Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,146
- 6,397
Mbongo ni mtu wa ovyo sana kwenye shughuli za uswahilini tu watu wanagombea ubwabwa!
Mbongo ni mtu wa ovyo sana kwenye shughuli za uswahilini tu watu wanagombea ubwabwa!
Hali ya Uchumi ni mbaya sana!Hii inaonesha ni jinsi gani nchi hii ilivyokuwa na mazwazwa
Ova
Sidhani kama hiki kinafaa kuwa kipimo cha dhiki tulizonazo watanzania. Watanzania na wa Afrika kusini mwa jangwa la sahara tuna tabia ya kupenda vya bure. Huwezi kunishawishi kwamba wote waliokanyagana hawana uwezo wa kupata buku dasi ya kuingia uwanjani.Hata kama ni Msaada lakini namna ambavyo Chalamila ametumia kuzigawa tiketi hizo za mechi ya Yanga ni kama udhalilishaji hivi.
Hivi ni kweli nchi hii imefikia dhiki ya namna hii ya watu kukanyagana hadi kukimbizwa Amana wakigombea tiketi za Yanga?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Leo umenikosha sanaWangekanyagana kwenye mtutano wa mbowe ungesema nguvu ya umma ,watu tunapenda soka kuliko siasa uliza ujue ukweli ,mjinga mjinga wewe
USSR
Tatizo ni kutojitambua.!Nchi hii ina watu wajinga sana
Kabisa kabisa
Inaumiza chadomo ikiitisha maandamano watu hawajitokezi hivi................ Niiitie da mangeHata kama ni Msaada lakini namna ambavyo Chalamila ametumia kuzigawa tiketi hizo za mechi ya Yanga ni kama udhalilishaji hivi.
Hivi ni kweli nchi hii imefikia dhiki ya namna hii ya watu kukanyagana hadi kukimbizwa Amana wakigombea tiketi za Yanga?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ubwabwa?!Mbongo ni mtu wa ovyo sana kwenye shughuli za uswahilini tu watu wanagombea ubwabwa!
Kichocheo kikubwa cha mambo haya ni umasikiniSidhani kama hiki kinafaa kuwa kipimo cha dhiki tulizo nazo watanzania. Watanzania na wa Afrika kusini mwa jangwa la sahara tuna tabia ya kupenda vya bure. Huwezi kunishawishi kwamba wote waliokanyagana hawana uwezo wa kupata buku dasi ya kuingia uwanjani.
Mfano mdogo ni namna watu wanavojifanya malemavu na wagonjwa ili waombe barabarani kwenye miji kadhaa Tz
Niliwahi kuona Mwanza mjini eneo la Pepsi(Igogo) bajaji ya mizigo ilikuwa imepakia vyombo vya plastiki ghafla vikafunguka vikadondoka vikasambaa barabarani. Almanusura watu wagongwe na magari wakigombea kuokota vyombo ambavyo hamna kinachozidi buku dukani. Sasa unataka kuniambia Mwanza mjini kuna mtu hana 500 ya kununua kikombe hadi a risk maisha kiasi kile?
Tatu kuna fuso ilikuwa imebeba pombe za viroba eneo la alikopatia ajali Sokoine likiwa linaelekea Wami Dakawa ghafla likapata ajali viroba vikasambaa barabarani. Siku ile wamasai na waruguru karibu wote walikuwa wamejaa barabarani kunywa viroba vya bure. Sasa fikiria ile barabara ilivo busy na malori ya mikoani ugongwe ufe kisa kiroba cha bure, ni kwamba hawa watu hawana hela za kiroba cha buku?
Waswahili tuna akili tegemezi sana haijalishi tuna nini ila bado kikija cha bure tunachanganyikiwa
Watz tunapenda vya bure acha tudhalilike.Hivi wangeuchuna wote bila kuziokota hiyo Rc so angejifunza.Hata kama ni Msaada lakini namna ambavyo Chalamila ametumia kuzigawa tiketi hizo za mechi ya Yanga ni kama udhalilishaji hivi.
Hivi ni kweli nchi hii imefikia dhiki ya namna hii ya watu kukanyagana hadi kukimbizwa Amana wakigombea tiketi za Yanga?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndio,uswahilini wali wanaita ubwabwa na naamini unajua kwahiyo acha unafiki wako.Ubwabwa?!