Wananchi wa Kawe walia na upinzani

Wananchi wa Kawe walia na upinzani

mmm,kumbe kufanya usafi pia ni kazi ya mbunge,nilijua ni msimamizi wa haki ya wananchi.
sasa wewe mama junior kama hata majukumu ya mbunge huyajui huku unautamani ubunge wa kawe utaenda kufanya nn, heri ubaki na malezi ya junior tu nyumbani
 
Kamanda hakuna haja ya matusi mimi mwenyewe ni mkazi wa Kawe, ni kweli Halima Mdee ni mzigo.

Kwa jimbo hilo lina wakazi wangapi? maana huko kuna wanaridhika na kazi anazozifanya Halima...halafu wewe kazi uliyopewa ya kulinda lile pori la Mabwepande ndiyo unajifanya na wewe ni mkazi wa Kawe....
 
Naona hapa unamponda mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni pamoja na Meya wake ambao ndiyo wenye jukumu la kusimamia utengenezaji wa barabara za mitaa. Kuna bei gani ambayo mlishawahi kuichanga kwa Mdee ili atengeneze barabara? Au aweke kifusi barabarani? Kama ukitaka kusema hivyo, basi wananchi wa ukonga itabidi tumutimue kabisa mbunge wetu maana kule hatuna hata barabara moja inayopitika tena si barabara za mitaa kama hizo ambazo zinatakiwa kushughulikiwa na balozi, ni barabara za magari. Sasa utajiuliza serikali ya CCM inayokusanya kodi inazipeleka wapi? Tunajua wazi kwamba wabunge wetu wa upinzani bungeni wanayapigia kelele haya mambo kila kuchapo, lakini serikali hii sikivu ya CCM haisikii.
 
Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss maarufu nchini Tanzania, Halima James Mdee.

Waswahili walisema uwezi kupima kina cha maji kwa kutazama kwa kuwa wakazi wa Kawe walilisahau hilo leo wanajuta kwa nn walifanya maamuzi ya kipumbavu kiasi kile kwani wamekuwa kama chief magongoo. Leo hii Kawe ya Rita Mlaki ni bora kuliko Kawe ya Halima.

Kwanza yale yote ambayo amewahaidi hakuna hata moja ambalo ametimiza, watu wanaishi katika maisha ya tabu kwani hata mazingira ya Kawe ni utata mtupu.

Ushauri wangu kwa wakazi wa Kawe kuwa ukiona mtu ambaye anampinga hata Mungu wake ambaye amemuumba basi ujue kuwa mtu huyo ana matatizo ndani ya kichwa chake hivyo mlifanya dhambi kubwa sana ndugu zangu wa Kawe.

Ebu cheki hayo mazingira

Hivi kwani wabunge wa Mtera, Kigamboni, Temeke n.k. wamefanya nin cha maana? Au unaota mchana wewe? Mbona akina mdee wako juu zaidi ya hao jamaa zako? we can see tangible things, hao wa kwako ni usingizi kwenda mbele, na kwani aliyekuwepo alifanya nini cha maana huko?
 
Is JF loosing credibility? what a heading? it took me some minutes to understand the writer's intention.huko ccm kumejaa majanga, na huyo usishangae kuwa ndio katibu mwenezi wao.

Hata hivyo Kawe imejengwa vibaya sana, hakuna drainage ndio sababu tope limejaa namna hiyo.
 
sasa wewe mama junior kama hata majukumu ya mbunge huyajui huku unautamani ubunge wa kawe utaenda kufanya nn, heri ubaki na malezi ya junior tu nyumbani
Kwahiyo wewe kwa uelewa wako, kazi ya mbunge ni kuweka vifusi barabarani? Kama ndiyo hivyo mkurugenzi ana kazi gani? Meya wa jiji ana kazi gani? Acha kupotosha wewe! Nenda kasome vizuri uelewe majukumu ya mbunge, na namna ambavyo yanatofautiana na watendaji wa ngazi zingine za wilaya au manispaa.
 
Ni kweli mada nyongine ni upumbavu basi kwa kuwa na wewe ni mlumbavu pia ndio maana umechangia. Pia rejea mada kuweka hizo picha sio maana ndio tatizo kubwa la wana kawe kama umesoma vizuri nimeeleza katika maelezo zangu hauna maelezo yangu wala sija based katka hiyo pich jipange kijana wacha kukurupuka
 
Yani nasindwa kuelewa yani wewe uwe mchafu mwenyewe alafu uanze kumtaja mbunge, mwishowe ata chumbani kwako kukiwa kuchafu utasingizia mbunge. fanyeni usafi wa mazingira yenu wenyewe acheni kubweteka.
 
hivi usafi ni kazi ya mbunge..?wewe mleta mada umepiga picha ya mazingira yako nyumbani kwako unakuja unatuwekea uchafu wako hapa unategemea mdee aje akusafishie huo uchafu wako hapo kwako.
 
Halima mdee sawa na mzingo wa kuni kawe katibu wa Saccos yako.analijua hilo ndo maana anataka kumleta mchumba wake wa kihaya

Kwani Wahaya siyo watu hata useme mchumba wa Kihaya? Isingetosha kusema mchumba bila kuweka kabila? Hii siyo sawasawa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nashukuru kwa kujua mawazo yakk kwani hata wenye mawazo mgando pia wana haki ya kutoa mawazo yao. Ebu nitajie kitu gani ambacho mdee amefanya unajivunia nacho?

na wewe nitajie Pinda jimboni kwake kafanya nn cha kujivunia na uwaziri wake mkuu?
 
