Uchaguzi 2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

Vijiji vya wapi wasiomjua TL Mkubwa?

Nipo Shinyanga huku na naposti hii kitu nikiwa kijiji cha Iselamagazi, Tundu Lissu ni famous kuliko Magufuli...

Huku kwa CCM wanamjua Julius K. Nyerere na kidogo Kikwete. Magufuli namna kitu. Ana Zero fame...
Mimi niko Usseri bwashee huku Rombo!
 
Mbona mat.a..ko yanakuwasha tafuta mtu akufanyie masage,kama tundu lisu hawamjui wewe unakereka na nini?
 
Mrudishe lowasa awe mgombea wako.
Hiyo yote ni kumwogopa Lissu
 
Usijali tutawaambia ni mtanzania pekee anayejulikana Alie hai ukitoa mashujaa wetu wa 1978 kagera war aliepigwa 16 bullets na akapona ila pia ujue lisu ametajwa sana kuliko KORONA hivyo usitudanganye.
 
Lissu anajulikana kuliko magu.
 
Huo UTAFITI uliufanya lini na katika vijiji vingapi Nchini na wanavijiji wangapi walikuwemo kwenye sample yako!?

 

Hofu ya TL itakumaliza kiongozi.
 
Tundu Lisu anakwenda kuizika chadema rasmi, bora hata wamuweke Mbowe anaweza angalau kutetea na kurudisha baadhi ya kura za Wachaga lkn Tundu Lisu hata kwao tu Singida hapati kura, ...

Huruma za mchawi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…