Ni kweli kabisa, mama Mdee ametuchusha.
Ni heri arudi huko makao makuu CHADEMA akipigie chapuo chama chake badala ya kurudisha nyuma maendeleo ya Kawe.
Mdee ni mwanaharakati na si mwana maendeleo.
Mwenye kupinga ukweli huo alete ushahidi wa yeye kusimamia mradi wowote kwa mafanikio.
Ni kazi ya mbunge kusimamia mazingira yanayo tuzunguka? Nini kazi za watendaji wa mitaa,kata na manispaa?
Pengine nikuibie siri ya anguko la CCM ktk uchaguzi uliopita ktk Manispaa ya Moshi,ilikua hivi hivi kama Kawe! Madiwani wa CCM walikua wanamnyima ushirikiano mbunge kwasababu anatoka upinzani. Wananchi waliamua kuondoa wapuuzi wa CCM.
Natabiri madiwani wengu wa CCM ktk jimbo la Kawe watakutana na hili panga kutoka kwa wapiga kura. Wanajikomoa wao na chama chao kutompa ushirikiano mbunge wao eti kwasababu ni mpinzani!