Kwa jimbo hilo lina wakazi wangapi? maana huko kuna wanaridhika na kazi anazozifanya Halima...halafu wewe kazi uliyopewa ya kulinda lile pori la Mabwepande ndiyo unajifanya na wewe ni mkazi wa Kawe....

Umehama Msoga?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sioni cha maana hapo kwenye attachment zako zaidi ya siasa yeye ndo akafanye usafi au jukumu lenu wote? Acha kuwa na mawazo finyu wewe anyway subiri 2015 uombe kura na ww kama utapata coas bado sana muda wa kampen
 
Ni kweli mada nyongine ni upumbavu basi kwa kuwa na wewe ni mlumbavu pia ndio maana umechangia. Pia rejea mada kuweka hizo picha sio maana ndio tatizo kubwa la wana kawe kama umesoma vizuri nimeeleza katika maelezo zangu hauna maelezo yangu wala sija based katka hiyo pich jipange kijana wacha kukurupuka

we ndo umekurupuka kuweka picha ambazo haziendani na mada tupe malezo ya hizo picha basi
 
kuelimisha chizi unahiyaji moyo binafsi sina muda wa kukutajia maana kama wewe ni mkazi wa jimbo hilo utakuwa unajua kazi alizofanya..

kumwelimisha ta
Afadhali ya chizi anaweza akapona uchizi na akaelimika, lakini huyo ni mpumb-v- ambaye hata umuelimishe vipi hawezi kuelimika ni bora kumuacha jinsi alivyo.
 
hivi usafi ni kazi ya mbunge..?wewe mleta mada umepiga picha ya mazingira yako nyumbani kwako unakuja unatuwekea uchafu wako hapa unategemea mdee aje akusafishie huo uchafu wako hapo kwako.
isijefika sehemu hata wenye chawa kwenye nywele uwe mzigo wa mbunge
 
Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss maarufu nchini Tanzania, Halima James Mdee.

Waswahili walisema uwezi kupima kina cha maji kwa kutazama kwa kuwa wakazi wa Kawe walilisahau hilo leo wanajuta kwa nn walifanya maamuzi ya kipumbavu kiasi kile kwani wamekuwa kama chief magongoo. Leo hii Kawe ya Rita Mlaki ni bora kuliko Kawe ya Halima.

Ebu cheki hayo mazingira

Mdau nasikitika sana kwakuwa huna takwimu za jimbo la kawe, unaelezea eneo moja la kawe tu ila jimbo la kawe ni kubwa sana, mimi nimeishi tegeta kwa miaka mitano wakati mbunge wake ni Lita Mlaki na mpaka tunafanya kampeni ya kuiondoa madarakani ccm pale kawe nilikuwepo nakumbuka vizuri tu Mshindani mkubwa wa Halima mdee alikuwa Angela kiziga ( ccm) akifuatiwa na James Mbatia(NCCR) ambapo pamoja na kutumia fedha nyingi za kuhonga Angela hakukubalika. Mazingira ya jimbo la kawe kwa baadhi ya maeneo hasa usawhilini sio mazuri tangu zamani, sasa kuboreshwa kwa mazingira sio kazi ya Mh. Mdee peke yake ni kazi ya wananchi wa eneo husika wakishirikiana, viongozi wa mtaa, ofisi ya kata, diwani na Halmashauri kwa ujumla.

Ungetuambia kwanza hiyo picha ni ya kata gani? na diwani wake ni wa chama gani? pia hiyo haitoshi utuambie kuwa mwenyekiti wa mtaa huo ni wa chama gani? kwa kumbukumbu zangu chadema haiana madiwani wengi sana kata ya kawe kutokana na hujuma zilizofanywa na ccm kwa kushirikiana na wasimamizi wa uchaguzi za kuchanganya majina ya wapiga kura kutoka vituo walivyojiandikishia kwenda vituo vingine mimi nilikuwa mmoja wa wahanga hao. Nimalizie kwa kusema kwamba wewe sio msemaji wa wakazi wa kawe pia MBunge ni ngazi ya juu sana kuilaumu ume "bypass" ungeanza na mw/wa mtaa, diwani kisha Halmashauri, umeonyesha kuwa unataka kuwalaghai watanzania wasiyoyajua mazingira ya jimbo la kawe, najua iliwauma sana CDM kushinda jimbo lilie na ndio maana wagombea wote ambavyowalifadhiliwa na ccm kutoa upinzani kwa CDM wamefutwa machozi kiaina, Angela kiziga ni amepewa ubunge wa Bunge la EA na J.Mbatia ni Mb. wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa ccm Taifa (Rais).

Mipango yote ya maendeleo ya jimbo huratibiwa na Manispaa au Halmashauri, wito wangu ni huu, ili kuhakikisha miji yote inakuwa safi ni kuipa mamlaka ya kuongoza Manispaa au Halmashauri CDM kwa kuchagua madiwani wengi, mfano mzuri ni pale Moshi kwa kamanda Ndesambulo(MB).
 
Mbunge ni mwakilishi na sio mtendaji.Mtendaji ni serikali inayokusanya kodi.Pole kwa kuwa mvivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom