Wananipenda jumla sijui kwanini

Wananipenda jumla sijui kwanini

I will be the last to blv this!Sifa za kijinga.com

Mambo kama haya yapo dadaangu...jamaa anawakilisha washikaji wengi tuu sema wengine kuanza kusema mm napendwa mm hivi kwa mtoto wa kiume ndo haiwezekani ila wapo wengi sana...
So unaweza kuwa sahihi kutokumuamini yeye kuwa anapendwa "jumla jumla"( kanchekesha kweli hapo) lakini amini kwamba haya mambo yapo.
 
Hahahha siokila anayekupigi makofi anakupongeza chunga
 
habari za asubuhi wana MMU

kwakifupi nna wapenzi wanne kati ya hao wanne nnampenda kupita wote ni mmoja tu ambaye nilimtongoza mwenyewe sasa hao watatu wengine wamenitongoza wenyewe kwakuwa sitaki sifa mbaya mtaani ya kuonekana shoga kwamba nimetongozwa na demu halafu nimekataa hii ni sifa mbaya maana nyie wadada sometimes mnamambo ya kukomoana...............cha kushangaza sasa napendwa jumla kila njia nnayotumia kuachana nayo hawaelewa mwisho mmoja juzi nimemwambia nataka tigo yeye anasema twende tu hakuna nnachotaka kwake akashindwa kunipa kama kipo ndani ya uwezo wake.........mwingine alivyonitongoza tu siku ya tatu nikaomba game kwa njia ya kumuonesha mm kicheche ili achomoe nimtafutie sababu ya kuniacha lakin wap sijui kwanini napendwa kama hivi

Una nyota ya ukimwi chunga sana hiyo nyota inang'aa sana jitahidi kuififihisha
 
It ain't a very healthy habit. Kwa mfano you dont have to apologise for persuing your dream...of for being yourself, for believing on something that others dont believe in.

Key to failure is trying to please everyone. Lakini kuwa na amani ni kitu kizuri sana (ndo maana mi natumia bunduki kuhakikisha amani inatawala #wink )
Yeah! ni mtu wa apologise sana mie, kwakua najua umenikosea au nimekukosea nikikuapologise sifi ila nakuwa na amani. kifupi napenda aman itawale moyoni mwangu
 
It ain't a very healthy habit. Kwa mfano you dont have to apologise for persuing your dream...of for being yourself, for believing on something that others dont believe in.

Key to failure is trying to please everyone. Lakini kuwa na amani ni kitu kizuri sana (ndo maana mi natumia bunduki kuhakikisha amani inatawala #wink )

My 4real, it take a strong person to say sorry and even a stronger person to 4give, what i know, peace is not something u wish for, it's something u make, something you do, something u are and something u give away.
huyo bunduki wako elekezea hukoo kwa wanaopendwa na wanne wanne maana hawapendi maisha, mi naiogopa ivo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom