gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
huyo alizidi sasa khaaa! yaani mumlee yeye pamoja na familia yake! hata mie siwezi.
my dear yakikufika utafanya tuu if it is meant to be so.
haya mambo hayana kanuni manake kila ajae kwako ipo riziki yake kwako, mtu haji kwako hivi hivi, muda mwingine unaweza kupata wagen hadi ukajiuliza ivi sasa humu ndani tutaishije?? utashangaa unapata riziki mnakula hadi wanapofikia kuondoka.
naelewa kwamba ni gharama sana lakin mara zote niwazapo kwamba maisha hayana kanuni maalum huwa nasema iwe kama ilivyo, ingawa ninasheria kwangu nikikaa na wewe nikakupeleka shule once ukipata kazi/kibarua utaanza kujitegemea