Uchaguzi 2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,541
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tundu Lisu anakwenda kuizika chadema rasmi, bora hata wamuweke Mbowe anaweza angalau kutetea na kurudisha baadhi ya kura za Wachaga lkn Tundu Lisu hata kwao tu Singida hapati kura, ...
 
Yani pamoja na kupigwa risasi na Chadema kulishikia bango kutafuta kiki bado hajulikani😀

Hakika ana nyota ya bundi
 
Huku vijijini Tundu Lisu ambaye anatarajia kuwa mgombea urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano wananchi bado wamekariri kuwa mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!

Ndo mtaji wanaoutegemea CCM Mpya kuwa Ujinga ni Nguvu ( Ignorance is Strength) , badala ya Ujinga ni Adui wa wananchi.
Mwl. J.K Nyerere : Ujinga, Maradhi ni adui wa maendeleo
https://www.sparknotes.com › quote
1984: Important Quotations Explained | SparkNotes

ignorance is strength. These words are the official slogans of the Party, and are inscribed in massive letters on the white pyramid
 
Comrade, tangu lini umeanza ku sympathise na Chadema? kama Lissu hatambuliki kihivyo sasa si tuwaache tu wamweke watumbukie shimoni wenyewe ili sisi CCM tupone? hujui sasa unawatonya comrade?
 
Kwa ufupi lile tukio lake la kupigwa risas 36 na kupona, ndiyo limemtangaza Lissu sana hakuna mwanakijiji asiyemjua Lissu, nenda kaulize chato kama kuna mwanakijiji ambae hamjui Lissu
Niko hapa Usseri Rombo jimboni kwake Selasini wanakijiji hawamjui kabisa Lisu..... Wengine wanasema eti Lisu wanayemjua ni mwimbaji wa nyimbo za Injili siyo mwanasiasa!
 
comrade, tangu lini umeanza ku sympathise na Chadema?
kama Lissu hatambuliki kihivyo sasa si tuwaache tu wamweke watumbukie shimoni wenyewe ili sisi CCM tupone? hujui sasa unawatonya comrade?
Bwashee siasa siyo uadui.....tunasaidiana mawazo!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom