Wananchi wakanyagana wakigombea Tiketi za bure kutoka kwa RC Chalamila, Majeruhi wakimbizwa Amana

Hata kama ni Msaada lakini namna ambavyo Chalamila ametumia kuzigawa tiketi hizo za mechi ya Yanga ni kama udhalilishaji hivi.

Hivi ni kweli nchi hii imefikia dhiki ya namna hii ya watu kukanyagana hadi kukimbizwa Amana wakigombea tiketi za Yanga?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yanga ni kama CCM tu ,ina ushetani mwingi sana
 
Hata kama ni Msaada lakini namna ambavyo Chalamila ametumia kuzigawa tiketi hizo za mechi ya Yanga ni kama udhalilishaji hivi.

Hivi ni kweli nchi hii imefikia dhiki ya namna hii ya watu kukanyagana hadi kukimbizwa Amana wakigombea tiketi za Yanga?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wangekanyagana kwenye mkutano wa Mbowe ungesema nguvu ya umma, watu tunapenda soka kuliko siasa uliza ujue ukweli, mjinga mjinga wewe.

USSR
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom