni moja tu, wanapatatikana miongoni mwa walioajiriwa ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kama polisi, magereza, jeshi la ulinzi nk.

Nafasi hizi ni maalum na hutangazwa ndani ya vyombo hivyo na wahusika hupewa baada ya kuwafanyia usaili na kuchunguzwa tabia zao!
 
Duuh angekuwepo baba yake Kinje tungemuuliza.
 
Uwe na uwezo wa kutumia plyer/Plies
 
unajuaje kama ile mission ilikuwa ni ya kujeruhi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…