Wananchi wapagawa baada ya Bomoa bomoa kuwapitia Pugu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058

Zaidi ya mabanda 30 ya wafanyabiasahara wa eneo la Pugu Bombani yamebomolewa majira ya usiku wa saa tisa na nusu kuamkia leo kufuatia mgogoro wa muda mrefu kuhusu umiliki wa eneo hilo.

JAMII LEO
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanadhulumiwa haki yao ? Daaaah 2020 watu wanahasira .milion 6 vs million 8.
 
[HASHTAG]#video[/HASHTAG] :Bomoa bomoa yawaliza wafanyabiashara wa eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.
 
Attachments

  • 1483617439011.mp4
    2.3 MB · Views: 34
Inasikitisha sana yaani kila siku wanyonge ndio wanaoumia sijui hii serikali inawasaidia wanyonge wa aina gani.

Au ndio inawatengeneza wanyonge ili ije kuwasaidia vizuri zaidi?

Huyo mama amenigusa sana jinsi anavyolia inaonesha ni kiasi gani baada ya hapo kesho yake itakuwa unpredictable ndio maana yupo kama amewehuka. Sio rahisi kumuona mtu mwenye akili zake akipiga kelele njiani kwa mtindo huo ukiona hivyo ujue yapo yaliyomsibu.

Mwanzo wa mwaka huu ada za watoto na kila aina ya maandalizi kwa ajili ya kupeleka watoto shule huu ndio msimu wake na vyote hivyo vinahitaji hela ,Nakosa hata la kuandika jamani inauma sana ,

Ila tusirudie kosa tu kwa wakati ujao haiwezekani mtu ajiite muwekezaji wakati aliiacha ardhi kwa zaidi ya miaka watu waje wafanye maendeleo ndio ajitokeze adai eneo lake.

Serikali ya CCM haina huruma na wananchi wake sio siri maana kila kona ni vilio tu na wala hakuna msaada kutoka kwa wenye dhamana.
 
Hawa wanyonge wakati wa uchaguzi ndio wanajitia uwazimu kushabikia CCM pasi na kujua itawasaidiaje sasa kwa makosa yao na kwa ujinga wao waache tu waisome namba kisawasawa.
 
Wana mgogoro na nani?

Kama ni amri ya mahakama na taratibu zilifuatwa unyonge wao siyo excuse.
 
Huyo mama hapo amenifanya hata machozi yanitoke,nimewaza pia jinsi mama yangu anavyohaangaika kutafuta kipato cha kusaidia familia alaf mwisho wa siku afanyiwe hivyo. Inauma sana.
 
Hatujasikia story ya upande wa pili. Tumeona vilio tu vya waliobomolewa.
 
Mkuu hii leo asubuh nimeona nimeshangaa sana wakat jana jion nilikuwa napata kahawa kwa kijana mwachemwache na hayo maeneo ni kama mita 30 au 20 mpaka ofisi ya mbunge
 
tukio hili lnanikubusha ktabu cha "This time tomorow" cha Ngugi wa Thiong'o. ktabu hik knazungumzia maisha ya watu maskin wanaoish ktk mitaa ya kmaskin huku viongoz wakila maisha, wakitumia magar ya kifahar kama cadilac na limousine, selikar ikaanzisha oparation safisha mji ktk mitaa ya watu maskn, ikatangazwa bomoa bomoa kubwa ktk mitaa ya watu maskn vbanda vyao slum/huts vikabomolewa na selikar bila kupewa eneo la kuanzsha makaz mapya. kwa uchungu mama mmoja mmilik wa moja ya vile vjumba akasema nakuuu " where we shall be this time tomorow". n baadh ya vtabu vilivosababisha Ngugi akimbie kenya mana vilionesha matukio dhalim h yaliyofanywa na selkar ya bwana Kenyata. Vngne n I Will Marry When I Want,
 
Back
Top Bottom