Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,597
- 29,580
- Thread starter
- #61
Pole mkuu..!Nimekushangaa ulishindwa kumwambia mlipokuwa Peke yenu sasa tofauti yako wewe na hao ni kuwa wale wako kwenye ndoa wanazungumza mambo Yao we umekujayleta humu tuyajadili na ninaamini wanaweza wakawa member humu wanatakuibukia usutwe mchana kweupe
Ungechukua somo linalokufaa mengine niachie mimi mwenyewe!
Ninaweza kukuandika hata wewe hapa na usikae ukajua hata miaka 100,