Wanandoa jitahidini sana mfichiane madhaifu yenu mbele ya jamii

Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
Huna hujualo.Mambo ya ndoa hayo waachie wenye ndoa yao,wewe hufanyi biashara ya mahusiano hapo dukani kwako hivyo uza bidhaa uuzazo upate ujira wako.FYI,ukiona wanandoa wanaongozana mpaka manunuzini basi jua fika kwamba yatendekayo sirini ni makuu sana hata mbingu zinafurahia.Maana mara nyingi walio wengi wanandoa hawaambatani kama hao uliowaona,wachache sana wako hivyo.Huyo dada ana adabu sana ambayo wewe huna,hana mdomo mrefu ambao wewe unao,hana upumbavu ambao wewe unao na ana kifua ambacho wewe huna ndio maana ukaleta umbea wako humu.Ulitakiwa kujifunza maana alikupa shule bila ada wala daftari na kalamu.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Pole sana mkuu..!!
Maisha ni magumu kila mahala siyo kwako tu.!
Please relaaaax..!!
 
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
Sweetie, Kwa hiyo unakiri hadharani kwamba wewe huwezi kutii mumeo ?!.
 
Hii mada ni nzuri sana. Na huu ushauri 'wanandoa jitahidini mfiche madhaifu yenu mbele ya jamii' ni mzuri.
Ni kweli ni vyema kusitiriana mbele za watu na kutokutoa nafasi watu kujua mnaishije.

Lakini sasa sijui kwanini hii mada imegeuka kujadili huu mfano OP alioutoa kama utangulizi. I wish huo mfano usingekuwepo.
 
Sijui kwanini watu wamekuwa negative kwa kiwango hiki, hapo hawatabeba lenye maana wata stuck dwelling on that story.!!
Watataka tufikie mahala tuache kusema ukweli wa yanayotokea katika jamii, tuanze kuwaambia kinachowafurahisha na wanachotamani kukisikia, hiyo itakuwa nidhamu ya uoga!!
 
Ni kweli unachokisema, kufichiana siri ni kitu chema sana ...ila hutokea pale mtu anapojua thamani ya mwenzie kwanza..lkn km haioni sidhn km kutakuwa na kufichiana siri...ndo km ivyo atakudharau mbl za wt.
Umesema kweli.

Ukimthamini mtu, utamchukulia madhaifu yake na utaishi naye kana kwamba hana hayo madhaifu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana mkuu..!!
Maisha ni magumu kila mahala siyo kwako tu.!
Please relaaaax..!!
Na'yanavozidi kuwa magumu ndivyo walozi na wapiga ramli mnaongezeka,badala kujikita na bidhaa na mauzo unajikuta unakuwa mshahuri rika na mahusiano!!!!A jack of all trades....
 
Hao watadumu katika ndoa, kusemwa ni sehemu ya kukurekebisha, huwezi jua huyo mwanaume kwanini amseme mkewe vile, kuna wanawake ni wazembe sana hata makazini unamkuta binti mtanashati lakini namna anavyofanya kazi hadi asukumwe au afokewe, na wewe siku ukiolewa vumilia tu udipende kujibishana na mwanaume.
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
 
Kuna wanawake ni wazembe toka wakiwa makwao na hawabadiliki, na kuna wanaume ambao hasira zao ni kusema akisema nyongo yake inatulia na maisha yanasonga, wasichana wengi wa kileo wanapenda kushindana na wanaume katika kuongea haswa mkiwa katika ugomvi
Kweli mkuu ndoa inahitaji kuvumiliana ila huyo jamaa anachofanya ni kumdhalisha mwenzie na hiyo inaweza pelekea ndoa kuanza kuyumba (kwa kuwa anatoa nafasi hadi kwa watu wa nje kuivuruga au mke pia anaweza kuchoka maana sio kwamba ana nidham tuu bali ana hofu pia )
Jamaa angemsema mkewe wakiwa wawili peke yao mke angemheshimu sana na kumwelewa zaidi na huo ndio uanaume[emoji41]
 
Na wewe ndo ujifunze, namkumbuka Baba yangu, alikuwa akikasirika akianza kuongea hakuna anayemjibu hata Mama alikaa kimya, sikuhizi wasichana mnamidomo mirefu hamuwezi kuvumlia kusemwa
Mkuu,
Sijambeza! Na wala siwezi thubutu kufanya hivyo.!! Nimeshangazwa na nidhamu yake, na nikatamani niweze kujishusha namna hiyo.!

Kumbeza?? I wouldn't dare!!
 
Raha ya mwanaume awe mkali kwenye mambo ya kifamilia aonyeshe msimamo kwenye mambo ya msingi.... alichokifanya huyo ni dharau na udhalilishaji sio ukali
Upo sahihi mkuu...
Sasa turudi kwenye uhalisia, kama ni wewe ndie ungekuwa yule mwanamke...
1. Je, unge vunja doa?
2. Je, unge mshataki mumoe kwa kosa la kukudhalilisha?
Binafsi mimi nafikiri kwa hii scenario, hawa watu wana shida kuanzia ndani kwao. Na alicho kifanya mume wa huyo mama ni kulipuka kwasababu ana hasira zilizo jibeba.
Na mwisho nampongeza sana yule mama kwa kukaa kimya kwasababu pengine imemsaidia kuepuka mengi zaidi ya haya tulio simuliwa hapa.
 
Sijasoma yote ila Kuna wanaume wengine ni[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Pole yake huyo dada
 
Ila kiukweli wanawake kuna mda huwa mnakara sana.. Sema ni gheri mwanamke awe na mapungudu yote sio kuxhepuka hapo ataachika.. Mengine mwanaume inakupasa kuwa na kifua ndo mtadumisha ndoa yenu kama chama tawala[emoji23][emoji23]
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
 
Nakazia hapo mkuu umeongea point sana.
Kusafir na wife huwa najikuta nageuka "percel assistant manager" wakat nikiwa alone , lasketi yangu mgongoni ndani ina laptop na nguo chache Id zangu mbil tatu na hela kwenye mpesa na chache mfukoi
Hata walet sibebi
Kuna moja huku bariadi alisahau mtoto wa miaka miwili kwa abiria mwezie kwenye basi wakati wakumsaidia kumbeba walivo kua wanatoka Ramadi kuenda bariadi.......Eti nisiwe mkali kwa mke acha tu wana wake wanaudhi tu.
 
Kweli mkuu ndoa inahitaji kuvumiliana ila huyo jamaa anachofanya ni kumdhalisha mwenzie na hiyo inaweza pelekea ndoa kuanza kuyumba (kwa kuwa anatoa nafasi hadi kwa watu wa nje kuivuruga au mke pia anaweza kuchoka maana sio kwamba ana nidham tuu bali ana hofu pia )
Jamaa angemsema mkewe wakiwa wawili peke yao mke angemheshimu sana na kumwelewa zaidi na huo ndio uanaume[emoji41]
Mkuu, kama upo kwenye ndoa naamini utaungana nami kwamba hilo ni jambo dogo sana.
Na kwenye ndoa hapahitaji mashindano wala ujuaji mwiiiingi ambao huweza ukapelekea shida kubwa zaidi.
Zipo ndoa nyingi ambazo zinavumiliwa kwa sababu tofauti tofauti, na ingekuwa kila jambo linapo tokea ama kauli mbaya inapo tokea ni kukimbilia kwenye hizo mnaita haki/sheria/dawati and ect basi bilashaka ndoa nyingi zingekuwa zimesha vunjika.
Na, yawezekana msimuliaji ameona hili ni jambo la ajabu na kubwa kwake kwasababu pengine bado hajaingia kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom