Wanandoa jitahidini sana mfichiane madhaifu yenu mbele ya jamii

Dada katika ndoa hilo nijambo dogo sana..... ukianza kubeba hizo kauli zawanandoa wewe hutakuja uolewe, au utabaki singo maza maisha ya ndoa achia wanandoa wewe endelea hapokutafuta rizki yako hapo ulipo...........tena hilo nijambo lakawaida kwa wanao safiri na wakezao wanawake wanajitoaga fahamu nakukuigiza kwa gharama kubwa kwaujinga ujinga kama huo........hiyo kauli ya staha inatakoga hata bila kujua
Nakazia hapo mkuu umeongea point sana.
Kusafir na wife huwa najikuta nageuka "percel assistant manager" wakat nikiwa alone , lasketi yangu mgongoni ndani ina laptop na nguo chache Id zangu mbil tatu na hela kwenye mpesa na chache mfukoi
Hata walet sibebi
 
Kweli mkuu ndoa inahitaji kuvumiliana ila huyo jamaa anachofanya ni kumdhalisha mwenzie na hiyo inaweza pelekea ndoa kuanza kuyumba (kwa kuwa anatoa nafasi hadi kwa watu wa nje kuivuruga au mke pia anaweza kuchoka maana sio kwamba ana nidham tuu bali ana hofu pia )
Jamaa angemsema mkewe wakiwa wawili peke yao mke angemheshimu sana na kumwelewa zaidi na huo ndio uanaume😎
Ofcz
 
Sio kitu kizuri kumsema mwenza wako mbele ya watu lakin kuna mazingira inlazimu mana unakuta mti hakusudii ila anajikuta tubkalopoka cz of series ya matukio ambayo mwenzake anakua hayatilii maanan pindi anaposhauriwa vizur na kwa upendo.Na hata jamaa usikute hapendi hiyo kitu.

Nakumbuka zaman kidogo kuna uzembe ulifanyika home na mzee wangu akam mind sana maza (mzee wangu ana heskima sana) na ilikua mbele yangu.Nikajiskia vibaya sana sana kwann mzee kafanya vile basi ikabid niingilie kuchukua jukum la kuweka yale mambo sawa kwa kutekeleza kile ambacho mzee alikua analalamikia.

Ile situation nikaja kuielewa vizur baada ya mm kuoa,aisee mapenz baina ya wawil hujenga mazoea ambayo wanawake wengi wanashindwa kuweka mpaka kati ya jambo serious na mapennz.
Unaweza ukawa uko kwenye phase ya seriousness na unasiaitiza jambk kumbe mwenzako anakusikiliza na kukuelewa katika perspective ya ma lovie mwisho wa siku expectation zinakua Null.
Hapo ndio mtiti unaanzaga.
 
Moyo wa kujinyenyekeza hivyo hata wakati nagombezwa mbele za watu ndiyo sina..!
Nilichoshauri ni wanandoa wasiwekeane madhaifu yao mbele ya jamii.!
Jifunze kusoma na kuelewa mkuu, usikimbilie kujibu!
Huo moyo wa kujinyenyekeza ambao wewe hauna ndo wenye kuficha madhaifu, huyo mwanamke yawezekana naye angeamua kumjibu mwanaume ungefahamu madhaifu mengi tu...

Kama mwanamke ktk tukio hilo ni mfano wa kuigwa, basi jamii yote wake kwa waume tushauri wawe hivyo, maana si tu watamudu kutunza siri za ndani kwa kadamnasi bali ni njia moja wapo ya mwandoa ama mpenzi ku deal na hasira za mwenza wake...
 
Me nikagombezewe tu ndani kwakweli, siyo mbele za watu.!!
Ni vizuri kama ukipata mtu understanding, ila endapo utapata mtu mwenye wenge la kutosha atakupaka hata mbele za watu.

Jana nilikuwa na bibie nimemfata kwenye function, nikapaki mahali nipige mishkaki na ndizi choma mara ghafla bibie akaanza kisirani na kuniletea hizo swaga nilipata moto balaa, nikamwambia akanisubirie ndani ya gari.

Niliporudi garini nikaanza muhoji kwanini ameleta mada private mbele ya mchoma mishkaki,lengo ilikuwa kunifedhehesha ama ni nini? Nilikuwa nasubiria aseme nyoko nyoko tu bila mpangilio nimshushie kichapo cha mbwa koko bahati nzuri akawa amejistukia akakaa kimya.
 
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
Nimekushangaa ulishindwa kumwambia mlipokuwa Peke yenu sasa tofauti yako wewe na hao ni kuwa wale wako kwenye ndoa wanazungumza mambo Yao we umekujayleta humu tuyajadili na ninaamini wanaweza wakawa member humu wanatakuibukia usutwe mchana kweupe
 
kwenye ndoa ukiwa na hasira na uamuzi wa haraka utamaliza dunia nzima

Cc Smart911
🤣🤣🤣🤣🤣 Ndoa ni ngumu jamani, omba uoe best friend wako. Hizi ndoa za kuokotana tu kisa mmependana huwa ni lust tu na huisha mapema sana baada ya kuzoeana na mtiti ndio huanzia hapo....kusalitiana na kufokeana bila mpangilio mnakuwa mnaishi kwa mazoea tu ila kila mmoja ameshachoka kwa roho.

Waliobahatika kuoa bestfriends ni likely wana forever happy marriages. Wanakuwa sawa sana kwa hobbies na kila kitu. Kama hustles mnapiga pamoja inapendeza sana.
 
M
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
kimaaandiko zaidi

Mwanaume kumpenda mwanamke

Na pia mke kumtii mmewe hayo ni Maandiko Matakatifu yanasema sio mimi

Maandiko yanasema....... Enyi waume ishini kwa hakili na wake zenu

Ni Maandiko Matakatifu Ya Biblia yanasema hivoo.....

Maandiko yanasema Usiwe mpole kupita kiasi.......

Sasa tuje kwenye point sasa

. Siku zote usijimwambafayi mbele ya watu ili kwamba uonekane wewe ni mbabe (tyson)
. Jifunze kushusha hasira kama wewe ni mwepesi wa hasira jifunze kuwa mtaratibu
. Jifunze kunyamaza
Kwani mambo ya ndoa yenu ni yakwenu wawl myamalizie chumbani pasipo Majirani kujua hata watoto wenu hapo mtajenga familia imara yenye amani
Hi guys..!
Natumaini mpo salama sana.!

Nilishauriwa nipunguze kuandika humu, ila Mungu ndiye ajuaye mbona nashindwa? Najikuta tu natamani kuwaandikia humu ili mfurahi ama la mjifunze jambo,
Mshauri wangu na rafiki yangu..! nimeuelewa ushauri wako barabara, but please understand me, writing is my passion..!!

Nije kwenye lengo la uzi, ilikuwa wiki iliyopita hivi, kuna wanandoa walikuja pahala ninapotafutia riziki yangu ya kila siku, na huduma waliyokuwa wanaihitaji mimi ndiye niliyepaswa niwahudumie.!!

Nikawakaribisha vizuri, nikawasikiliza shida yao, tukaongea vyema, ukafika muda wa kukagua documents zilizohitajika, hapo ndo kasheshe likaanza,
Yule dada akawa amesahau mkoba huko walipotoka, Mume akaanza; 'Na utakuwa umeacha pale dukani bila shaka, tatizo lako wewe 'fulani'(anamtaja jina) ni mzembe sana, na nilikuambia kuwa makini utaacha baadhi ya mizigo, si unaona sasa'.!?
Ikabidi kwanza nibaki nawashangaa, zaidi nikimshangaa yule mwanaume anavyomsema mkewe vile mbele yangu,
Na of course walikuwa na mizigo mingi, yule dada kusahau mkoba halikuwa kosa la jinai mpaka kuongeleshwa namna ile,

Kilichonishangaza ni namna yule mwanamke alivyopokea yale masimango, akabaki 'eeh' sijui hata nimeachaje, nisamehe mume wangu, ngoja nirudi'..!
Nikashusha pumzi ndefu, Nikajiuliza, hivi hawa wanawake wenye nidhamu namna hii kumbe bado wapo??? Mungu awabariki sana!!
Nikasali kimya kimya, Mungu nihurumie mimi mja wako, naomba nipe huu moyo hata robo tatu tu, maana moyo wa hivii kiukweli sijabahatika kuwa nao..!!

Basii, yule mwanamke akaharakia kutoka, kurudi alikotoka kuufuata mkoba wake, nikabaki na yule mwanaume anajiongelesha, 'yaani wanawake huwa mnakuwa mna mambo mengi sana ya ajabu, sijui blah blah'..!
Hata sikutaka kumjibu, maana kwa namna alivyomgombeza mkewe nilijikuta namie namuona ni mtu wa ajabu sana,

Akawa anauliza kitu kwa upole kama sio yeye, ananisemesha vizuuuri, nikataka kumuambia wewe, hili sound hata haliniingii ngozi yako halisi nishaijua, don't pretend hapa kujikuta mwema.!!

Baada ya muda mfupi mkewe akawa amerudi, na pochi kafanikiwa kuikuta, aliiacha duka la nguo huko, bahati nzuri ikawa imetunzwa maana walikuwa wamenunua vitu vingi hapo nadhani, ndo maana wakawa wamekuwa marked wakatunziwa,

Nikajua suala limeisha, kumbe bado, ni anajaza kitu akiuliza anaambiwa fanya haraka bwana tunachelewa, dada mara apigiwe simu, apokee! Anaambiwa hivii unaanza na kupokea simu sahizi, hivii tutawahi kweli?? Mkewe anajibu kwa upole, alikuwa tu ananiuliza nimuelekeze tu wachukue ngapi zitatosha,

Yaani kwa kumtazama tu unajua kabisa siyo kumuheshimu mumewe, hapana! bali huyu dada anamuogopa mumewe maskiini,
Na wala umri wao siyo mkubwa sana utaona kabisa hii ndoa pengine bado mpya, nadhani labda ndiyo sababu ya mke kumuogopa mumewe kiasi kile mpaka inatia huruma.!

Anyway, hilo halinihusu sana, nimetaka tu kuwaambia ndugu zangu wapendwa, mliopo kwenye ndoa ama mahusiano yenye malengo hata na wale mliopo kwenye mahusiano ya 'kurukaruka',
Chondechonde.!! Jitahidini sana mfiche mikwaruzano yoyote mliyo nayo mbele za watu, fanyeni juu chini jamii isijue kile mnakipitia, nendeni mkayazungumzie sirini huko.!!

Ifikie mahali, siyo watoto wenu, majirani, wazazi, marafiki ama jamii inayowazunguka ipate habari Leo mmegombana, sijui mmetoleana lugha chafu, sijui kila mmoja kasema udhaifu wa mwenzie, Hell No'..!!

Kila mmoja ana madhaifu yake, tena wakati mwingine ni makubwa hata hayatatuliki, wala hayabebeki, kitendo cha kupiga kelele kuiambia dunia madhaifu ya mwenzio, humkomoi yeye, unajikomoa wewe mwenyewe, sababu mwisho wa siku wewe mpiga kelele ndo unayeenda kuishi naye na huo msalaba ni wako kuubeba hivyo ni jambo la busara zaidi kumfichia mwenzio mapungufu yake, hakikisha tusijue kabisaaa!! Na kama umeamua tujue sema mazuri yake basii, sifia hadii siyo poa! Mpaka tutamani kumpata kama yeye, lakini siri yenu mnabaki nayo moyoni wawili.!

Leo umemdharaulisha mbele ya jamii yake inayomzunguka, unategemea kesho, ile ile jamii imuheshimu?? Haiwezi kumuheshimu Yeye, na zaidi sana haitokaa ikuheshimu Wewe,
Msisahau ulimi ni kiungo kidogo lakini ndiyo chanzo cha uharibifu na uvunjifu mkubwa wa amani.!

Tupendane kwa dhati, tusameheane pasi kikomo, tusihesabiane mabaya na tuongozwe na Utii.!!

Wishing you a very blessed long weekend ahead.!!
, furaha na upendo haviletwi kwa makaripio magonvi na hasira jenga ndoa yako kwa upendo

Tabia haibadilishwi kwa ngumi au nguvu na viboko jifunze katika kioo unavoonekana ndivyo ulivyo Siku hiyo iwe umechukiaa unaonekana katika kioo jifunze kuvumilia na kunyesha umefurahishwa pia

Jifunze kuficha aibu ya mpenzi wako au mmeo pendaneni hata kama anamadhaifu kadhaa kwani yeye ni binadamu tu msaidie saidianeni
 
Nope, wengi wao unakuta wameachika hata mara mbili au zaidi.

We need teachings ambazo ziko practical, and the teacher should walk the talk.
Learn your lessons na uende, huwezi lazimisha mtu ayaishi yale anayoyafundisha.!!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndiomana watu wanashauriwa kuchunguzana kwanza katika ile hatua ya mwanzo kabisa ya friendship japo nivigumu kugundua zile tabia za mtu zilizojificha ambazo huonekana late
pia mkikutana akili zenu zinazoendana aaaaa maisha burudaaani kabisa japo katika mahusiano/ ndoa kukosana na kutofautiana kupo

All in all kila mmoja achukue nafasi yake plus kuheshimiana na kuvumiliana panapobidi

Cc Smart911
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndoa ni ngumu jamani, omba uoe best friend wako. Hizi ndoa za kuokotana tu kisa mmependana huwa ni lust tu na huisha mapema sana baada ya kuzoeana na mtiti ndio huanzia hapo....kusalitiana na kufokeana bila mpangilio mnakuwa mnaishi kwa mazoea tu ila kila mmoja ameshachoka kwa roho.

Back
Top Bottom