Wananchi wa Kawe walia na upinzani

Wananchi wa Kawe walia na upinzani

Chuki binafsi tu. Tatizo kama la hiyo picha uliyotuonyesha mbona jepesi tu? Serikali ya mtaa ambaye mkiti wake na kamati yake ni wa CCM walitakiwa waibue tatizo hilo walifikishe kwa diwani aliyechakachua ambaye ni wa CCM! Baada ya hapo linapelekwa manispaa ambapo mbunge anapaswa alipigie debe fedha zipatikane na kazi ifanyike. Tatizo ni kwamba hawa CCM hawataki kushirikiana na Mbunge kwa hiyo usitegemee mbunge akazunguke mtaani kutafuta maji machafu ambayo hayana njia ya kutokea.
Yako mengi tu ambayo yangefanyika lakini ujinga wa viongozi wa CCM ndio unatukwaza. "Kwenye maendeleo hakuna chama" Namnukuu OBAMA.
 
Hahaha siwezi kubadili neno hilo pia sikia kama wewe unao ushahidi kwa yale ambayo mdee ameyanadi katika mikutano yake mwaka 2010 na kaweza kutimiza weka tuweza kuyafahamu pia na mimi nikulete ushahidi kuwa hakuweza kutimiza na kusema kuwa halima ametenda dhambi ya kuogopa japo najua hata mungu amjui ila aombe radhi kwa hili.
 
Chuki binafsi tu. Tatizo kama la hiyo picha uliyotuonyesha mbona jepesi tu? Serikali ya mtaa ambaye mkiti wake na kamati yake ni wa CCM walitakiwa waibue tatizo hilo walifikishe kwa diwani aliyechakachua ambaye ni wa CCM! Baada ya hapo linapelekwa manispaa ambapo mbunge anapaswa alipigie debe fedha zipatikane na kazi ifanyike. Tatizo ni kwamba hawa CCM hawataki kushirikiana na Mbunge kwa hiyo usitegemee mbunge akazunguke mtaani kutafuta maji machafu ambayo hayana njia ya kutokea.
Yako mengi tu ambayo yangefanyika lakini ujinga wa viongozi wa CCM ndio unatukwaza. "Kwenye maendeleo hakuna chama" Namnukuu OBAMA.

Uchafu ni kama jadi kwetu......hapa sio Kawe

images
 
jaribu kua mstaarabu,imagine how low thinking you are,watu wanatakiwa kujiuliza hiyo miaka yoote ya CCM tumeambulia kugawa rasilimali nyingi kwa watu wa nje,mikataba mibovu kuliko nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara imesainiwa na katika serikali ya ccm..............hebu ingia BBC uone Misri walivyo mfanya Morsi,we need Extreme people like Mdee,Msijaribu kuturudisha miaka iliyopita,we need people who think twice.
 
Ushaanza kuweweseka wewe Mwache kamanda Mdee apige kazi kwa uhuru

Ritha amefanya nini kutoka mbunge wa kuchaguliwa hadi sasa mbunge wa viti maalum? Huyo hauziki tena usijisumbue.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sikia sina maana picha niliyoweka ndio matatizo.ya kawe ni hayo 2 ili ni miongoni mwa matatizo.ambayo yanawakabili wakazi wa kawe baada ya kuchagua saccos na kuacha chama. Ndugu yangu hakuna kitu ambacho saccoss( chadema) huwa wanafanya na kukisimamia kwanza chadema msimamo wao ni sawa na wanawake. Mfano suala la katiba mpya mwenyekiti alisema kuwa tume haina weledi baada ya kutolewa kwa rasimu ya katiba mpya mwenyekiti ameonekana anaisifia ni sawa na mdee alikuja kwa maneno mazuri lakini leo anaona hata aibu mbele ya wakazi wa.kawe kwa mambo ambayo anayafanya. CHAMA NI CCM HIVI VINGINE NI WAGANGA NJAA 2
 
Ok njaa kwa binadamu ni kawaida na kuhusu suala la njaa ndio lilolomfanya Mbowe aende Ikulu. Pia njaa ndo iliyomfanya dr slaa kujiunga na Saccos japo chama cha siasa anakijua
Nilikua sijui kama CHADEMA ni saccos loh!!
 
Mwenzetu sijui ulizaliwa na mwanaume.......shame on you!
 
Hivi hata kusafisha mazingira nayo inahitaji mbunge?? sitashangaa utakuaja siku nyingine hapa utuambie mbunge aje kukutandikia kitanda chako!
 
