Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
unapoongelea "kufuga" unamaanisha nini? kusomesha watoto wa nduguzo ni kufuga, au sijakuelewa vizuri?
Hujaelewa nini ndugu?
unapoongelea "kufuga" unamaanisha nini? kusomesha watoto wa nduguzo ni kufuga, au sijakuelewa vizuri?
Mkuu mangatara naomba unitake radhi, mwenzio mie bado anda eitin, hata harufu ya ndoa bado sijaanza kuisikia.
Nimeyaona hayo kwa marafiki zangu ndio maana nikalileta hapa ili tuhadili tatizibhuwa ni nini??
Kwa upande wangu hata mie nimelelewa kwenye extended family, tuliishi vizuri na ndugu wa kwao baba yangu na wa kwao mama yangu. Nina imani hata mie nitakuja kuishi vizuri na ndugu wa mume mtarajiwa.
Hujaelewa nini ndugu?
Sijui kwa nini wanawake wana-make a big deal kwenye chakula, mpaka leo sielewi kwa nini mnakuwa na roho mbaya hasa kwenye chakula...!!
Wakati nasoma nilibahatika kuwa shule mji anaoishi kaka yangu, once in a while nilikuwa napenda kwenda kusalimia na kubadilisha 'ladha', kumbe shem hakupenda ile tabia , msaidizi wao akanitonya kuwa shemeji yako anaongea maneno mabaya kila ukija...kuanzia hapo, hadi leo wanajiuliza kwa nini huyu jamaa haji kwetu tena!!!
kusaidia ndugu ni muhimu sana maana ni kuikomboa familia yote kwa ujumla na haujui nani atasaidia watoto wako ukiondoka ghafla, ila kuleta ndugu wengi home nayo unatesa mkeo na kuongeza kesi zisizohitajika, weka ndugu wawili tu home ambao wanasoma au wamekuja kwa sababu maalum (sio kukaa) wengine unaweza wasaidia wakiwa huko huko waliko peleka boarding school au unatuma hela. Extended family ni muhimu sema ndio usiwajaze home kwako, kwani msaada lazima waishi na wewe?
"kufuga"
ushakuwa na mawazo hasi juu ya ndugu kabla hata ya kuolewa...dah!
Nilicho observe siku hizi wanawake tuna roho ya ubinafsi yaana ndugu wa mume akufika tu mtu wamesha mchukulia vibaya.Mama mtu akipiga simu anakuja kutibiwa mkwe anaanza kuwambia mashost maneno nao wanamjaza ujinga.
Japo wapo ndugu wasio na adabu wafikapo katika familia ila mini nime observe wanawake siku hizi ni wa binafsi na hawapendi ndugu wa mume yaani wakija wakala bi dada anavimba kana kwamba wamedraw pesa zakr bank
Siku nyuingine ntakuja na uzi ila kina dada tumezidi kuwatrnganisha waume na ndugu zao.
hakuna guarantee kwenye chochote duniani mkuu, hata vitega uchumi vinaweza kufa, hata bima watoto bila msaada na ushauri mzuri wanaweza itumia vibaya, kumsaidia ndugu yako unamsaidia sababu ni damu yako, na ni investment kama nyingine tu unaweza pata return au usipate, mimi naamini katika kusaidia ndugu zangu ila sio kukaa na nao kibao home kwangu, huo ulikuwa mfano tu.Hakuna guarantee kwamba ukiwasaidia ndugu watahudumia familia yako ukikutwa na mauti. Kama hao ndugu hawawezi hata kukusalimia ukiwa hai, wataanzia wapi kuhudumia familia yako ukitangulia mbele za haki?
Kwa nini tusiwekeze kwenye vitega uchumi vyenye uhakika au bima?
Habari yandu sitaki kusikia kabisa!
Nilikuja kujua kumbe kweli Mdigo Mzigo shemeji yangu alipokuja kuishi nasi pamoja na mke na watoto wanne.Mie Karucee lo!
binafsi nimekulia kwenye extended family, ndugu wa pande zote mbili na watu wengine baki wasiopungua wanne, lakini wote ilikuwa sheria moja, shuleshule, kazikazi, kilizo kijijini kusaidia kulima, wote tulikuwa respect na hakuna muda wa kupiga pelepete zisizo na msingi. kwangu mimi extended family haiepukiki, kikubwa ni misingi tu, hakuna upendelleo wa ndugu wa upande wowote, wote ni sawa, na mwanamke anatakiwa ajue hilo.
lakini ndugu zake yeye hawana masimango na wanaridhika!!!...mmh!
chakula ndo kila ktu hasa kwa sisi wabongo
hata ukirudu kwenu watakuuliza vp kula lakini
mtu mwenye roho mbaya lazma akunyime kula maana atahisi we unammalizia au umezidisha bajeti
bila kula husomi,hulali usiku utahesabu kenchi
bila kula utadhoofika
kula kwqnza ndo msingi wa yote
Mfumo huo wa kijamaa na undugu umeshapitwa na wakati..... Sehemu nyingi duniani hakuna tena kubebana kama vile mtu anakilema!! maLovers wanaishi wawil na vitoto vyao kama wamezaa!!
Nilikuja kujua kumbe kweli Mdigo Mzigo shemeji yangu alipokuja kuishi nasi pamoja na mke na watoto wanne.Mie Karucee lo!
Sasa kwa nini tatizo la uchoyo wa chakula wanalo wanawake zaidi? Mbona asilimia kubwa ya wanaume hawana mda na mambo ya misosi?
..yaani mtu kuja kwa kupata lunch unaona anachukua mamilioni ya shilingi?..worse enough, akiwa ndugu yako wala hutamaindi, ila akiwa wa mume utasema maneno ya ajabu.. Kwa nini??
Dah!! My dear charminglady hii mada imefika muda muafaka kwangu kama vile umeniona ninalopitia.Sitapenda kulaumu sana ila kiukweli ni ngumu mwanadamu kumfurahisha kwa kila jambo,chanzo cha yote haya ni inner conflict of interest,Mke hujiona ana haki zaidi na ndugu pia huona wana haki zaidi.
Suluhisho ni nini basi? Mwanamke aliyeko ndoani inabidi aelewe hao watu anaosumbuana nao wana tabia gani,waswahili wanasema mbwa ukimjua jina lake hakusumbui,atambue vitu gani hasa vinavyowafanya wagombane,na wakati mwingine kushuka pia si ujinga,ajikwezae atashushwa na ajishushae atakweza,hekima yahitajika katika kuishi.