Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss maarufu nchini Tanzania, Halima James Mdee.
Waswahili walisema uwezi kupima kina cha maji kwa kutazama kwa kuwa wakazi wa Kawe walilisahau hilo leo wanajuta kwa nn walifanya maamuzi ya kipumbavu kiasi kile kwani wamekuwa kama chief magongoo. Leo hii Kawe ya Rita Mlaki ni bora kuliko Kawe ya Halima.
Kwanza yale yote ambayo amewahaidi hakuna hata moja ambalo ametimiza, watu wanaishi katika maisha ya tabu kwani hata mazingira ya Kawe ni utata mtupu.
Ushauri wangu kwa wakazi wa Kawe kuwa ukiona mtu ambaye anampinga hata Mungu wake ambaye amemuumba basi ujue kuwa mtu huyo ana matatizo ndani ya kichwa chake hivyo mlifanya dhambi kubwa sana ndugu zangu wa Kawe.
Ebu cheki hayo mazingira