Wananipenda jumla sijui kwanini

Wananipenda jumla sijui kwanini

Hebu peleka hii thread yako kule FB maana kule ndio kuna vinuka nanihii wenzio, usituchafulie hali ya hewa.
 
Kazi ndogo hiyo naweza kukusaidia. Wa-date hao wa3 siku moja kwapamoja! Ukishawapiga mitungi ya kutosha, lipia chumba kimoja tu ukalale nao wote kitanda kimoja!
 
sijui kwa nin unapenda sifa kwa kiwango cha hali ya juu.wamekuletea ukimwi hao wajtapa.
 
sijui kwa nin unapenda sifa kwa kiwango cha hali ya juu.wamekuletea ukimwi hao wajtapa.afu uliyemtongoza nae analalama umemganda hakupendi.mana anakuchuna we wala hushtuk nae anamchz wake anamfl wewe umemganda tu.
 
Hata ww utaliwa 0713 endelea na cfa za kijinga
 
Mpenzi wa 5 atakae kupenda na kukufuata bila shida ni UKIMWI na wa mwisho atakekupenda zaidi maishani nina uhakika ni KIFO.
 
Hivi shule hazifunguliwi hili jukwaa lirudi katika heshima yake jamani,maana hizi shule za st. hzi zinafanya wapiga nyeto kuongezeka dunian halafu hata hawajui wapi wazungumze nini...
 
Kudadadeki mbona mazari hayo mm siyapatagi nambuuliwa kubetuliwa midomo tu nakebehi dah aisee chapa ilale kijana
 
jichunguze vizuri kwann wanakupenda

Nisaidie jibu la swali hili....its hard to tell aseee......unakuta MTU ur not that handsome lakini ndo hivyo...na wao ukiwauliza wanakwambia "basi tu nakupenda"

Majuzi humu jamvini nilitoa scenario ilonitokea mm,na huyo MTU hana sababu ya kusema why kazimika..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom