Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,485
- 4,013
Hongera sana una Power ya ajabu SanaPole mkuu..!
Ungechukua somo linalokufaa mengine niachie mimi mwenyewe!
Ninaweza kukuandika hata wewe hapa na usikae ukajua hata miaka 100,

Ukigombezwa mbele za watu utafanya nini? naomba jibuMe nikagombezewe tu ndani kwakweli, siyo mbele za watu.!!