Sometimes ni impact ya umri ila unakuta muhusika hataki kukubali kuishi kutokana na umri wake. Mwisho wa siku ili ajijengee heshima kwa watoto wa 2000, anabugia viagra.Unashindwa kupunguza pombe, sigara, vyakula vibaya na ufanye mazoezi kidogo unakimbilia njia rahisi.
Wanaume hatukimbilii njia rahisi tunakimbilia njia sahihi.
Sio viksi ya mafua 😀😀😀kwani viksi sio ya mafua na maumivu kidogo ya kichwa kama wanavyodai wauzaji?
Hii ni miili ya damu na nyama tu, ina kikomo.Ukweli n kwamba, hta akiacha hayo bado sio kigezo cha nguvu za kiume kuongezeka.
Hua tunajidanganya na kula vyakula fulani, mazoezi etc. Hayo yanaongeza nguvu kwa % chache mno lkn hakujawah kutokea mtu akaongeza nguvu za kiume kupitia mazoea au vyakula.
Ndo mana wengi wanakimbilia kwenye buster.
ni ipi😅😅 mi bado mgeniSio viksi ya mafua 😀😀😀
Uwezo wa kawaida n upi huo, range ya mwanaume kumwaga haiwez kuzidi dkk 10.Hii ni miili ya damu na nyama tu, ina kikomo.
Lakini una wajibu wa kuitunza afya yako ili uufikie uwezo wako wa kawaida.
Kama ni kero kwa mwenzi wako, inabidi utafute suluhu. Muda nafikiri tunatofautiana kulingana na umri, mazingira, hisia nk.Uwezo wa kawaida n upi huo, range ya mwanaume kumwaga haiwez kuzidi dkk 10.
Huo uwezo wa kawaida n upi?
Hakuna cha umri wala nn, muda wa mwanaume rijali kumwaga haiwez kuzidi dkk 10 tena hizo n nyingi, tukisema huyo boy n toa niweke bc hata dkk 5 anamwaga.Kama ni kero kwa mwenzi wako, inabidi utafute suluhu. Muda nafikiri tunatofautiana kulingana na umri, mazingira, hisia nk.
Una haribu sasa ...Njoo nikusaidie Daw'a za kisuni.Unashindwa kupunguza pombe, sigara, vyakula vibaya na ufanye mazoezi kidogo unakimbilia njia rahisi.
Wanaume hatukimbilii njia rahisi tunakimbilia njia sahihi.
Ndo maana nikasema kama mwenzi wako anakereka, inaweza ikawa tatizo.Hakuna cha umri wala nn, muda wa mwanaume rijali kumwaga haiwez kuzidi dkk 10 tena hizo n nyingi, tukisema huyo boy n toa niweke bc hata dkk 5 anamwaga.
Sitaki kuwa kama nyie wapemba mna ugumu hadi wanafunzi mnapiga.Una haribu sasa ...Njoo nikusaidie Daw'a za kisuni.
We subiri wakizeeka uopoe chuma chakavu..Sitaki kuwa kama nyie wapemba mna ugumu hadi wanafunzi mnapiga.
Hawataki kumsikiliza Sir God, wanataka nguvu za kiume kufanya umalayaYah ishu n akili tuu
Pia nadhani ishu ya nguvu za kiume n baraka kutoka kwa Sir God kama ilivyo kuzaliwa wakiume, wakike, mweusi, mrefu, macho makubwa, shingo ndefu etc.
Kama huna itabaki huna tuu 😂
Ni kama vile sister duu aagize chipsi na pili pili nyingiiiiiiiiiii.kuna huyu kachukua sahel 3 na kly,, kiukweli nimeuza huku nasikitika moyoni
Imenitesa sana hii aisee mpaka nimepunguza uweeh!Ni kama vile sister duu aagize chipsi na pili pili nyingiiiiiiiiiii.
Unajua kabisa kuna kiungo kinaenda kupata tabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vega za siku hizi bure kabisaa.
Mara ya kwanza naitumia miaka 12 nyumaa, kwanza picha linaanza nikazima kwenye kochi,kuamka damu zinatoka puani,uume ulisimama siku tatu bila kusahau kichwa Cha utosi kinauma balaa.
Mwisho kabisa ilibidi nijifanye nimekitupa. Mrembo ananiuliza mbona sioni manii Yako. Nikamjibu sijui yamepotea.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha stor ya jamaa mmojs Arusha alikua anaitwa Madumba. Yeye alikata moto uku amedinda.
Sasa ivi vitu vingi ni feki watu wana contra brand sana.
Sasa kwanini hujamsanukiaa?.kuna huyu kachukua sahel 3 na kly,, kiukweli nimeuza huku nasikitika moyoni
Haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hii yote n ili kumpa furaha mwanamke [emoji23] wanaume tutafika jehanamu tumechoka Sana [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]alf ni kijana mdogo sidhani hata kama kafikisha 35yrs imebidi nimwambie tu asisahau kunywa maji mengi maana hizo dawa ni kama zina changia mapigo ya moyo kwenda kasi ili pumzi isije ikakata[emoji28][emoji28],,, Walah nimesikitika[emoji26][emoji29]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii.Si alikuwa anajifanya mtaalamu ananiuliza eti mbona dudu haijalala na manii hakuna ,halafu unaniambia ushamaliza? Nikamjibu sinaga manii mimi ,yamepotea huku kichwa na dudu linauma balaa.Mbona nilikoma.