Wananipenda jumla sijui kwanini

Wananipenda jumla sijui kwanini

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,223
Reaction score
16,900
Habari za asubuhi wana MMU

Kwa kifupi nina wapenzi wanne kati ya hao wanne ninampenda kupita wote ni mmoja tu ambaye nilimtongoza mwenyewe sasa hao watatu wengine wamenitongoza wenyewe kwakuwa sitaki sifa mbaya mtaani ya kuonekana shoga kwamba nimetongozwa na demu halafu nimekataa hii ni sifa mbaya maana nyie wadada sometimes mna mambo ya kukomoana.

Cha kushangaza sasa napendwa jumla kila njia ninayotumia kuachana nayo hawaelewi mwisho mmoja juzi nimemwambia nataka tigo yeye anasema twende tu hakuna ninachotaka kwake akashindwa kunipa kama kipo ndani ya uwezo wake mwingine alivyonitongoza tu siku ya tatu nikaomba game kwa njia ya kumuonesha mimi kicheche ili achomoe nimtafutie sababu ya kuniacha lakini wapi sijui kwanini napendwa kama hivi.
 
Teh teh teh teh,bwahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
habari za asubuhi wana MMU

kwakifupi nna wapenzi wanne kati ya hao wanne nnampenda kupita wote ni mmoja tu ambaye nilimtongoza mwenyewe sasa hao watatu wengine wamenitongoza wenyewe kwakuwa sitaki sifa mbaya mtaani ya kuonekana shoga kwamba nimetongozwa na demu halafu nimekataa hii ni sifa mbaya maana nyie wadada sometimes mnamambo ya kukomoana...............cha kushangaza sasa napendwa jumla kila njia nnayotumia kuachana nayo hawaelewa mwisho mmoja juzi nimemwambia nataka tigo yeye anasema twende tu hakuna nnachotaka kwake akashindwa kunipa kama kipo ndani ya uwezo wake.........mwingine alivyonitongoza tu siku ya tatu nikaomba game kwa njia ya kumuonesha mm kicheche ili achomoe nimtafutie sababu ya kuniacha lakin wap sijui kwanini napendwa kama hivi
You are one of the luckiest dude in the whole universe, congratulations.
 
Una damu ya ngoma.......
 
Hebu jitathmini uone ni nini hasa kinachofanya upend we. Hilo litakusaidia ktk kuamua nini ufanye.
 
khaaa!! eti ukikataa utaonekana shoga? sembuse hata dem huna? mfyuuuu sifa za kipofu hizo
 
na wewe wapende jumla... wanakupenda jumla si uliwakubali jumla jumla
 
Wee kula wote na ongeza wengine umzidi mkuu wa kaya na domo
 
We ndo yule mwenye thredi ya "mwanaume mzuri kuliko wote"?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom