johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Hofu kwa mtu asiyejulikana vijijini?!Sema tu mna hofu na Lissu kuliko watia nia wengine wote.
Ni ushauri tu bwashee msije kulialia eti mmeibiwa kura!Haya mmeanza ramli zenu Lissu anatosha.
Ni ushauri tu bwashee msije kulialia eti mmeibiwa kura!
Mbowe wanamjua kwa kiasi fulani!Kwaiyo Mbowe wako ndo ataibiwa kura?
Huku vijijini Tundu Lisu ambaye anatarajia kuwa mgombea urais wa Chadema hajulikani kabisa.
Hapa Usser Rombo kwa mfano wananchi bado wamekariri kuwa mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.
Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.
Maendeleo hayana vyama!
https://www.sparknotes.com › quote
1984: Important Quotations Explained | SparkNotes
ignorance is strength. These words are the official slogans of the Party, and are inscribed in massive letters on the white pyramid
Niko hapa Usseri Rombo jimboni kwake Selasini wanakijiji hawamjui kabisa Lisu..... Wengine wanasema eti Lisu wanayemjua ni mwimbaji wa nyimbo za Injili siyo mwanasiasa!Kwa ufupi lile tukio lake la kupigwa risas 36 na kupona, ndiyo limemtangaza Lissu sana hakuna mwanakijiji asiyemjua Lissu, nenda kaulize chato kama kuna mwanakijiji ambae hamjui Lissu
Bwashee siasa siyo uadui.....tunasaidiana mawazo!comrade, tangu lini umeanza ku sympathise na Chadema?
kama Lissu hatambuliki kihivyo sasa si tuwaache tu wamweke watumbukie shimoni wenyewe ili sisi CCM tupone? hujui sasa unawatonya comrade?
Hata Mbowe alivamiwa huko huko na bado anajiuguza mguu!Kila palipo na umeme,kuna tv,,lisu hajulikani vijiji vichache tu,lile tukio la kuvamiwa na majambazi lilimpa promo sana