Wananipenda jumla sijui kwanini

Wananipenda jumla sijui kwanini

Mazingra Ya Kupendw Umeyatengeneza Mweyew Coz Umejilegez Kifala. Hufai Kuw Mwanaume Shujaa. Nan Alikwmbia Ukimkataa Mcchana Unaonekan Shoga? Negativer Boy Ww. Kumb Kila Ki2 Hap Dunian Ni Cha Muda 2.
 
Mazingra Ya Kupendw Umeyatengeneza Mweyew Coz Umejilegez Kifala. Hufai Kuw Mwanaume Shujaa. Nan Alikwmbia Ukimkataa Mcchana Unaonekan Shoga? Negativer Boy Ww. Kumb Kila Ki2 Hap Dunian Ni Cha Muda 2.

ur right ila ungejua wala usingesema
 
mmh,its better ukawaacha wote 4 afu uwe single maana hapo ngoma ipo 0 distnce
 
Nisaidie jibu la swali hili....its hard to tell aseee......unakuta MTU ur not that handsome lakini ndo hivyo...na wao ukiwauliza wanakwambia "basi tu nakupenda"

Majuzi humu jamvini nilitoa scenario ilonitokea mm,na huyo MTU hana sababu ya kusema why kazimika..

Mimi nakubaligi nionekane boya mbele yake hata mbele ya washkaji

Manake nikisema nis.ex na kila anayejipendekeza...............
 
Kwaiyoo ulivyomuomba tigoo ulipiga? Utakuwa handsome mpolee ndo maana wanawake wanakupenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom