Kwani mwanao akija na ripoti kapata asilimia 40 katika mtihani wake, ukamwambia unahitaji jitihada zaidi kuongeza ufanisi, utakuwa hujatambua jitihada zake?
Unaelewa kwamba binafsi sina tatizo kutqmbua jitihada, ika nasema tunaweza kufanya vizuri sana zaidi ya sasa hivi na kwamba kuna ujinga mwingi sana unafanyika ambao hauhitajiki?
Unaelewa hayo?
Unaelewa kwamba hizi ni habari nyingi na nzito na zenye utata mwingi, si habari ndogo na nyepesi tu za kutambua au kutotambua jitihada?
Nikisema rais ni mshenzi kwa sababu kasema atawapiga shangazi wa wapinzani, hapo sijatambua au nimetambua jitihada zake?
Nikisema ukweli kwamba rais ni mshenzi, sijatambua jitihada zake?
Mtu mshenzi hawezi kuwa na jitihada zinazotambulika, akaangushwa na ushenzi wake, watu wakapenda jitihada zake, wakasema "huyu angeondoa ushenzi wake tu, angeweza kufanya vizuri zaidi"?