Ni vizuri kutoa maoni yako kwan ni haki yako kikatiba ila ujui unachosema japo unatumia kasumba ya kutumia maneno ya kiingereza katika kuonyesha ni jinsi gani bado mtumwa wa fikra. Sikia napenda sana kuona watanzania wakivunia rasimali zao kwa haki na usawa ila nachukia sana kuona kuna watu ambao wanatumia njaa za wayanzania kujinufaisha wao binafsi wa kwanza ni Halima mdee alitumia njaa ya wakazi wa kawe kujinufaisha sasa ndugu yangu unaposema unahitaji watu kama Mdee kweli una malengo na wantanzia? Ili jema alilofanya Mdee kwa watanzania hasa wakazi wa kawe?
 
Jamani wana jf, hapa tuweke vitu vya maana. Maisha ya Mh. Mdee na uchafu wa Kawe wapi na wapi? Mwanzishi wa thread anaonesha wazi kuwa kamzimia Mdee ndiyo mwanzo wa kumtakia hayo. Alitamani Mlaki aendelee milele, sasa tunamwambia atafute mbinu nyingine, hapo, "Umebugi meen" Mdee songa mbele, yachane hayo Magamba mpaka gamba livuke kiuno chao lilipokwamia. Watasalimu amri tuuu.
 
ONLY A FOOLISH DOG BARKS AT THE FLYING BIRDS . Wee Mlombo unasiku ngapi hujalala na mmeo ?
 
Kweli mlomboo umechanganyikiwa, mwanamke kwako ni tusi!!!! Una matatizo makubwa. Ingekuwa kichaa tungekuombea upone lakini hicho kinacho kusumbua ni NJAA KUU YA KOFIA YA NJANO NA FULANA YENYE MANENO MATAMU "MAISHA BORA KWA KILA MTZ." Ngojea, siku chache uanze kugombea Udiwani, wakikutupa ugombee wenyeviti wa mtaa. Upate hizo za kununulia kadi za mpiga kulaaaa. Buku 5 si haba. Ukiokota kadi 100.!! We achana na wana Kawe. Waache wanajua walichokiona kwa Mdee wao. Ati alikuja na maneno matamu, kuliko Ahadi lukuki tulizopewa Tanzania nzima?? Bado mwaka mmoja tu, sijui ataleta wapi marobot ya kuzimaliza zote hata kama ataokota hizo pesa. Shame on yu mlombooo.
 
ila mdee hana sifa za kuwa kiongozi afafaa kuwa kwenye vikundi vya wanaharakati.
 
Ok njaa kwa binadamu ni kawaida na kuhusu suala la njaa ndio lilolomfanya Mbowe aende Ikulu. Pia njaa ndo iliyomfanya dr slaa kujiunga na Saccos japo chama cha siasa anakijua

Kweli hiyo picha ni ya Kawe?!
Itakuwa karibu na ofisi za CCM!
Kwa hiyo unataka kumaanisha kwamba KAWE ndo jimbo chafu kuliko jimbo lolote Tanzania?!
Kawe ni kuchafu kuliko KINONDONI na TEMEKE?!
Kawe na DSM zimekuwa chafu alipoingia Halima Mdee?!
Kazi ya Afisa Afya na Afisa mazingira wa wilaya, kata, kazi yao nini au mnashirikiana nao kuwalipa mshahara wasioufanyia kazi- Wizara ya mazingira si iko chini ya ofisi ya Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM??!
CCM mmekuwepo madarakani miaka mingi ILA hamjui majukumu ya mbunge!
Kwenu mbunge ni ATM....
Kweli mmechoka.
 
hebu fafanua haamini mungu kwa vipi? Kiongozi Halima ana majukumu makubwa ya kuiendeleza Chadema kitaifa, nanyi watu wa kitongoji cha kawe mwataka apoteze wakati kwa mazingara madogo madogo, ambayo mnaweza kuyashughulikia wenyewe.

Leo mnamlalamikia Bi Halima, haya subirini huyu mnayetaarishiwa BI SLAA, ambaye hatakuwa na wakati wowote nanyi ndio mtajua ukweli. Pia nauliza hivyo nyinyi wana kawe hamna chaguo lenu ila lazima mletewe kiongozi wakupangwa makao makuu ya Chadema au CCM.
 
We ulitaka mdee atoe pesa yake mfukoni ama?mida nyngne ni upumbavu nakujishushia heshma kuchangia
 
amekufanya nini Halima Mdee mbona umekurupuka namna hiyo? jiangalie vizuri c..pi umevaa kweli?
 
Unachokionesha/kuandika hapo tatizo si mbunge wao, ni ushaidi mwingine wa kushindwa serikali hii CCM kwa miaka zaidi ya 50 ya uhuru.Kumbuka Kawe si jimbo lililoanzishwa na Mdee.
 
Back
Top Bottom