- Thread starter
- #41
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
https://www.jamiiforums.com/threads...ubutu-kuliko-hata-jpm-apunguze.1197731/page-3
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...
Sio uchochezi bali ni kutumia haki yetu ya freedom of expression kwa sababu kiukweli miaka 10 haitoshi.
P.
Mayalla ni njaa kwa kisukuma, Hiyo kasi unayoisifia ingepimwa baada ya terms zake 2 ndio tupige kelele hizo za kumwongezea hiyo miaka mnayodai kaka yangu. Biblia inasema heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo.....Ninaamini ninyi hao mnaodai kuwa aongezewe muda mwakani mtakuja na nyimbo mpya.