Nadhani ungeanza wewe mtoa mada kutoa maoni yako kwanza kabla watu hawajachangia. Au we sio mwafrika?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kuna night dress hasa za wanawake zinachangia kuongeza mihemuko. Waulize wanasaikolojia wa mapenzi watakuambia. Unapoliona t.a.ko au hips ikiwa kwenye transparent night dress kwenye chumba chenye mwangaza mdogo hasa wa rangi ya njano, pink au red akili inakuwa aroused zaidi na kufigure out its image and appearance in the mind. Ni kama chachandu kwenye mihongo ya kukaanga
Vipi unapoliona t.a.k.o live haliongezi mihemuko? Napata ugumu kuliamini hili.Kuna night dress hasa za wanawake zinachangia kuongeza mihemuko. Waulize wanasaikolojia wa mapenzi watakuambia. Unapoliona t.a.ko au hips ikiwa kwenye transparent night dress kwenye chumba chenye mwangaza mdogo hasa wa rangi ya njano, pink au red akili inakuwa aroused zaidi na kufigure out its image and appearance in the mind. Ni kama chachandu kwenye mihongo ya kukaanga
Hakyanan tena.........ngoja nifanye kazi,ntalipizia usiku nikirudi kwa mama yeyooo
[/COLOR]
Maadili ya ndoa zetu kama waafrika: Joto bana!
2. Kudumisha mahusiano katika ndoa: Depends on makubaliano na mitazamo ila ....
3. Ustaarabu/maendeleo/utandawazi.: Hii nzuri kuvalia ukweni hahahaha
utamaduni wa mwafrica ni baba ana nyumba yake ya kulala na mama ana yake. suala la kulala pamoja na night dress hakuna.
Vipi unapoliona t.a.k.o live haliongezi mihemuko? Napata ugumu kuliamini hili.
Mmmmmh! Waafrika wa wapi wanofanya hivi??