huyo alizidi sasa khaaa! yaani mumlee yeye pamoja na familia yake! hata mie siwezi.
Ndugu yangu, ukitaka kuelewana na mtu yoyote epuka chakula chake.....take my Words....
my dear yakikufika utafanya tuu if it is meant to be so.
haya mambo hayana kanuni manake kila ajae kwako ipo riziki yake kwako, mtu haji kwako hivi hivi, muda mwingine unaweza kupata wagen hadi ukajiuliza ivi sasa humu ndani tutaishije?? utashangaa unapata riziki mnakula hadi wanapofikia kuondoka.
naelewa kwamba ni gharama sana lakin mara zote niwazapo kwamba maisha hayana kanuni maalum huwa nasema iwe kama ilivyo, ingawa ninasheria kwangu nikikaa na wewe nikakupeleka shule once ukipata kazi/kibarua utaanza kujitegemea
ndugu yangu sijui kwa nini wanawake wa kiafrika ni wabinafsi sana linapokuja suala la kusaidia ndugu. Anataka ndugu zake tu ndio wasaidiwe lakini sio wa upande wa mwanaume. wa kiume watabambikiwa kila aina ya roho mbaya ili mradi tu waonekane wabaya!! jamani wadada hatukuzaliwa peke yetu, tuna mama, baba, dada kaka nk. na wengine ndio waliochangia mafanikio yetu mpaka mkatuona hivyo tulivyo!!
kiukweli mie kwangu ukija ndugu wala sijiulizi mara mbili mbili, na hata kama utakuwa mgonjwa nitakutibia ukipona utaondoka kwa amani na hata kama utanilipa baya sitawaza manake najua majaribu yapo na mtu hujaribiwa kwa akipendacho.Kama ulichoandika ndicho unachoishi, then wewe ni mama na mke bora. Kizazi chetu kimekuwa na uchoyo, ubinafsi na umimi. Hata watoto wetu tunawafundisha vibaya.
for more than 14 yrs ndani ya ndoa, ndg wa mume hawajawah kuwa mwiba kwangu despite the fact that maudhi madogo madogo yapo na haya huyaepuki.
to me kila binadamu anakosea katika hali ya kbinadamu sana na zaid ya hapo kila unachotendewa ambacho ni kibaya/kizuri wewe binafsi umeplay part katika tendo hilo liwe jema ama baya.
ukishajua hivyo katika kila kosa hutamhesabia mtu kuwa na hatia, cha msingi ishi vizuri na kila mtu kwa kadiri ipasavyo, usiwepo unafiki, isiwepo chuki, yasiwepo masimango, uwe na matunda ya rohoni yaani utu wema, kuvumiliana, ukarimu, upendo na heshima.
hizi zimekuwa ni principle kwangu, and i do keep them, Mungu pekee ndiye anayenisimamia manake hata pale ninapotaka kuchoka bado hunihubiria kwamba mtu akienda katika machezo hapewi taji hata asiposhindana kwa halali na pia hakuna askari aandikwae kwenye vita af akayafanya ya dunia ili amfurahishe bosi wake, na pia yamfaa mkulima mwenye taabu nyingi za kazi kuwa wa kwanza kufaidi matunda ya kazi yake.
chokochoko hizi mara nyingi husababishwa na ugumu wa maisha (unaweza ita umaskini katika familia) hivyo huyo mmoja mwenye ka-uwezo kila mtu anataka amegewe japo chochote na wakati mwingine huvuka hata mstari wa nini amegewe, mke akisimama kwenye principles za familia ndo anaonekana mmbaya. Hata hivyo, ndo hali halisi ya familia zetu kikubwa ni nini kifanyike? ni wenye dhamana hasa baba kusimamia usawa haki na uhalisia. Ndugu akiruka mstari anarekebishwa instant, mke akivuka mstari anarekebishwa instant. Kama ndugu wapo wengi wote wanafate principles sawa, hakuna kubaguliwa wala kupendelewa. Mkiishi hivi hakuna mikwaruzo na hata ikitokea itakuwa ile ya kawaida.
