Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Tatizo habari inaletwa nusu nusu au pengine robo robo. Mgogoro kati ya wananchi hao na nani?
Kulikuwa na kesi kortini? Hukumu inasemaje, walipewa notisi baada ya hukumu?
Taarifa zote hizo zinawezesha mtu kutoa informed opinion. Vinginevyo ni kucheza ngoma usiyoijua.
Hata hivyo lazima kuwe na ubinadamu katika kuwaondoa kama sheria haiko upande wao. Ni kama kuchinja ng'ombe ili kupata nyama. Eti lazima achinjwe bila ukatili