agadinho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 582
- 324
Ni mjinga tu wa kariba kama yako who think we have a single person who can govern this country. we have almost 50 Tanzanians who can lead this country.Mkuu Vivanet, sio mipango mkakati wa re establishment of Ng'wana Ngosha Empire, bali kwa Tanzania hapa tulipofika we need bold able people who practice what they preach, akisema kitu fulani no ni no!. Ingekuwa ni Kikwete amepiga marufuku yale maandamano ya ukuta, watu wangeandanana tuu!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Ameleta heshima mtaani!
Paskali