Well said wakwetu... Nimepata kitu hapa.
Wakondya....
Labda uwe na roho mbaya na roho ya kisilani na wakati mwingine hizi roho mbaya za uchoyo huanza udogoni hivyo kama zitaendelea maana yake zinaweza kuingia hadi kwenye mahusiano na ndoa.kama ni mwanamke anza kujiassess unaishije na familia yako marafiki na jirani zako,kama huwezi kuishi nao vizuri basi hata ndugu wa mume watakushinda.unaambiwa tenda wema uende zako.. For me nadhani ni roho mbaya tu hakuna lingine because toka unaolewa unajua kabisa kuwa mumeo ana ndugu zake na IPO siku watakuja kwenu/ kwako kukutembelea ama kuishi kabisaa...na ndio maana tunaambiwa kama haupo tayari kuoa ama kuolewa
Ni bora ukae zako peke yako milele na daima.NDOA na iheshimiwe na watu WOTE, over!!
for more than 14 yrs ndani ya ndoa, ndg wa mume hawajawah kuwa mwiba kwangu despite the fact that maudhi madogo madogo yapo na haya huyaepuki.
to me kila binadamu anakosea katika hali ya kbinadamu sana na zaid ya hapo kila unachotendewa ambacho ni kibaya/kizuri wewe binafsi umeplay part katika tendo hilo liwe jema ama baya.
ukishajua hivyo katika kila kosa hutamhesabia mtu kuwa na hatia, cha msingi ishi vizuri na kila mtu kwa kadiri ipasavyo, usiwepo unafiki, isiwepo chuki, yasiwepo masimango, uwe na matunda ya rohoni yaani utu wema, kuvumiliana, ukarimu, upendo na heshima.
hizi zimekuwa ni principle kwangu, and i do keep them, Mungu pekee ndiye anayenisimamia manake hata pale ninapotaka kuchoka bado hunihubiria kwamba mtu akienda katika machezo hapewi taji hata asiposhindana kwa halali na pia hakuna askari aandikwae kwenye vita af akayafanya ya dunia ili amfurahishe bosi wake, na pia yamfaa mkulima mwenye taabu nyingi za kazi kuwa wa kwanza kufaidi matunda ya kazi yake.
Kwa vile familia zetu za kiafrika extended family for some reasons imekua kama part of family hatuna option, lakini honestly isingekua umaskini wetu ishi na mkeo/mumeo na watoto, mtu baki awe house girl/boy kwisha. Mtoto wa kaka, dada, shangazi, mamdogo, mdogo etc.. wasiwe na nafasi kwenye familia yako. Kama ni msaada wasaidie huko waliko. Usipokua mwangalifu watoto wako mwenyewe watakosa haki za msingi kutoka kwenu only kwa sababu mnategemewa na ndugu. Mimi nilikua katika mazingira ya extended family, ndugu zaidi ya watano hadi kumi ndani ya nyumba. Hakuna shukrani hata moja, hata uwafanyie nini. Tulipokua na maisha yetu, baba yangu alikua mkali sana akisikia unaishi na ndugu wa mume au mke. hakutaka yale yaliyomkuta yeye ya kusaidia ndugu wasiokua na shukrani yatukute na sisi. Mimi kwangu mtu baki ni house girl/boy sina zaidi. Na mume wangu nilimpa darasa akaelewa hivyo. Tunasaidia ndugu lakini kwa remote control.

"kufuga"
Asante.
Aamen!
Kuishi na watu wasio na kazi ni kazi.
Kuishi na mtu mzima mwenzako ni kazi kubwa. Baba yangu aliwahi mwambia Mama kuwa hawa watoto wakioa waache wakae wao wenyewe na wake zao, tusije tukapata taabu. Na mzee aliwahi sema hatakuja lala kwa mtoto wake yoyote.
Wanajiweza zaidi yetu.
Baba akifika kuwatembelea halali kwenu?...duh!